Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ina maana mkuu unataka kutuambia Putin anaposema ...territorial conflicts and disputes... anadanganya!?
 
Kilichobaki tunasema washayavagaa kwa hiyo hamna namna wakitoka wataonekana wanyonge ila fact nfo hvo wanadhalilika sana.

Na mrussi akiwin economic influence kwa kuua nguvu ya dollor ndo atakua amekamilisha hii SMO, maana tutakuwa na the real Free trade.
 
Qouted from Umshana

Kwanza huna cha kujibu kuhusu mikataba ya Urusi na kuvunjwa kwake na babu Putin.

Answer: Ninayo ya kujibu

Pili Libya - MArekani hawakuenda pale (Urusi imeenda kwa umbo la Wagner) bali walitumia ndegevita kudhibiti jeshi la Gaddhafi.
Hawakufanya baada ya kuamua wenyewe au kujisikia 8kama yule babu kwenye Kremlin) lakini baada ya azimio la Baraza la Usalama la UN.

Answer:Ni kweli iliamuliwa na azimio la umoja wa Mataifa lakini kwa madhumuni yapi?

Kilichofanyika ni kupindua serikari kwa kutumia mgongo wa umoja wa Mataifa na kutumia vibaraka wao ili kutimiza malengo ya west hasa Ufaransa.

Fatilia Battle of Sirte lilipiganwa na kina nani?

Vita hii imeacha mzozo kati ya Ufaransa na Italia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbuka hii mbinu haikuishia Libya tu Bali ikaiingia Misri na Muslim brotherhood wwkashinda kidemokrasia ila ukitaka ujue Western countries ni mbwa basi wakamtumia mtu wao kupindua serikari halali na brigedier haftar kukamata nchi.
Je ulisikia nchinyoyote kutoka West ikipinga?

Wakaingia Syria na the same tactics ila Russia akaintervene
Wakaenda Venezuela still Mrusi akaingilia
Wakaja Belarus napo Urusi ikaingia
Wakaingia Kazakhstan nadhani mnafahamu kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara ya pili walidanganya na hapo mataifa mengi waliwakemea. Kwa haki, jinsi Putina anvyokemewa leo.

Answer: Marekani alipoivamia Iraq Mataifa mangapi yalikemea?
Mangapi yalichukua hatua ya kuipiga vikwazo?
Mangapi yalienda Kutoa siraha na Msaada kwa Iraq.

Vyombo vingapi vya habari vilionyesha na kuongelea atrocities zilizotokea kule?

Halafu kinakuja kijitu kinasema Marekani alikemewa?

N.B uwe na nidhamu unapomuonglea mtu usiye mjua[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Kwamba hajiamini hadi nchini kwake anahisi atatupiwa bomu?
 
Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
Huo mfano wako haungii kabisa mkuu,,, ungesema hivi,,,,,,,,! ndugu yako ambae mnaongea lugha zinafanana, tamaduni nk. Anataka kuwakaribisha maadui zako kutoka mbali na yeye anafaham kabisa kuwa hao ni maadui zako na anajua mpaka lengo la kuomba urafiki na wewe ila wewe unamkamkaribisha lkn kabla ya kumkaribisha anakuomba ndugu yangu hao usiwakaribishe lkn wewe husikii,, mwisho anaamua kuchukua maamuzi ya kukupiga, lkn kabla ya kukupiga anakupa onyo lkn wewe husikii, mwisho anaamua kukupiga kabla ya hao maadui kufika hapo kwako,,,, ungesema hivi kidogo mfano wako tungeuwelewa!!
 
Huu mkataba hauna umuhimu kwasasa ndio maana PUT IN kaupiga stop

Acha kupotosha UMMA mkataba haujavunjwa umesimamishwa kwamuda

Mpaka wamagharibi watakapokua naakili kwasasa akili zimewakaa kando
 
Kauli kama hizo ndio zinamvunjia heshima.
Kwamba.

Screpper,
Urusi ni kubwa jinga,
Urusi ni Supapawa wa mchongo,
Putin mjinga.

Haya anayasema yeye wakati west wanamuona Putin as very tough and most powerful man on earth.
Russia as military powerful.
Sio weatern tu mpaka waafrika wenzie

Familiar pattern developing in Africa:

Chad has asked Russia for help in dealing with a terrorism threat in the country.
 
