Nimeshamsoma tayari.alishaanza kukata moto.
Kama na wewe ni muumini wa yeriko Nyerere basi huna hoja pia.Naona Yericko Nyerere akifafanua Swala la Putin vizuri kwenye ukurasa wake wa Facebook.View attachment 2583900
Bado hujui hizo taasisi unazoongelea ni nini: ni Hedge funds, na mifuko ya kijamii inayotunza 401k ambayo yote haina uhusiano kabisa na serikali. Hayo mambo mengine uliyotaja ni dhaifu tu, kwani kama Marekani ilitaka kuidhoofisha Urusi, kwanza isingeisaidia kupata silaha zote za Nuclear baada ya USSR kuvunjika, halafu isingeikopesha hela nyingi sana kujenga uchumi wake upya na vile vile isingehamasisha makampuni ya kimarekani kuwekeza kwenye uchumi wa Urusi. Inawezekana hujui kuwa mpaka sasa hivi bado Urusi inadawia mabilioni ya pesa na mabenki ya Marekani kutokana na ile hamasa iliyoendeshwa wakati wa utawala wa Clinton na wa Yelstin kuisaida Urusi. Yelstin akifufuka leo atashangaa.Hii unafahamu unachokizungumzia hapa?
Kwanza asilimia 70 ya hisa za macdonald ni za kitaasisi hivyo hao watu sijui nini hakuna.
Pili sera za makampuni huwa zinaathiriwa na sera za Serikari zao.
Sera ya Marekani ilikuwa kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kushinikiza makampuni ya Magharibi kujiondoa ndio maana alizishirikisha nchi zilizopo Umoja wa Ulaya.
Sasa niambie, je sera ya nchi haijaathiri biashara ya Mac?
Kama imeathiri, hao Wana hisa wamejiondoa?
Na kama hawajajiondo kwa nini?
Kumbuka Kuna reputation risk kwenye makampuni lakini sio kwa blunder iliyofanyika kipindi hiki Cha Dementia joe.
Kwenye hii op, tumegundua kuwa kumbe duniani hakuna free trade achilia mbali fair.
Akili ni kama nywele kila mtu anazake.Wewe unaandika ujinga hadi unakera..et poor judgement..hivi unajua Putin alifanya nini mara baada ya waandamanaji kuvamia ofisi ya KGB -East Germany???
Lakni suluhisho lá hayo unamjibu kwa hoja na sio kumtukana wakati yeye hajatukana mtu.Dawa ni wewe kuacha kuandika kwa hisia ni mihemuko....
Zamani sana nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu tulikuwa na somo linaitwa DS100 na DS200. Katika mtihani mmoja swali la Political Economy liliuliza kuwa ni nini mafanikio ya CCM katika kujenga uchumi wa Tanzania. Jamaa mmoja aliyekuwa ni mwamba sana pale campus kwa DS akaanza kuandika kuwa ili kupima mafanikio ya CCM kiucuhumi, lazima tujua CCM ni nini imetokea wapi. Kwa haiyo akaandika backagorund struggles za Tanganyika na Zanzibar, kuundwa kwa TAA, African Party, Shiraz Party na baaadaye muungano wa African Party na Shiraz Party kuwa ASP na vile vile transformation ya TAA kuwa TANU. Baada ya njia ndefu hiyo ndipo mwishowe akasema ."....ilipofika mwaka 1977 ndipo ASP ikaungana na TANU na kuundwa CCM" Alivyomaliza setenesi hiyo akaambiwa pens down; muda umekwisha. Maktokeo yake yule kipanga wetu wa DS akapat zero kwenye swali hilo.Mkuu hapa anakukimbia maana mapigo ya kiwagner ameona hayawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
As long as ni makampuni yalisajiliwa Marekani basi yatafuata sera za kiuchumi za Marekani au Ulaya ikiwa yamesajikiwa Ulaya.Bado hujui hizo taasisi unazoongelea ni nini: ni Hedge funds, na mifuko ya kijamii inayotunza 401k ambayo yote haina uhusiano kabisa na serikali. Hayo mambo mengine uliyotaja ni dhaifu tu, kwani kama Marekani ilitaka kuidhoofisha Urusi, kwanaza isingeisaidia kupata silaha zote za Nucreal byaa ya USSR kuvunjhika, halafu isingeikopesha he;la nyingi sana kujenga uchumi wake na vile vile isingehamasisha makampuni ya kimnarekani kuwekza kwenye uchumi wa Urusi. Inawezekana hujui kuwa mpaka sasa hivi bado Urusi inadawia mabilioni ya pesa na mabenki ya Marekani kutokana na ile hamasa iliyoendeshwa wakati wa utawala wa Clinton na wa Yelstin kuisaida Urusi. Yelstin akifufuka leo atashangaa.
