kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Pro russia kwa propaganda ni kama baba yenu putin.Wewe ndo hufuatilii taarifa au utakua umebase kwenye taarifa zinazotolewa upande mmoja.
Jiulize black sea tena karibu na cremia drone ,ghali ya upelelezi ya kimarekani ilikua inatafuta nn? Kipindi hiki cha vita.?
Angalia umbali wa marekani hadi black sea utajua kua lengo la marekani lilikua ni ovu dhidi ya russia ndo maana urusi hakuchelewa kufanya maamuzi.
Pia kaa ukijua kua commanding center nyingi za kurusi zinazo ongoza SMO ukrane zipo cremia.
pia kuna maghala, Mengi ya siraha yapo cremia.Nadhani utakua umeshajua lengo la ile drone ni nn?
Na ilikua ni siku chache baada ya kombora hataree la warusi kuwafyeka makamanda wa Nato wengi walikua ni wamarekani na waingereza.
Nadhani lengo lilikua ni kulipa kisasi.
Bado majuzi hapo bomba ya kimarekani B 52 ilijichanganya kujaribu kuingia anga la warusi ikafurushwa.
Hicho kipigo cha hizo hypesonic mbili zinachimbua ardhi zimeacha majonzi makubwa Nato,Wanajaribu jinsi ya kulipa kisasi ila wanashindwa.
Kaenda south Africa na hakuna aliemkamataMuulizeni Omar Al-Bashir wa Sudan kama alishwahi kutoka nje ya Sudan tangu RB yake itoke mwaka 2009 na 2010?
Mwaka 2015 alitua hapo Pretoria jaribu kukumbuka nini kilimfanya atoroke usiku wa manane?😳🙄
Hata mimi nilishangaa kidogo hivi iweje huyu Mtu ambaye anawaona Wamerikani ni Mungu wake wa Dunia, leo hii anahaha kupewa/pata hotline ya Comrade Xi - ili ampigie simu ili iweje - si Xi alitaka kuwa mpatanishi kati ya Putin na Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky kutokana na kiburi anacho pewa na Biden akamtolea nje Xi kutokana na shinikizo la Biden kwamba hasimsikilize Xi - lakini baada ya kushuhudia kitu kizito kikiwatoa pumzi washauri wake wa kijeshi kutoka Merikani,UK na Poland wakiwa vaporized 400 feet underground in a reinforces concrete bunker - ndio akashtuka kwamba kumbe Putin hana mchezo akidhamilia kufanya kitu hana simile.Baada ya kile kipigo tu
Akaanza Kuhaha kupata Hotline ya Xi Akaambulia Patupu
Mkuu kama nimemwelewa Medvedev sawa aliwatisha wakurugenzi wa viwanda kwa maneno ya Stalin. Maana yake: angependa kupata vifaru vipya 1500 kwa mwaka, anajua hawezi kupata, hivyo ana watisha kwa matumaini watapata njia kuongeza idadi kidogo.Unaponunua gari ili utafute vipuli basi ni lazima lianze kufanya kazi.vifaru vya Urusi ambavyo vipo active(tayari kwa vita ni zaidi ya elfu 10).bado anaendelea kutengeneza na bado anaendelea kufanya upgrage ya baadhi ya vifaru kama T-64, T-72, T-80 na pia kuna upgrade na T-90 japo bado ni vya kisasa.
Urusi kwa miezi mitatu hii ukiangalia kama wamepoteza vifaru vingi basi ni 300.maana yake kwa mwaka wana uwezo wa kupoteza vifaru 1200.ndo maana Medved kasema kwa kila mwaka vifaru vipya 1500 vitakuwa vinatengenezwa na vile vya zamani vitaendelea kufanyiwa upgrade ili kwenda na wakati.
Urusi hata akikaa miaka 8 pasipo kutengeneza vifaru vipya na bado hatoitaji kutumia T-55 maana T-80 zipo, T-72 zipo na T-64 Zipo.
Kuna T-62 hatumii kabisa leo hii aje kutumia T-55.wakati T-62 ni bora na kipya kwa T-55. Na T- 62 anavyo vingi tu kwenye store
Mie mwanangu wa kiume nimempa jjna LA Rais wa kwanza wa Urusi, Ilyich (Vladimir Ilyich Ulyanov)Nikizaa mtoto wa kiume ntamuita Putin au Vladimir [emoji1787]
Sasa unazani zilitengenezwa ziwe mapambo,zilitengenezwa siku mmoja zitumike.Gaddafi angekuwa na nukes nini kingemzuia kufyatua? Hizi nuclear zisikie tu kwa jirani yako.Ndio maana tunamuona Putin ni mwehu kutishia kufyatua nuclear.
