Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao sio viongozi wa dunia
Sema viongozi ws west.
Umemuona kiongozi wa China hapo nyinyi si ndio mnaosema ya pili duniani kwa uchumi sasa kiongozi wao yupo wapi hapo
 
Duuh simu yangu Ile yenye ushahidi iliharibika ulisema RUSSIA [emoji635] wanatumia chip za washing mashine Leo unakana
Achana nae mtu anayepiga nyeto hawezi jua aliongea nini jana au leo kaongea nini kwasababu nyeto inamadhara na inapunguza nguvu za kiume usihangaike nae mpuzie tu mkuu kutunza heshima yako jamvini.
 
Mkuu mbona uitaja "maafa yote hayo". Hapo nilishangaa maana taarifa zote kuhusu shambulio hilo la roketi 30 zilitaja wahanga wachache sana, chini ya 10.

​

Umshana look at this👇!It shows clearly that there is a lot of evil going on behind the scenes,which the American government does not want to be exposed,but we will.​



FBI WhistleBlower: "This Government Will Crush You if you expose what they're doing"​

19 MAY 2023

F.B.I. Whistleblower, Garrett O’Boyle just ended today’s hearing before a congressional committee with a chilling warning for future F.B.I Whistleblowers.


Doesn't this Umshana prove that we are dealing with a monster,which will go to any length to cover-up it's evil?Very chilling.

America can't be more evil than this👇.

 
Safiiiii
 
Hao sio viongozi wa dunia
Sema viongozi ws west.
Umemuona kiongozi wa China hapo nyinyi si ndio mnaosema ya pili duniani kwa uchumi sasa kiongozi wao yupo wapi hapo
Mkuu "West"? Hm Japani iko upande wa mashariki wa nchi nyingi. Ujerumani iko upande wa mashariki wa Ufaransa.
Dar es Salaam iko upande wa magharibi ya Zanzibar.
Tusisumbuliwe na vichwa vya habari.
GAzeti si maandiko ya kuamini. Ni chanzo cha habari na maoni tunayohitaji kupima na kukagua.
 
Mwaka gani inaanza maana kila siku wimbo ni huo huo badili hata kiitikio basi labda unaweza kueleweka unataka kuongelea nini
 
Jamani.... Na tokeo lake litakuwa tena kama juzi? Makelele ya nini?
 
I can clearly see that.
 
Weee jamaa ni kiazi et russia wanakufa wengi aiseee ndyo utafiti wako umeishia apo
Nimekwambia baadhi ya miaka, tatizo pro Russia hamna akili yani hata unachobisha hujui na huna uwezo wa kujenga hoja kazi kuchomekea tusi na kuondoka.

Nilishawauliza kwanini population ya Russia mwaka 1992 ndio ileile ya mwaka 2022, na hapo hiyo 2022 ni baada ya miaka michache nyuma watu kuongezeka. Hiyo miaka ya 2006 hadi 2010s idadi ya watu kwanini ilishuka kulingana na 1992. Unaijua Russian population crisis ya 2016?

Umesoma birth rates na death rates za Urusi?

Umesoma data za infant mortality rate, ajari, HIV/AIDS, unywaji wa pombe kali, emigration, life expectancy na ugumba kwa wanaume?

Vyote hivyo hujui hata vinapatikana wapi. Elimu! Elimu! Elimu!
 
NB: We're just a few ^minutes^ away from unprecedented World Nuclear Showdown!
Inasemekana vumbi la mabomu ya depleted uranium yaliyounguzwa na ambayo yaliletwa Ukraine kutoka Uingereza kuwaua warussia linaelekea Ulaya Magharibi.

Waingereza hawajali maisha ya wenzao kwa sababu wao waKo mbali. Hii ni Mbaya.
 
Baada ya hapo kitaendelea nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…