passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Kwani ukiwa mwembamba ndo kuna shida?acha ushambaLabda angalia hiyo?
View attachment 2639077
Bado namwona dikteta mnene anayetazama kwa furaha kitafunio chake cha asubuhi ilhali watumishi wake wembamba wanapaswa kucheka naye...
(BTW: naona pia habari kwamba Korea Kaskazini imeomba China kuzuia mizaha juu ya "Kim mnene" hivyo kuna maneno yaliyopigwa marufuku sasa kwenye mitandao ya China . . .
ona China clamps down on Kim Jong-un 'fatty' jokes )
Angalau kama wako, huko dikteta ni mwembamba ilhali watu wake wanateswa na unene....Angalia hii video uone hata Marekani ni madiktetaView attachment 2639067
Wewe ushawahi kwenda Korea ukakuta watu hawana chakula?au basi wewe ni robotAngalau kama wako, huko dikteta ni mwembamba ilhali watu wake wanateswa na unene....
View attachment 2639080
Mkimjibu huyo punda mnamjaza kichwa. Mpumbavu huwa hajibiwikweli ww ni MCHUMIA TUMBO wa kiwango cha PHD umewazidi hata hawa chawa wetu akina Mwijaku hasa...asilimia 99...wakati miundombinu yote kushney..!!!...over 70% ya power generation infrastructures..substations....etc...are completely destroyed...!!...dams kibao zimepulizwa...miundombinu ya mifumo ya maji yote imeteketezwa...sasa hakuna Reli inayotoka point A kwenda B...sababu hapo ktkt unakuta mataluma/bridges.. yalishafunuliwa yote...nchi imekuwa hohe hahe yaani....uchumi umeshuka hakuna wanachofanya labda hiyo biashara ya grain ambayo ni kwa matakwa ya Russia...
yaani Ukrein haina tofauti na Libya...sema kwa sababu ni Wazungu tena chini ya Mmarekani hutakaa usikie...lakini in no time inaenda kuwa ni failed states...na hapa Waukrein washukuru Mungu wanapigana na Russia nchi yenye kufuata mifumo ya Sheria na iliyojaa utu...laiti kama Russia ndio angekuwa Mmarekani...sasa hv nchi yote ingekuwa vumbi yaani manuliwa manuliwa huko
If yua clever enough Why the cost of rebuilding Ukrein iko kubwa na ya kutisha namna hiyo...????...sasa inakaribia a Trillion dolar....?...hebu niambie tulianzaga kuambiwa cost ni $400 billion sasa inakwenda to 1 Trillion dolar....hv kama nchi haiharibiwi hz cost zinaletwa na nn...???
Punguza kujishushia heshma humu ndani aisee...ukiandikaga hapa muda fulani unaonekana kama una kaulewa kwa mbali kumbe ni bora hata ya Kipanya na Vunjo humu ndani.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kauli ya kipumbavu, kijinga na kishenzi....hii ni nchi yenye mfumo tofauti wa uongozi...Hilo neno 'dikteta' wapumbavu na wajinga wote waliokuwa brainwashed ndio ambao hupenda kulitumia....Huo unene wa Kim unakuhusu Nini wewe?! Halafu huyo Mfalme 'wenu' King Charles ambaye ni Head of State amechaguliwa na watu wangapi?!View attachment 2639058
Dikteta mnene atachaguliwa na watu wake wenye njaa kwa asilimia zisizopungua 185!
Huyu si mfalme wangu. Anachekesha kwa namna nyingine. Ila dikteta mnene katika nchi ya njaa ni jambo ambalo siwezi kusahau . . . .Kauli ya kipumbavu, kijinga na kishenzi....hii ni nchi yenye mfumo tofauti wa uongozi...Hilo neno 'dikteta' wapumbavu na wajinga wote waliokuwa brainwashed ndio ambao hupenda kulitumia....Huo unene wa Kim unakuhusu Nini wewe?! Halafu huyo Mfalme 'wenu' King Charles ambaye ni Head of State amechaguliwa na watu wangapi?!
Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)Wewe ushawahi kwenda Korea ukakuta watu hawana chakula?au basi wewe ni robot
Wape nondo zao mkuu, nafuatilia nukta Moja baada ya nyingine [emoji1787]Labda angalia hiyo?
View attachment 2639077
Bado namwona dikteta mnene anayetazama kwa furaha kitafunio chake cha asubuhi ilhali watumishi wake wembamba wanapaswa kucheka naye...
