lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
πππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Zelensky aongezewe ulinzi wa kutosha ili Wanazi, NATO na Marekani wasije kumla kichwa, then wakamsingizia Mrusi.
Zelensky! Zelensky! Zelensky! Nimekuita mara tatu. Najua umo humu JF tena kwa ID & avatar ya Putin wa bongo , nadhani umenielewa kaka.
Mkuu usiandike kwa hasira mno. Unajua vema hakuna anayetaka kuvamia Urusi....
Mada ni vita kati ya Urusi na Ukraine.
Kama Urusi kubwa jinga ingizeni basi majeshi yenu ya NATO kama mlivyozoea kuingiza Kwa akina lraq na Watalaban.
..
Mkuu inamaana SARS ya 2003 ilikuwa ni maandalizi ya kutapeli watu?Kama nilivyosema mkuu,ni utapeli.Nia ilikuwa kutisha watu, ili wakubali kinachoitwa kwa makosa chanjo,ambayo kiukweli sio Chanjo ila ni Bio-weapon. Hicho kinachoitwa chanjo ndiyo nia hasa, na nia yake kimsingi ni maiming and killing.
Asiye na hoja anakimbilia matusi. Kama kawaida.Mashoga yanaruka na kukanyagana.
Wewe Umshana usisumbuke,tuanajua nia ni kuwatetea mabwana zako and handlers,tatizo limeshakuwa confirmed, radiation ipo.All you are doing ni kuwaficha Wananchi wa Ulaya Mashariki kwamba silaha zenu mlizopeleka Ukraine hazijawaletea matatizo.Ukweli ni kwamba silaha zenu zilizolipuliwa na Urusi ni janga kwa Ulaya Mashariki.Mkuu nadhani nimeelewa kwamba alileta tangazo la Urusi linalodai kuna wingu la mnururisho hatarishi lililosababishwa na mlipuko wa ghala ya grenedi na risasi zenye urani. Alichotangaza ni wingu hili limesambaa hadi Ulaya ya Magharibi.
Hivyo nimefuatilia habari za mnururisho na kuleta ramani kutoka taasisi za Poland, Ujerumani na Ulaya kwa jumla. RAmani zote zinaonyesha data za leo lakini hazionyeshi mnururisho wowote ulio juu kuliko kawaida (muda wote kuna kiwango cha mnururisho asilia kila sehemu ya Dunia).
Baada ya kuona ramani alinishtaki nimetengeneza ramani hizo. Kwa hiyo niliorodhesha tena links za tovuti nilizorejelea.
Baadaye alidai tena "The West" inasambaza propaganda (ambayo ni kweli mara nyingi lakini tovuti hizi kutoka taasisi 3 tofauti si sehemu ya propaganda yoyote. Nisingezitafute kama tusingeletwa hizi habari kutoka Urusi.....)
Mkuu tafadhali tujaribu koongea kama watu wazima. Hajasema America ni perfect, hata kidogo. Amekosoa Marekani pia. Ila tukiwa na watu wengi wenye shida ya macho wakiona nyeupe au nyeusi pekee (bila rangi, bila kijivujivu) haiwezakani kupata picha inayofanana na hali halisi.Ila hujaelezea failure ya Marekani pale Afghanistan?
Vipi kule Costa Rica inabaki most influenced country au 52 state of America?
Vipi kuhusu Mexico ni majirani zao lakini wanachukua mkindo tofauti na Marekani?
Halafu nga' nga' nga' utadhani America ni perfect?
Utaendelea tu kutunga mambo kutoka hewani. Huna data, sidhani unajua data ni kitu gani. Wala utazipata wapi.Wewe Umshana usisumbuke,tuanajua nia ni kuwatetea mabwana zako and handlers,tatizo limeshakuwa confirmed, radiation ipo.All you are doing ni kuwaficha Wananchi wa Ulaya Mashariki kwamba silaha zenu mlizopeleka Ukraine hazijawaletea matatizo.Ukweli ni kwamba silaha zenu zilizolipuliwa na Urusi ni janga kwa Ulaya Mashariki.Lakini Umshana,mbona ni kawaida kwenu kuficha ukweli.Katika Train derailments zote zilizotolewa Marekani na kumwaga sumu,tena kwa makusudi Marekani imekataa kwamba kuna tatizo,only to be proven later that there are serious pollution of the environment.We know the West, it is very possible that it is by design.
