jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Putin anachowachanganya Ni kwamba anaenda tofauti na wao wanavyotaka.Ninachompendea urusi anaacha watu waongee wabashiri yeye kimya kama hasikii, na hafanyi kitu kwa kuprove watu wrong.
Mfano juzi KILA mtu alijua tare 23 atafanya mashambulizi makubwa lakini yeye kimya.
Saiv wanasema hana siraha yeye kimya.Hii nitabia ya kiume haswa.
Ila UKRAINE kaishafanikiwa tayari maana haitajiunga NATO imeharibu miundombinu yake leo Dw Wanakwambia RAIA zaidi million 11 wameikimbia UKRAINEMwaka mmoja bado Russia hajafanikiwa vitani
Hao wanazi waliopo huko kwengine hawana shida sababu wanamisimamo ya wastaniHiyo ardhi haijathibitiwa kwa asilimia [emoji817] bado.
Demilitarization haijafanikiwa kuzuia misaada ya kijeshi isipelekwe Kyiv.
Denazification yalikuwa madai ya kipuuzi tu maana manazi wapo kuanzia Urusi, Belarus, Ujerumani, UK, US na maeneo mengi ya Ulaya....hilo nalo haliwezi kufanikiwa.
Ndege za Russia zinaruka zikiwa Ndani ya Russia cause zikifika huko zitatunguliwa, ndio maana Bado kuna mjadala kuhusu kuipa Ukraine ndege vita, cause Nawao wataweza kushambulia wakiwa Km300 nyumaVimefikaje fikaje hapo wakati Urusi alisema atavilipua na alitangaza dau?
Nikwambie licha ya Urusi kuharibu miundo mbinu ya Umeme na Maji, ila Ukraine wana umeme wa uhakika kuliko TanzaniaIla UKRAINE kaishafanikiwa tayari maana haitajiunga NATO imeharibu miundombinu yake leo Dw Wanakwambia RAIA zaidi million 11 wameikimbia UKRAINE
8M wameenda kwenye nchi za EU
3M wamekimbilia kwa mkombozi RUSSIA
Wengine wamekimbilia kwengine
Kwahakika haya nimafanikio lukuki kwa UKRAINE mie nasema SMO iendeleeeee
Kichaa tu ndo anaweza kuamini kuwa hata Donbas itarudiVilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]
[emoji1255][emoji298]The Ukrainian leadership is preparing to bring Crimea back, and it is necessary to work towards this.[emoji298]
US ikiongozwa na bush ilivamia IRAQ nchi huru kabisaRussia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda kwa kusaidiwa na Gaddafi alivamia mkoa wa Kagera Tanzania, alipigwa mpaka katimuliwa madarakani na Tanzania akakimbilia Saudi Arabia alipofia, sasa Ukraine itaishambulia Russia mpaka aachia majimbo ya Ukraine aliyoteka ya Donetsk, Kherson, Luhansk and Crimea na kuhakikisha Putin kakimbilia China, India au Afghanistan. Yaleyale yaliyompata Iddi Amin atapata Putin! Ukraine inanunua silaha kutoka nchi marafiki kama Russia inavyonunua silaha na DRONE kutoka IRAN!! Slava Ukraine!
Sasa Tanganyika na Zanzibar zinaingiaje hapa?Nikwambie licha ya Urusi kuharibu miundo mbinu ya Umeme na Maji, ila Ukraine wana umeme wa uhakika kuliko Tanzania
Na Russia anapewa na Iran so wamefanyiana demilitarization wote kwa kuzingatia muktadha wa nukta yako.Hao wanazi waliopo huko kwengine hawana shida sababu wanamisimamo ya wastani
Hao wanazi waliopo UKRAINE wakufurutu ada ndio maana walikua wanaua watu kule DON BASS tokea baada ya euro maidan
Demilitirization imefanikiwa kwa 90% sababu kabla ya UKRAINE ilikua ina silaha ila sasa mpaka ipewe
Na hizo anazopewa kwa 90% zinachomwa nandio Maana kila leo anaomba nyengine
Maeneo hayajamilikiwa nandio maana SMO inaendelea kiufupi malengo hayajafikiwa kwa 100% ila yamefikiwa kwazaidi ya 50%
Nikwambie licha ya Urusi kuharibu miundo mbinu ya Umeme na Maji, ila Ukraine wana umeme wa uhakika kuliko Tanzania
Kwa hiyo Ukraine hajapata hasara na wanajeshi wake kufa au sio????"Special Operation" waliodai ingechukua siku tatu sasa imegeuka kuwa vita kamili na imechukua zaidi ya mwaka,Ukraine bado imara na Urusi imepata hasara kubwa;vifaa na wanajeshi wake kufa [emoji1787]
[emoji23][emoji16][emoji23]Nikwambie licha ya Urusi kuharibu miundo mbinu ya Umeme na Maji, ila Ukraine wana umeme wa uhakika kuliko Tanzania
Nato haikubuniwa na kuanzishwa na Marekani. Rudi katika vyanzo TenaI have much respect kwa mzee wangu Kichuguu, lakini akijibu hili swali nitafurahi sana. Na mimi najua organize yoyote inaundwa au kutengenezwa mnufaika ni yule mwanzilishi. NATO imebuniwa na kuanzishwa na Marekani. Akishirikisha nchi zenye nguvu huko ulaya. Na lengo ni kupambana na Urussi/russia. Kingine atusaidie, kwa nini mataifa ya nchi za America zote kusini na kaskazini hawana uanachama wa Nato? Marekani pekee ndio mwanachama tena mwanzilishi nje anayepatikana nje ya ulaya. Mzee Kichuguu njoo utusaidie hapa.
Zeleboy anatapatapa. Uchina haipo tayari kuiona Urusi yenye nguvu ikianguka. Russia ikianguka atakaefuatia Ni yeye. Hili lipo wazi!Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na kiongozi wa China Xi Jinping kujadili mapendekezo ya Beijing kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine.
Akizungumza katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa uvamizi kamili wa Urusi, alisema pendekezo hilo linaashiria kuwa China inahusika katika kutafuta amani.
"Kwa kweli nataka kuamini kuwa China haitasambaza silaha kwa Urusi," alisema Zelensky.
Mpango wa China unatoa wito wa kufanyika mazungumzo ya amani na kuheshimu uhuru wa taifa.
https://www.facebook.com/