Kwan BELARUS kibaraka wa RUSSIA !!!??
 
Hakuna vita iliokosewa hapo IRAQ ilivamiwa kwamkakati maalum kabisa US na wenzake walijua kama IRAQ hakuna silaha ila walitaka kufanya walichofanya na wamefanikiwa kwa 101% maana nia yao ni IRAQ kutotawalika tu hakuna jengine

Pale VIETNAM jamaa alizidiwa nguvu na USSR ila alikua kajipanga haswaa

Hapo UKRAINE mmetumia njia mlotumiliwa nyie kule VIETNAM ila mpaka sasa hesabu kwa west zinakataaa

Kwan kabla ya FINLAND na SWEDEN hio RUSSIA haikua inapakana na mataifa ya NATO !!?


Jana PUT IN alisema kadri UKRAINE anavyopewa silaha ndivyo kadri na wao wanavyofanya juhudi kuiweka RUSSIA mbali na hilo tishio


Muda nimwalimu mzuri
 
Hakuna price cap yoyote ilofanikiwa br

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwenu!
Mkuu umeandika Kama vile unaongea au kuwaandikia warusi. Kumbe sie Ni wakenya , waTz nk

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu katika maisha halisi kila mtu anayeanza kupiga majirani kwa sababu anawaogopa au kuamini wanataka kumwudhi atakamatwa na kuwekwa ndani.
Na huu ni utaratibu mzuri jinsi unavyotakiwa. Kama hao niliosoma leo katika gazeti, walimwua bibi aliyechoma kitu mbele ya nyumba ya mtu wakiamini huyu ni mchawi.
Imani yao ni kitu kimoja (na tatizo lao), tendo la ukatili ni jinai.
Ukitawaliwa na hofu, nenda utafute tiba au ushauri, lakini usimguse mtu. Huu ndio utaratibu wa haki na sheria.

(halafu katika mfano wako: Ukraine inataka kushikamana na majirani kama vile Poland, nchi za Baltiki, Slovakia, Rumania . . . ambao wote walionya ukatili wa Urusi mara kwa mara katika historia yao hivyo wameungana na Waulaya wengine na hata Marekani. Kwa sababu hakuona ukatili wa Marekani katika historia yao, ila ule wa Urusi wamesikia mara nyingi.)
 
Asante kwa mifano hii ya demokrasia hai. Watu, hata kama ni wachache, wana uhuru wa kuonyesha msimamo wao.
Hata kabla ya vita uhuru huo haukuwepo Urusi tangu Putin aliimarisha utawala wake.
 
Mkuu unaleta kilio kirefu ambacho hakisaidii katika swali la unyama wa Putin katika Ukraine.
Hatuhitaji kuvutana kuhusu jinai za Marekani hapo na pale. Kuhusu Iraki tuko pamoja, katika mengine una mifano ya ajabu.
Ila huwezi kumtetea mjambazi kwa kulialia kuna mjambazi mwingine.
Labda ni ugonjwa wa kila taifa kubwa - ya kwamba linaweza kupuuza wadogo.
Hapo ni muhimu zaidi wadogo kutetea haki na sheria ya kimataifa.
Wale walo wakali zaidi ni nchi ndogo za Ulaya, hasa zile zinazojua Urusi kwa sababu walivamiwa na kubakwa na Urusi tangu karne kadhaa.
Wakati Ujerumani na Ufaransa zilifurahia kufanya biashara na Urusi (Ujerumani mteja mkubwa wa gesi na mafuta, Ufaransa aliyeuza mifumo ya darubini za mizinga kwa vifaru vipya vya Urusi, na mengi mengine...),
nchi hizo ndogo zilionya na kudai hatua.
Ila wengine walikataa hata baada ya Putin kuanza vita mwaka 2014.

Sasa amezidi. Tena kwa vita iliyoandaliwa vibaya...
 
Yah! Somalia hii hii uijuayo. imeikimbiza US humo Somalia.
Yaelekea historia huijui but una tabia ya kuendekeza ubishi.
Sikia Soma history

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hoja za kijinga kabisa. Hiyo somalia ambayo US anafanya anavyotaka iwakimbize US?

Yaani waswahili bhana. Mnaichukulia US km Zaire ya zamani ya Mobutu.....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…