Niseme mara ngapi jamani,any Viral epidemic or pandemic most likely ni utapeli.Hakuna pathogen rahisi ku-manipulate kama the so called Viruses.Mkuu inamaana SARS ya 2003 ilikuwa ni maandalizi ya kutapeli watu?
SARS (Severe acute respiratory syndrome) was a chronic disease of the respiratory system caused by the corona virus SARS-CoV. It was first reported in Asia in February 2003 and continued to spread in the following months in more than 20 countries in the Americas , Europe and Asia until the end.
Vifo sijafatilia ila nasikia mfumo wetu tegemezi namba moja umepondwa na kinzhal ambayo walituaminisha wameishusha au wewe hujaona au kusikia hii taarifa.Mkuu je una taarifa gani kuhusu vifo katika mashambulio hayo? Chanzo chako?
Sijaelewa bado, mlipuko ndo utapeli au existance ya virus anayesababisha ugonjwa ndo utapeli?Niseme mara ngapi jamani,any Viral epidemic or pandemic ni utapeli.Hakuna pathogen rahisi ku-manipulate kama the so called Viruses.
Waendelee kuvumilia muda utaongea.Zelensk kashawakimbia [emoji23][emoji23]The headquarters of the 10th Mountain Brigade of the Armed Forces of Ukraine was hit by the Russian Air Force and the commander, Colonel Mykola Golovatyuk, was killed.
t.me/zoka200View attachment 2627858
Mkuu sijui sayansi yako. Naona taarifa kutoka Kyiv kwamba maisha yanaendelea huko. MAra kwa mara wanashtuka wakati alarm zinalia, wanasikia makelele juu wakati makombora yanalipuka hewani. Wageni wengi wako Kyiv, wanaleta taarifa kwamba hawaoni tena mashimo makubwa kutoka makombora yaliopiga shabaha, ila hapi na pale vipande vya makombora yalioanguka baada ya kupigwa hewani.Mpaka Sasa HAKUNA KOMBORA la kudaka KOMBORA lenye Kasi ya March 10. Duniani, wanaojadili hili hawajasoma Science,poleni Sana Wana Ukraine kwa maigizo na salamu kwa wajinga.
Mkuu umeshaniahidi mara kadhaa kwamba utanipuuza na kutojibu ujinga wangu tena. Nakumbusha tu...Wewe Umshana usisumbuke,tuanajua nia ni kuwatetea mabwana zako and handlers,tatizo limeshakuwa confirmed, radiation ipo.All you are doing ni kuwaficha Wananchi wa Ulaya Mashariki kwamba silaha zenu mlizopeleka Ukraine hazijawaletea matatizo.Ukweli ni kwamba silaha zenu zilizolipuliwa na Urusi ni janga kwa Ulaya Mashariki.Lakini Umshana,mbona ni kawaida kwenu kuficha ukweli.Katika Train derailments zote zilizotolewa Marekani na kumwaga sumu,tena kwa makusudi Marekani imekataa kwamba kuna tatizo,only to be proven later that there are serious pollution of the environment.We know the West, it is very possible that it is by design.
Mkuu mbona uitaja "maafa yote hayo". Hapo nilishangaa maana taarifa zote kuhusu shambulio hilo la roketi 30 zilitaja wahanga wachache sana, chini ya 10.Vifo sijafatilia ila nasikia mfumo wetu tegemezi namba moja umepondwa na kinzhal ambayo walituaminisha wameishusha au wewe hujaona au kusikia hii taarifa.
Ngoja ziende zikatunguliwe.Bila GPS bombs sitakuwa guided vipi.These are empty promises,like father like son.[emoji298][emoji298]U.S. President Joe Biden has assured the leaders of the G7 nations that the United States will support an effort to train Ukrainian pilots on advanced aircraft, including F-16s.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zele kamteka alitaka kumpinduaHivi mkuu wa majeshi wa Ukraine ameshajitokeza mafichoni ?