Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sina uhakika kama hii ni sababu ya Ulaya kuachana na nishati ya Urusi. Nchi hizo ziliendelea kwa miaka mingi kupendelea gesi ya Urusi. Ziliwekeza pesa nyingi katika Urusi kujenga uchumi wake uliokuwa duni kabisa baada ya miaka ya ukomunisti.
Ila tendo la Urusi kuvunja mapatano ya nchi za Ulaya (iliyowahi kukubali yote) na kuanzisha tena vita ilisababisha azimio la kumaliza ushirikiano huo wa miaka mingi.
Gesi ya Marekani ni ghali kuliko ile ya Urusi; pia nchi hizo zinaelewa kwamba kuna hatari kutegemea mno Marekani na Waarabu, hivyo ncho za Ulaya zinajitahidi sasa kujenga uchumi utakaostawi bila gesi na mafuta.
 
US kashatepeta anaishi kwa hofu hajui atashonwa upande gani
 
Lile kombora lilitua poland kwa nini marekani na vikoba wenzie walikanusha kuwa halijatoka Russia kama Marekani na NATO wanajiamini wanamuweza Russia kwa nini hawajasema Russia ndio karusha ikawa sababu tosha ya kupigana nae au nini kilichofanya wakanushe kua sio Russia wakati zele alisema Russia ndio karusha kama hawamuogopi Russia
Kama hiyo haitoshi kuna mzinga zele alipiga Poland

Kama hiyo haitoshi zele alipiga Poland akasema Russia ndio kapiga, ila Marekani na NATO wakakanusha faster wakasema ni Ukraine 😆😆
 
Mkuu kama nchi yako imewahi kupokea msaada kutoka US na West basi jua hata US afanye blunder ya kiasi gani serikali yako haiwez kufanya chochote zaid ya kujibaraguza ziara ya 'mkopo' inaitwa ni ziara yakidemokrasia
 
Naona hali inazid kuwa mbaya kwa US hata watoto wake EU wameanza kuona kaka yao ushawishi unapotea kwa kasi. Bad news jana MP wa Germany Sevim Dagdelen amesema ni wakati sasa wa wanajeshi wa US kurudi kwao.

Wanajeshi wa Ukraine wamegoma huko maana wanasagwa huko bakhmut.
 
Nafurahi kuwa kimya. kiukweli mnaendekeza ushabiki too much. Urusi na USA hawawezi pigana ana Kwa ana ,nchi Kwa nchi . Watapigana Kwa kutumia mtu wa kati kama vile Leo tunavyoona. Kijeshi Kila mtu anamwogopa mwenzake. Kiuchumi Marekani yupo vzr. USA atamlegeza mrusi Kwa vikwazo nasio kumpiga kijeshi hawezi na hatathubutu. Ndo maana anamsaidia ukreni lakini hataki kupigana ana Kwa ana na mrusi kama kule Iraq .
 

Puli inamemuaharibu sana huyu dogo
 

Ajabu nchi zaidi ya 30 zimeungana against huyu unayemwita uchwara. Dogo nenda jukwaa la mapenzi kwenye uzi wa riki boy huku unapuyanga.
 
Hakika huyu mtu anatumia cocaine sio Bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Ukomunist umeondoka Vietnam?
Kwamba ile Vita yake na Vietnam China ilifeli?

Kwamba utawala wa Puppet kutoka South Vietnam upo Leo?
Hawakupigwa vita na North Vietnam na wengi kuuwawa na kukimbilia western Europe na America?

Unaspin hii historical facts kwa niaba ya nani?
 
Kwamba Detroit ni tajiri?
Mississippi napo?
Vipi tatizo la homeless limeisha?
Milioni 37 ya Wamarekani ni masikini wa kutupwa.

Hivyo hakuna nchi yenye maisha Bora kwa watu wote ila mwambie Moscow ni Jiji Bora kushinda miji mingi mikubwa Ulaya.
 
Unajua hainiingii akilini kwamba Urusi tuu kajiinukia na kuvamia Ukrain? Nipe sababu halisi kwanini kaivamia ukrain...na ukishindwa basi unipe sababu kwanini Urusi imepewa Uraisi wa UN security counsil mwezi huu wakati yupo kwenye OP mnayoita 'uvamizi'....na ukishindwa basi wazungu wanatuchezea akili nchi zenye rasilimali asili ili wajinufaishe wao..hasa waliowekeza kwenye nchi zetu afrika
 

Now approximately $ 200 billions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…