(BTW: naona pia habari kwamba Korea Kaskazini imeomba China kuzuia mizaha juu ya "Kim mnene" hivyo kuna maneno yaliyopigwa marufuku sasa kwenye mitandao ya China . . .
ona China clamps down on Kim Jong-un 'fatty' jokes )
[emoji28]Angalau kama wako, huko dikteta ni mwembamba ilhali watu wake wanateswa na unene....
View attachment 2639080
Safii [emoji122]Huyu si mfalme wangu. Anachekesha kwa namna nyingine. Ila dikteta mnene katika nchi ya njaa ni jambo ambalo siwezi kusahau . . . .
(ukipendelea kumwita dikteta "kiongozi mkuu", au "mteule", au "mwanga wa taifa" - sina neno. Endelea tu.)
Uzuri unawapa facts with evidence!Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)
DPR Korea | World Food Programme
The Democratic People’s Republic of Korea (DPRK) continues to face a wide range of food and nutrition security challenges, which add to the protracted humanitarian situation in the country. Agriculture annually falls short of meeting food needs, due to shortages of arable land, lack of access towww.wfp.org Democratic People's Republic of Korea
Photo credit
10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million population
Mkuu unajua kwetu washamba unene ni kitu kizuri!Kwani ukiwa mwembamba ndo kuna shida?acha ushamba
Akikujibu unitagKwa nini msiCounter offense Mariupol au ndio mmeachana nayo...
Sijui kwanini wameuacha LIVIV [emoji35]Mashambulizi yanafanywa toka usiku kwa cruise missiles kuzunguka katika mikoa ya Kyiv, Sumy, Chernihiv, Krivoy Rog, Zhytomyr na Nikolaev. Tusubiri updates.
Vipi Israel wanaodai pale ni kwao kwa kigezo cha maandiko hata kabla yesu hajazaliwa? Karne ya 15 si jana tu hio, na Israel ana sapotiwa na hao NATO na anazidi uvamizi.Yaani na wewe wa kuamini kwamba Urusi apigane na Ukraine mwaka mzima na nusu? Putin angekuwa na akili angeachana na hii vita haina uhai kwa Taifa la Urusi.
Sasa mzee anatembea na Ramani ya Urusi ya karne ya 15 hadi 18 kama siyo kudata ni nn ? anakomboa majimbo yote..
Tudeal kwanza na [emoji1255] na RUSSIA [emoji635] ila sisi nani mpaka tuwalaumu US kwani sisi tunanyadhifa zipi pale MEHRABADJana Taliban wameshambulia border posts za Iran. Kuna majeruhi na waliokufa ila kwa kawaida mipaka ya Iran inalindwa na recruits. Ni muda sasa wa mashabiki humu kuilaumu Marekani tena kwenye mgogoro huu, Iran na Afghanistan huwa zinagombea maji ni kama mgogoro wa Ethiopia na Egypt.
Taliban haijawa professional military hivyo wanaanzisha fujo kiholela kwenye mipaka na majirani hawaipendi kwa kuwa haina order wahuni mpakani wanaweza amua washambulie bila kupokea maelezo kutoka juu. Kwa sasa Taliban iko na training ila muda bado.
Iran inawavumilia
nini shida kwan mijicho yako haioni ... huoni kama picha inajieleza na bibisiii wameelezea hapo .....au hujui kusoma kiswahili....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji848][emoji848][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]Unajaza uzi na screenshot bhana.
Huna uwezo wa kuandika?.
Unamuwekea vikwazo, afu kukiwa na mabaa ya njaa ( kama ipo sina hakika) unajidai unashangaaa........Ona taarifa rasmi ya WFP (World Food Pogramme ya United Nations; wanatuma chakula Korea kaskazini, wanaendelea kukusanya pesa kutoka nchi nyingi ili waweze kuendelea na kazi hiyo)
DPR Korea | World Food Programme
The Democratic People’s Republic of Korea (DPRK) continues to face a wide range of food and nutrition security challenges, which add to the protracted humanitarian situation in the country. Agriculture annually falls short of meeting food needs, due to shortages of arable land, lack of access towww.wfp.org Democratic People's Republic of Korea
Photo credit
10.7 million people are undernourished 18% of children are stunted (impaired growth and development due to chronic malnutrition) 25.9 million