Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Let them continue giving them hopeless hope until the blood of the last Ukrainian is shed in the deadly battlefield. Not until then will the warmongers be fully satisfied with sacrificing countless lives of innocent people.
 
Pro-Russia pitieni hapa....
 
Kama ni Propaganda huyu Mjuba ndo kiboko ya NATO anawaingiza sana chaka. Uliza baada ya kusema hivo nini kiliwakuta Manazi na counta offensive yao.
Kwa hiyo ndiyo kusema wanajeshi wa Ukraine wanachungulia kwa mbaaaaliiii kama nguchiro walionyeshewa masika, sasa inabidi jamaa aseme upande wa Urusi wako hoi ili adui avutike aingine kwenye kumi na ^tar-two^ yao? Ahah! Kweli vita ni mbinu, by Sun Tsu. 🙂
 
USSR ilikuwa na nchi ngapi na ikabaki Urusi na unataka ilingane idadi ya watu!!? We jamaa kiazi sana...
 
Mkuu!Nini maana yako!
Katika mji wa Bhakmut, Urusi(wagner) ndio wanashambulia(offencive) na Ukraine wanajaribu kuulinda mji(defensive).
Sasa unaposema Wagner wanawasubili Ukraine waje ili wawashambulie wakati wao ndio wanalinda(defencive) hii haileti maana!
 

Chechen leader invites Wagner fighters to join his forces in Bakhmut​

From CNN's Mariya Knight

Ramzan Kadyrov, the notorious Chechen leader and an ally of Russian President Vladimir Putin, has invited fighters from the Wagner Private Military Company to join the forces of his Akhmat battalion in Bakhmut.

Kadyrov also posted an image of his letter to Putin “to issue combat orders on the removal of Akhmat units from other directions in order to hand Wagner positions in Bakhmut over to them.”

Some context: The head of Wagner, Yevgeny Prigozhin, claimed he will hand over Bakhmut positions to the Chechen leader on May 10. He cited a lack of ammunition supplies, which Prigozhin blames on Russia's military command.

The Chechen leader said online Friday that he will be happy to take over "older brother" Prigozhin’s positions if Wagner decides to leave Bakhmut, and he reiterated that sentiment in another postSaturday.

About Kadyrov: Kadyrov's sizable paramilitary forces, while formally a part of Russian security structures, have personal loyalty to him.

They have been accused by international and independent observers of gross human rights violations.

=========================

Huyu Kadyrov alitamani sana kuchukua nafasi ya Prigozhin, huenda anataka kunufaika na hii Vita.
 
Hivi Vita vya sasa huenda vikawa mwanzo wa Urusi mpya hasa kisiasa zaidi kama Putin ataondoka mamlakani na mrithi mpya asiwe miongoni mwa wahafidhina wenzake.
 
Huyu Orban, Zake yeye ni kupasua jipu kila kukicha 🤗

🇭🇺⚡Hungarian Prime Minister Orban believes that only in a fairy tale can there be a situation in which Russia will be defeated...
Hii ni sawa na kusema ushindi wa Ukraine unawezekana ndoto-wise tu. Hatari sana. Ukweli, but Comedian na Mbepari lazima wavunge upofu hapa.
 
CNN are beginning to begin to be sensible and truthful finally.
 
Anapambana na nchi zote wafuasi wa UsA wamepeleka siraha na wataaalamu lakini mpka Leo URUSI yupo tu. mimi nilifikiria haitazidi miezi mtatu atakuwa amefilisika. Hivi Urusi kumbe sio wa mchezomchezo hii jeuri anatoa wapi maana tumeaminishwa ukigombana na USA unaisha SASA Leo ni mwaka na zaidi hebu tutafakari Kwa pamoja bila ushabiki .Maana kupambana na ukreni +NATO +Australia+japani na Korea kusini sio jambo dogo
 
Kajinga hako katoto...
 
URGENT: PMC "Wagner" received a combat order, the group should be given everything necessary to continue the assault on Bakhmut

E. Prigogine:
Tonight we received a battle order for the first time
for all this time, in which, if you remove the secret data,
the bottom line is as follows: they promise to give us ammunition
and weapons as much as we need to continue
further actions, they swear to us that everything will be on the flank exposed, which is necessary so that we are not cut by an adversary, we are told that we can act in Artemovsk as we see fit, and they give us Surovikin,
as the person who will make all the decisions
.

As part of the hostilities PMC "Wagner" interaction
from the Ministry of Defense, and this is the only person
with the star of an army general who knows how to fight,
among those with this star is an army general.
And another important detail, yesterday I was in our closed
chats specifically asked a question to all the commanders of the junior
link, which immediately brought to the fighters, if someone wants,
he can move to other military formations.
Everyone unequivocally answered no, and in obscene, of course, characteristic of PMC "Wagner" form.
 
Kapiga U-turn [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni mwendo wa kichapo tu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…