TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Asante sana. Nimefarijika.Hii Special Op imekuja na mengi, na moja wapo sikuwah amini kama TZ kuna watu wa sampuli hii nayo ishuhudia tena hasa hapa JF walio kua wanajitapa kwa kujiita GT kumbe ni ..........
Mtu mzima, mrushieni taulo na koti ili aweze kupitia mbele ya vitukuu vyake!!! Maana ni hatari.Kwanza hongera kwa kumiliki kampuni ni wazo zuri na shime nakutia juhudi ifikie hatua itoke kwenye private ili ije kwenye public.
Lakini tukirudi kwenye mada hivi umeisoma vizuri Company law maana ni sheria muhimu mno na ndiyo inayo regulate biashara yako na utagundua serikari inavyo weza kuathiri biashara yako.
Ndio iwe Marekani?
Kama hazipangiwi kwa nini zimeacha kufanya biashara na kujiondoa Urusi baada tu op kuanza?
Kwa nini waliamua kutii amri zilizotolewa na Mataifa yao kuhusu kujiondoa Urusi?
Kwa nini zilizotaka kugoma zilitishiwa vikwazo?
Daaah, kama makampuni ni ya watu binafsi kwanini nchi za magharibi zilishinikiza makampuni yajiondoe urusi ili urusi ianguke kiuchumi?????Bado hujui hizo taasisi unazoongelea ni nini: ni Hedge funds, na mifuko ya kijamii inayotunza 401k ambayo yote haina uhusiano kabisa na serikali. Hayo mambo mengine uliyotaja ni dhaifu tu, kwani kama Marekani ilitaka kuidhoofisha Urusi, kwanza isingeisaidia kupata silaha zote za Nuclear baada ya USSR kuvunjika, halafu isingeikopesha hela nyingi sana kujenga uchumi wake upya na vile vile isingehamasisha makampuni ya kimarekani kuwekeza kwenye uchumi wa Urusi. Inawezekana hujui kuwa mpaka sasa hivi bado Urusi inadawia mabilioni ya pesa na mabenki ya Marekani kutokana na ile hamasa iliyoendeshwa wakati wa utawala wa Clinton na wa Yelstin kuisaida Urusi. Yelstin akifufuka leo atashangaa.
Asante sana Mkuu Kwa taarifa.Kasoma na kufundisha hapo.
Kwa hili siwezi pita bure ase.
Upotoshaji wowote unapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
Unapata vipi nguvu ya kutetea mtetea Uchoko (upinde)?
Huwezi ukamtofautisha mtetea uchoko na uchoko wenyewe.
Sio kila alieko marekani ni ***** ila kila anaetetea au ku-Support uchoko nae ni ***** vilevile.
Labda nipate jibu kutoka kwako ili nifanye conclusion ya ninayofikiri kichwani kwangu juu ya ww.
-Je naww ni miongoni mwa wateteaji wa haki za mashoga?
(NAOMBA UNIJIBU HILO SWALI TAFADHALI)
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu kama umesoma mpaka chuo kikuu bado basi unamiliki cheti cha chuo kikuu lakini huna elimu ya chuo kikuu,Na wewe unaandikam kwa kudhani tu. Mimi binafsi nina kampuni yangu ndogo imeajiri watu kumi na tano tu ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe ambaye ninafanya part time. Sijawahi kupanua tentacles kufungua matawi nje ya eneo langu au nje ya nchi, bado ni local company tu. Sijawahi kupata amri yoyote kutoka serikalini kuhusu nani wa kufanya biashara naye. Multinational companies pia hazipangiwi na serikali wapi pa kufanyia biashara; ni management ya kampuni yenyewe inayoamua ama kukubaliana na msimamo wa serikali au kughaili. hakuna Pressure kutoka serikalini.
Marekani ni nchi pekee ambayo sera zake ziko wazi kabisa; hawafichii kitu. Sijajua una maan ya sera gani ambazo zinaaathiri makampuni ilihali makampuni yana uhuru wa kujiamulia.,
Kiukweli kanishangaza SanaYaani kabisa unasema kwamba sera au amri ya serikali haina impact kwenye kampuni.
Kwa reasoning ya namna hii, sidhani kama una hiyo kampuni.
Mercenary wa ki British akitolewa roho huko Donbass.
View attachment 2584414
Lete story za kambi ya Ukrain na NATO mkuu..maana inaelekea wewe ni askari wa kambi za NATOAcheni story Aa vijiweni
Wanauza oil nyingi lakini Kwa bei kiduchu [emoji1787]Mauzo ya oil and oil products ya Russia yameongezeka kwa 490 thousands barrels per day ukilinganisha na kipindi kabla ya hizo "western sanctions".
Hii imetokana na hao hao westerns kuendelea kununua kwa wingi sana.
Unajua kuna watu wanafikiri kwamba oil ni kama nyanya tu hivi, easy to substitute. Characteristics ya oil ya Russia ni tofauti kabisa na oil ya sehemu nyingine.
Na vilevile, viwanda vya Europe vimekuwa designed kwa ajili ya mafuta ya Russia.View attachment 2584306
Licha yakua magumu sana, lakini bado na wewe upo huko mkuu?.Maisha Yao Magumu sana kuliko mnavyodanganywa
Kwani ni Nani wanaohimiza ushoga kuwa ni suala la lazima kwa kila nchi?Kuwa makini na lugha zako kwa sababu huwa niko sensitive sana dhidi ya lugha mbovu zinazotumiwa na ninaojadiliana nao.
Makampuni ya nchi za west siyo ya serikali, ni ya kila mtu; hata mimi na wewe tunaweza kuwa na shea huko. Yakienda sehemu kufanya biashara siyo kuwa yanakwenda kufanya biashara kwa niaba ya serikali ya Marekani au Uingereza, yanakuja kufanya biashara katika nchi friendly ambako watapata faida.
Halafu kusema kila mtu aliyeko West ni Shoga ni tusi ambalo ningeshauri ulifikirie kwa makini kulitumia. Huwezi kusema kuwa Obama au Trump au King Charles kwa vile tu ni watu wa Magharibi basi ni wao wote mashoga. Maneno ambayo Trump alisema Waafrika wote ni animals akalaumiwa wewe usitake kuhalalisha maneno yake, kwani ndio mwanzo wa ubaguzi, jambo ambalo lilisumbua sana bala la Afrika. Kuwa makini na lugha zako.