Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

West na NATO yao wameshikwa pabaya kwa kweli....wanafanya Kila kitu lakini dubu yupo tu.....Zele Ana ziara zisizo na kikomo nje ya Ukraine kufanya ushawishi...usishangae akaja hata Afrika....
Zelensky sio kwamba yupo kwenye ziara huko ulaya.

Zelensky amekimbia Ukraine na kwenda kuishi ulaya kwa sababu ya kuogopa kuuliwa.

Anaogopa kifo.
 
Mkuu usiandike kwa hasira mno. Unajua vema hakuna anayetaka kuvamia Urusi.
Si kwa hofu ya jeshi lake (lililoonyesha udhaifu wa ajabu katika vita hiyo) lakini kwa hofu ya vita ya nyuklia inayoweza kuharibu Dunia yote hadi Afrika na Australia.
Wewe ndugu,Mimi wala Sina muda wa kubishana na wewe.
Kama NATO wanaogopa nyukilia za Urusi,kwani wao nyukilia zao ni za kuifanyia Nini?
Si watazitumia ikiwa Urusi atatumia za kwake?

Urusi ana nyukilia na NATO Wana nyukilia, Sasa hofu Yao ni Nini?

Eti Urusi imeonesha udhaifu kwenye vita hii.

Wewe kwa akili zako vita inapiganwa na nchi 40 dhidi ya nchi moja uliona wapi.?
Kama Urusi kaonesha udhaifu si ndio ilikua ni fursa nzuri kwa NATO kuipiga Urusi na kuishinda?

Kama hao NATO au hao USA wako ni Bora na hodari ilikuaje wamewakimbia Watalaban, Kikundi kisicho na jeshi kamili Yani Airforce,Navy na landforce iliyokamilika?

Kwa sababu Gani NATO Yako,yaani USA + west walipigana miaka 20 na wataban, lkn walikimbia na kuacha maelfu ya silaha?kama Wana uwezo wa kipekee ambao wewe unaamini wanao?

Ama kwa maana nyingine walipigana kwa miaka 20 na "Kikundi" kisichokua na fedha za uhakika,yaani Kikundi masikini TU,hakina vyanzo vyovyote vya maana vya kiuchumi,wakati wao ndio tuanaaminishwa kua ndio matajiri wa Dunia,waliwezaje kiwashindwa watu wa namna ya watalabani kama NATO wa utaalam usiotia shaka?,tuambie wewe mbwiga.

Au kama NATO ni hodari na Wana utaalamu huo mlioaminishwa, walishindwa Nini kumtoa madarakani Assad na Maduro?.
Hili ndio jibu langu la mwisho kwako.
 
NAOMBA KUJUA

KAMA BOMU LA NYUKLIA LITATUA RUSIA/WEST-MAREKANI KUNA MADHARA GANI YA MOJA KWA MOJA TUNAWEZA PATA HUKU AFRICA KUTOKANA NA MIALE YAKE (NAHISI TUPO MBALI SANA KUZURIKA NA MIALE HIYO )


......NAOMBA MAJIBU KWA ANAE JUA.....
Mzee japo mimi sio mjuvi wa mambo ya Nuclear radiations ila kwa kupitapita mitandaoni niliona kitu kikanivuta kujua zaidi, wajuzi wa mambo hizi watakuja kuelezea zaidi.

Muda mrefu kidogo Niliona simulation moja ilikua inaongelea nini kitatokea iwapo kutatokea majibishano ya Nuclear bombs kati ya Russia na NATO, sikumbuki source yake ila nikiipata nitaiweka hapa kujua mengi zaidi.

Kwa kugusia gusia tu waliiweka hivi, kwenye Nuclear war kuna stages 3;

Stage ya kwanza ndio Nuclear war yenyewe hapo ndio kuna kujibishana mabomu ya nuclear, yanarushwa kutoka Russia kwenda nchi za NATO na kutoka nchi za NATO kwenda Russia.

Kwenye stage hiyo ya Nuclear war, makadirio ni kwamba ndani ya masaa 24, total global casualties zinakadiriwa kuwa 178,044,988 kama unavyoona kwenye picha hapo. (Tofauti ya picha; Russia in Red, NATO in blue)

Stage 2, waliita ni Nuclear fallout, ambayo wameikadiria kwa muda wa day 1 mpaka day 30 baada ya vita vya Nuclear mda huo wanakadiria total global casualties kufikia 186,457,901.

Sasa nuclear fallout ni nini?
Imeelezewa hapa chini

Na hii Nuclear Fallout, mojawapo ya unit inayotumika kupima radiations ni REM (Roentgen equivalent man). Ukiangalia kwenye picha ya Simulation yao, wameweka vipimo vya radiations kwenye unit ya REM,

na Tanzania inachezea kwenye REM kati ya 489-670.

Tafsiri ya unit hizo imeelezewa hapa in relation to radiation dose.

Hivyo kwa kiwango hicho cha dose ya Radiation itakayosababishwa na Nuclear fallout, Tanzania pia tutapatwa na madhara kama inavyoonekana hapo.

Stage 3 wameipa jina la Nuclear Winter, hii wameikaridia kuanzia mwezi mmoja mpaka miezi 10 baada ya Nuclear war mda huo wanakadiria total global casualties kuwa 548,739,330.

Baada ya mabomu ya nuclear, ule moshi utakaopanda juu wanasema utaenda mpaka kwenye ukanda wa stratosphere ambapo utazuia direct sunlight kupass kuja kwenye uso wa Dunia hivyo kupelekea Dunia kupatwa na severe climatic cooling.

Ukiangalia Tz hapo tupo kati ya -20°C mpaka -23°C.

Sasa mojawapo ya madhara ya hali hiyo ya baridi kali kupita kiasi itapelekea mazao mengi kushindwa kukua, hivyo kwenye nchi zetu hizi tunazotegemea kilimo tutapigwa na janga na njaa kali.

Hiyo ni kwa ufupi tu kwenye pita pita zangu mitandaoni juu ya madhara ya Nuclear war kwa sisi nchi za 3 huku.

Labda limitation ya hiyo simulation nadhani hawakuelezea kwamba ni mabomu mangapi yatakayosababisha hali hiyo na ni mabomu yenye megatons ngapi maana pia hizo mambo zinatofautiana.


Wajuzi wa mambo za Nuclear radiations wataongezea/kukosoa/kurekebisha.
 
Unaongea halaf unajijibu mwenyewe pia RUSSIA [emoji635] ni kubwa sana ni ngumu kuzuia nchi nzima
 
Wewe ndio unaweza usielewe Elensky mwenyewe alisema kua anapeleka vikosi zaidi kulinda BAKHMUT sababu anguko la BAKHMUT ndio anguko la UKRAINE [emoji1255]
 
Hongera sana umeweka vizuri.
 
Wewe mpiga nyeto ndo ndo mwenye akili humu jamii forrum[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha kama hizi zinanipa raha Sana nikiziona huko Ukraine [emoji1255] Safi sana RUSSIA [emoji635]
 
[emoji298][emoji298]Ukraine’s President Volodymyr Zelensky has arrived in Hiroshima, Japan for the G7 summit, Reuters reports.

“Japan. G7. Important meetings with partners and friends of Ukraine. Security and enhanced cooperation for our victory. Peace will become closer today,” Zelensky tweeted upon arriving.

Learn more here: Zelensky arrives in Japan for G7 summit

Video: Ukrainian TV channel Freedom.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…