Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WW3 kidogo itokee pale Cuba alipomkaribisha Russia kuweka military base!US hakuwa tayari Kwa Hilo!
Mbona Hilo mnajifanya hamlioni?Yaani US ndio awe mwenye haki ya kujilinda!
 
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.

Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.

“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”

Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
#MillardAyoUPDATES
 
Very powerfull.
🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪
 
Nilishangaa hii habari usichangie kama kawaida yako bana
Kauli kama hizo ndio zinamvunjia heshima.
Kwamba.

Screpper,
Urusi ni kubwa jinga,
Urusi ni Supapawa wa mchongo,
Putin mjinga.

Haya anayasema yeye wakati west wanamuona Putin as very tough and most powerful man on earth.
Russia as military powerful.
 
Kwa hiyo wewe kwa mtazamo wako unafikiri Urusi anaikatalia Ukraine kujiunga na NATO kisa umbali wa kutoka Ukraine hadi Moscow!? Hii ni mpya!!!

"We do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes… we have nothing that could bother us from the point of view of Finland's or Sweden's membership in NATO."

Raisi wa Urusi amesema haoni shida Finland na Sweden kujiunga na NATO. Nafkiri hilo swala halina tena mjadala maana yeye (raisi wa urusi) ndio anajua zaidi ni nini na nani ni kitisho kwa usalama wa Urusi. Huwezi kuwa wewe au mimi hapa jf tukajua zaidi yanayoihusu urusi kuliko raisi wa urusi. Kama anaona Ukraine kujiunga NATO ni hatari kwa usalama wa urusi kuliko Finland basi ni hivyo.

Ni nini kinaifanya Ukraine kuwa tishio kwa urusi kuliko Finland, siwezi/huwezi kusema kwa uhakika. Hayo hayakusemwa na Putin in detail.

Sina uhakika na madai yako ya urusi kuvamia wapi na wapi lakini najiuliza je!? Ni sahihi kuibebesha Urusi ya leo mzigo wa yaliyofanywa na USSR ya kipindi hiko. Pointi yako hasa ni ipi!?

Hata iweje hakuna namna unaweza kufunika yaliyofanywa na mataifa ya ulaya magharibi pale kwenye mkutano wa Berlin walipoigawana afrika kama kipande cha pizza. Hiyo ndio chapa ya ukoloni mpk dunia inafika mwisho na hautakuja kuwepo ukoloni unaofikia kuakribia huo!

Kila mtu yuko radhi na maoni yake. Ikiwa wewe matendo ya Putin unayatafisiri kama uoga hakuna neno. Mimi nayatafsiri kama tahadhari za kiusalama na ni ujasiri. Wewe ukiona Putin anataka kuleta mvurugo duniani mimi naona anataka kuleta amani na usawa.
 
Kauli kama hizo ndio zinamvunjia heshima.
Kwamba.

Screpper,
Urusi ni kubwa jinga,
Urusi ni Supapawa wa mchongo,
Putin mjinga.

Haya anayasema yeye wakati west wanamuona Putin as very tough and most powerful man on earth.
Russia as military powerful.
Labda west ya kigoma

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwanini Ukraine kuwa Nato ni hatari kwa Urusi kuliko Finland kuwa Nato ?
We do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes… we have nothing that could bother us from the point of view of Finland's or Sweden's membership in NATO.
 


Yaani unapewa kichapo hadi unaanza kusifia namna unavyopigwa..... "... This offensive is of such quality..."
 
[emoji298]️A Pantsir missile system was spotted opposite Moscow’s Luzhniki Stadium, where Vladimir Putin is expected to speak today, as part of a patriotic rally.

[emoji329]: Telegram / tvrain[emoji298]
 


US amekuwa analeta mambo ya kihuni, sasa haina sababu ya kuendelea kuishi kwa wema na mtu ambaye ameshaamua kukuletea uhuni.
 
[emoji298]The United Nations has expressed concern over Russian President Vladimir Putin’s decision to withdraw from the New START treaty, which is aimed at the reduction of states’ nuclear arsenals.

“A world without nuclear arms control is a far more dangerous, unstable one, with potentially catastrophic consequences,” UN spokesperson Stephane Dujarric said, as reported by Sky News. “Every effort should be taken to avoid this outcome, including an immediate return to dialogue,” he said [emoji298]
 
[emoji298][emoji298]According to a survey released by the sociological group Rating on Feb. 21, 95% of Ukrainians believe in Ukraine’s victory in Russia’s full-scale war.

The survey said that 63% of Ukrainians believe that a victory against Russia would require at least six months.

In January 2022, only 56% of Ukrainians’ said they were confident in Ukraine’s ability to defeat Russia.[emoji298][emoji298]
 
Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…