Mi naona unanipotezea tu muda wangu bure.nishakwambia uwezi pata takwimu ya mambo ya Urusi kwa vyanzo vya kutoka uingereza au Marekani.mbona mgumu kuelewa maana naona unalazimisha vitu.Mkuu kama nimemwelewa Medvedev sawa aliwatisha wakurugenzi wa viwanda kwa maneno ya Stalin. Maana yake: angependa kupata vifaru vipya 1500 kwa mwaka, anajua hawezi kupata, hivyo ana watisha kwa matumaini watapata njia kuongeza idadi kidogo.
Makadirio ninayoona kwa sasa ni hizi:
How quickly can Russia rebuild its tank fleet?
It has one tank factory, and is increasingly reliant on refurbishing old models
How quickly can Russia rebuild its tank fleet?
It has one tank factory, and is increasingly reliant on refurbishing old modelswww.economist.com
na hii:
Russia has just one tank factory churning out 20 tanks a month, with demand outstripping production by a factor of ten, says report
Joshua Zitser Feb 28, 2023, 1:24 PM
- Russia has just one tank factory, which can produce around 20 new tanks every month.
- Demand for tanks is now outstripping production by a factor of ten, according to The Economist.
- Russia is losing around 150 tanks a month in Ukraine, and is becoming reliant on refurbished vehicles.
- Russia has just one tank factory churning out 20 tanks a month, with demand outstripping production by a factor of ten, says reportSIZE]
Pamoja na kurudisha vifaru kutoka maegesho (vinavyohitaji matengenezo baada ya kukaa miaka mingi kwenye maegesho porini) wanatoa labda vifaa 90 kwa mwezi.
Ila vipuli kwa elektroniki ya kisasa ni haba. Elektroniki hasa za darubini zinaleta tofauti kama kamanda wa kifaru anaweza kulenga kilomita 2 au 4, na kama anaweza kuona chochote wakati wa usiku. Kwenye mapigano mara nyingi ni tofauti kati ya kifo na uhai.
Mkuu ambacho hujaelewa n nn?? Spy plane au spy UAVs zinatafuta eneo lenye concentration ya adui, mahali vifaa vilipo au depot ya mafuta.Pro russia kwa propaganda ni kama baba yenu putin.
Haya ona hiyo habari ya warusi wenyewe sio wewe mrusi wa kazuramimba.
Sasa unazani zilitengenezwa ziwe mapambo,zilitengenezwa siku mmoja zitumike.
Nakazia[emoji4]Mwehu ni yule aliyefyatua Nukes kule Japan.
Alipofika South Afrika ikatoka RB ingine kutoka mahakama ya South Afrika.Kaenda south Africa na hakuna aliemkamata
Na Angekua nazo hakuna kima angesogeza pua[emoji4]Gaddafi angekuwa na nukes nini kingemzuia kufyatua? Hizi nuclear zisikie tu kwa jirani yako.Ndio maana tunamuona Putin ni mwehu kutishia kufyatua nuclear.
Kaulize Hiroshima na NagasakiZina Nini?
MkuuHata mimi nilishangaa kidogo hivi iweje huyu Mtu ambaye anawaona Wamerikani ni Mungu wake wa Dunia, leo hii anahaha kupewa/pata hotline ya Comrade Xi - ili ampigie simu ili iweje - si Xi alitaka kuwa mpatanishi kati ya Putin na Zelensky lakini ujeuri wa Zelensky kutokana na kiburi anacho pewa na Biden akamtolea nje Xi kutokana na shinikizo la Biden kwamba hasimsikilize Xi - lakini baada ya kushuhudia kitu kizito kikiwatoa pumzi washauri wake wa kijeshi kutoka Merikani,UK na Poland wakiwa vaporized 400 feet underground in a reinforces concrete bunker - ndio akashtuka kwamba kumbe Putin hana mchezo akidhamilia kufanya kitu hana simile.
Zelensky anapashwa kushukuru sana Waziri mkuu wa Israel aliye waho kumuomba Putin hasimuue Muyahudi mwenzake Zelezensly, ndio maana Zelensky yu hai mpaka sasa.
Wote ni madikteta na wauaji na wote ni wantedUlunajaribu kumfananisha Putin na Omar al bashir. Hongera
Asafiri tu hahahaSasa tuone wakujitoa muhanga kumkamata Rais wa Urusi
Angekua mwanachama mbona angeenda!Iko hivi!!
Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.
Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
Japan yesIla USA wenyewe sio wehu ambao hawakutishia Bali walifyatua kabisa huko Japan na Yugoslavia!