Na wewe unaandikam kwa kudhani tu. Mimi binafsi nina kampuni yangu ndogo imeajiri watu kumi na tano tu ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe ambaye ninafanya part time. Sijawahi kupanua tentacles kufungua matawi nje ya eneo langu au nje ya nchi, bado ni local company tu. Sijawahi kupata amri yoyote kutoka serikalini kuhusu nani wa kufanya biashara naye. Multinational companies pia hazipangiwi na serikali wapi pa kufanyia biashara; ni management ya kampuni yenyewe inayoamua ama kukubaliana na msimamo wa serikali au kughaili. hakuna Pressure kutoka serikalini.As long as ni makampuni yalisajiliwa Marekani basi yatafuata sera za kiuchumi za Marekani au Ulaya ikiwa yamesajikiwa Ulaya.
Umeshindwa kuonyesha kwamba sera za nchi ya Marekani haiathiri hayo Makampuni?
Kwanza hongera kwa kumiliki kampuni ni wazo zuri na shime nakutia juhudi ifikie hatua itoke kwenye private ili ije kwenye public.Na wewe unaandikam kwa kudhani tu. Mimi binafsi nina kampuni yangu ndogo imeajri watu kumi na tano tu ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe ambaye ninafanya part time. Sijawahi kupanua tentacles kufungua matawi nje ya eneo langu au nje ya nchi, bado no local company tu. Sijawahi kuata amri yoyote kutoke serikali kuhus nani wa kufanya biashara naye. Mltinational companies pia hazipangiwi na serikali wapi pa kufanyia biashara; mni management ya kampuni yenyewe inayoamua ama kukubaliana na msimamo wa serikali au kughaili. hakuna Pressure kutoka serikalini.
Mareklani ni nchio pekee ambayo sera zake ziko wazi klabisa; hawafichii kitu. Sijajua una maan ya sera gani ambazo zinaaathiri makampuni ilihali makampuni yana uhuru wa kujiamulia.,
kuna package special zenye vyakula vikavu na dawa za huduma ya kwanza, ila pia kuna kuwa na zile temporary big camps ambako kuna kuwa na chakula kizito na huduma nyingine kama kuoga na mashine za kufulia.Naomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo mda mrefu wakiwa front ? Naomba ufafanuzi wa kina
Hiyo si boxer? US ameingia mitini na abram zakeb yaani baadala ya leopard kupita humo wao wanapita na boda[emoji38][emoji38][emoji38][emoji635][emoji635]VIDEO
View attachment 2583744
Kwa Kuangalia Video hii Nani Anashinda Vita?
Hawa Ni Wagner wanazunguka Mitaa ya Bakhmut tena kwa Pikipiki Kukiwa hakuna hata Panya!
Yaani huu ni mji wenu Wageni wanazurula bila Shida yeyote Na bado mnasema Mnashinda Vita Ipi?
Hawa Wapuuzi wapo Bakhmut ipi?
Ila tuache masikhala Miji ya Ukrein imeharibiwa sio Mchezo
unaweza Sema Hapakuishi watu Miaka 100
Barabara Hazijulikani kama ni Lami au Kichochoro!
Anarudi Marekani akiwa hiviWarusi wanatoa kipigo kibaya Sana, ona walivyomfanya huyu kamanda
Interesting things are reported. In the photo, the commander of a platoon of the National Guard of Ukraine returned from Artyomovsk.View attachment 2584005
Kama kweli Makampuni yote Merikani ni truly independent - mbona yalipo amriwabna Serikali ya Merikanii kujiondoa huko Urusi mbona karibu zote zili comply to the letter - tatizo letu kuu waswahili ni kusifia every thing American, hata sijui kwa nini - mbona sasa Wajerumani wamehamua kumwandikia barua Putin kwamba wanataka makampuni yao ya uundaji magari yaanze tena shughuri zake huko Urusi - Wajerumani wanaona mbali, muda si mrefu makampuni mengine ya mataifa mengine yatafuata mkondo wa Ujerumani na sio sera za wivu na roho mbaya ya watawala wa Merikani. FYI Urusi inaendelea kuchimba na ku export mafuta bila ya so called taaluma za kampuni ya Exxon - kwani Exxon ni nani katika masuala ya Petroleum industry.Na wewe unaandikam kwa kudhani tu. Mimi binafsi nina kampuni yangu ndogo imeajiri watu kumi na tano tu ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe ambaye ninafanya part time. Sijawahi kupanua tentacles kufungua matawi nje ya eneo langu au nje ya nchi, bado ni local company tu. Sijawahi kupata amri yoyote kutoka serikalini kuhusu nani wa kufanya biashara naye. Multinational companies pia hazipangiwi na serikali wapi pa kufanyia biashara; ni management ya kampuni yenyewe inayoamua ama kukubaliana na msimamo wa serikali au kughaili. hakuna Pressure kutoka serikalini.
