Hao watoto wametenganishwa kwa nguvu na wazazi, familia na ndugu zao waliopo Ukraine, huo ni utekaji...Watekwe kivipi...hizo ni propaganda za west kwamba Kuna utekaji....for your information watoto wale they are enjoying life in Russia...huko wako salama kwani wameondolewa kutoka kwenye eneo la Vita .huko waliko Sasa wanasoma na kufundishwa Mambo muhimu ikiwemo historia ya Russia na Warusi....kule Russia ni marufuku kufundishwa Mambo ya kunyonyana ndimi mvulana kwa mvulana au msichana kwa msichana...wanafundishwa utu kule Russia...
Yale yalikuwa sehemu ya makubaliano maalum kati ya Assad na waasi ili waweze kuachia maeneo na raia waliokwama waruhusiwe kuondoka....Njia hii mbona inatumika sehemu nyingi tu mkuu.hata kule Syria imetumika njia hii.hii ni nji nzuri inasaidia kupunguza cost vitani
Safi sana...kumbe ulijua kuwa hiyo ni kejeli...Sasa unalalamika nini kwa kejeli yangu...Comment ile niliijibu kwa kejeli. message sent. Hivi hujui kuwa kejeli zina maana kubwa kwenye international relations na hata kwenye maisha ya kawaida???!!!Umeandika kejeli alafu unaiita maana ?.... kejeli kwako zina maana ?
Acha utoto wewe Mzee....Safi sana...kumbe ulijua kuwa hiyo ni kejeli...Sasa unalalamika nini kwa kejeli yangu...Comment ile niliijibu kwa kejeli. message sent. Hivi hujui kuwa kejeli zina maana kubwa kwenye international relations na hata kwenye maisha ya kawaida???!!!
Wamwangalie sana anaweza kuwa na chip ya kupeleleza kila eneo.Kuna mwanajeshi wa kimarekani amekimbilia urusi, anasema atatoa taarifa zote za kiintelijensia za jeshi la ukraine.
Anaitwa John McIntyre
Ni mfuasi wa communist
Ile ni vita kama vita nyingine.kwa iyo kwenye vita kuna vipengele vingi sana ambavyo hata sisi vingine hatuvijui.mfano ukinyanyua bendera nyeupe vitani basi uwezi tena shambuliwa maana yake umekubali kusikiliza matakwa ya unaopigana nao.Yale yalikuwa sehemu ya makubaliano maalum kati ya Assad na waasi ili waweze kuachia maeneo na raia waliokwama waruhusiwe kuondoka....
Waasi hawakujisalimisha ila jeshi liliondoa mzingiro na kuwaruhusu kuondoka ila kuachia maeneo.
Ngoja wanyooshwe kwanzaBBC muda huu wanatangaza maendeleo ya kipigo cha Ukraine....duh, mtangazaji anataka hata kulia
Ya! Jamaa kisha zungumza mengi tuKuna mwanajeshi wa kimarekani amekimbilia urusi, anasema atatoa taarifa zote za kiintelijensia za jeshi la ukraine.
Anaitwa John McIntyre
Ni mfuasi wa communist
Na zile mlizopeleka zinasubiri nn kuanzia kazi? Kazi mnasema ameishiwa risasi na bunduki ila mnapigwa na mawe
Hizo fedha kama moto wa mabua dk zero kwisha,wazilete Tena zingine hizo hazitoshi .URUSI shida silaha analamba na hata fedha pia, kesho Tena utasikia US katoa $8bilionZa Hapo juzi juzi zimeisha?