Marekani ni nchi pekee ambayo sera zake ziko wazi kabisa; hawafichii kitu. Sijajua una maan ya sera gani ambazo zinaaathiri makampuni ilihali makampuni yana uhuru wa kujiamulia.,
Na wewe unaandikam kwa kudhani tu. Mimi binafsi nina kampuni yangu ndogo imeajiri watu kumi na tano tu ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe ambaye ninafanya part time. Sijawahi kupanua tentacles kufungua matawi nje ya eneo langu au nje ya nchi, bado ni local company tu. Sijawahi kupata amri yoyote kutoka serikalini kuhusu nani wa kufanya biashara naye. Multinational companies pia hazipangiwi na serikali wapi pa kufanyia biashara; ni management ya kampuni yenyewe inayoamua ama kukubaliana na msimamo wa serikali au kughaili. hakuna Pressure kutoka serikalini.
Marekani ni nchi pekee ambayo sera zake ziko wazi kabisa; hawafichii kitu. Sijajua una maan ya sera gani ambazo zinaaathiri makampuni ilihali makampuni yana uhuru wa kujiamulia.,
Ndezi sana weweMazimbu haikuwa kambi ya Frelimo bali ilikuwa kambi ya ANC. Mimi nikiwa kijana nilikuwa mpenzi wangu wa kike pale Mazimbu mwaka 1982 hadi 1983. Hata yule jamaa aligeongana na Sokoine alikuwa anaishi hapo hapo Mazimbu. Na wewe ongea ukiwa unajua unaloongea.
Na mimi nimemuhoji swali hilo hilo.Kwanza hongera kwa kumiliki kampuni ni wazo zuri na shime nakutia juhudi ifikie hatua itoke kwenye private ili ije kwenye public.
Lakini tukirudi kwenye mada hivi umeisoma vizuri Company law maana ni sheria muhimu mno na ndiyo inayo regulate biashara yako na utagundua serikari inavyo weza kuathiri biashara yako.
Ndio iwe Marekani?
Kama hazipangiwi kwa nini zimeacha kufanya biashara na kujiondoa Urusi baada tu op kuanza?
Kwa nini waliamua kutii amri zilizotolewa na Mataifa yao kuhusu kujiondoa Urusi?
Kwa nini zilizotaka kugoma zilitishiwa vikwazo?
Tunaomba mahojiano hato tafadhariSimple logic inatokana facts mbili tu kwamba
(a) Putin aligraduate kutoka Leninigrad University mwaka 1975 halafu akaijunga na mafunzo ya KGB hadi mwaka 1979; wakati USSR inaivamia Afghansntani ndipo alikuwa anamaliza mafunzo ya KGB na wala hakuhusika na operation ile ila alipangiwa majukumu ya makao makuu Moscow.
(b) Mnangagwa alifungwa jela mwaka 1966 na kuachiwa huru mwaka 1975
Hiyo picha haiwezi kuwakutanisha Putin na Mnangagwa Bagamoyo mwaka 1973. Putin mwenyewe aliwahi kuhojiwa kuhusu picha hiyo akasema hajawahi kuishi sehemu yoyote Afrika. Halafu watu hapa wanalazimisha kuwa alikuwa afrika. Hata alipoanza kuwa waziri mkuu hakuwa na mwili kama huo wa kwenye picha hiyo.
View attachment 2583681
Asante sana kwa kutufahamisha kua umesoma UD.Zamani sana nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu tulikuwa na somo linaitwa DS100 na DS200. Katika mtihani mmoja swali la Political Economy liliuliza kuwa ni nini mafanikio ya CCM katika kujenga uchumi wa Tanzania. Jamaa mmoja aliyekuwa ni mwamba sana pale campus kwa DS akaanza kuandika kuwa ili kupima mafanikio ya CCM kiucuhumi, lazima tujua CCM ni nini imetokea wapi. Kwa haiyo akaandika backagorund struggles za Tanganyika na Zanzibar, kuundwa kwa TAA, African Party, Shiraz Party na baaadaye muungano wa African Party na Shiraz Party kuwa ASP na vile vile transformation ya TAA kuwa TANU. Baada ya njia ndefu hiyo ndipo mwishowe akasema ."....ilipofika mwaka 1977 ndipo ASP ikaungana na TANU na kuundwa CCM" Alivyomaliza setenesi hiyo akaambiwa pens down; muda umekwisha. Maktokeo yake yule kipanga wetu wa DS akapat zero kwenye swali hilo.
Jifunze namna ya ku-convey message haraka under limited time. Kuna watu wanadhani kila anayeandika hapa JF ana muda mwingi sana wa kusoma neno kwa neno; wengine huwa tuna scan tu. Ukipata bahati nikakuandikia email utakuta messsage yangu inakuwa kwenye header, yaani unaweza kujua message hata kabla ya kufungua email yenyewe
I personally know Mr Kichuguu, kuwa na kampuni US ni kitu kidogo sana kwake. Huyu ni mmoja wa vichwa tulivyovipoteza hapo UDSM.Kwa reasoning ya namna hii, sidhani kama una hiyo kampuni.