Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bora URUSI ashindwe tubaki na NAT0 wetu na USA wana0tupa msaada kuliko kuwashabikia URUSI amba0 ni madikteta na hawana msaada wowote wa kibinadamu na sisi zaidi watu wetu wakienda kusma huko wanarudi wengi wao wanaumwa vichwa

Unapewa msaada afu unaambiwa uruhusu ushoga? Sasa msaada gani wa mashart huo
 
Wewe jamaa unajua kufanya analysis uko informed sana na issue za uchumi wa dunia. Wazee wa mihemko mnatusaidia kupata details kutoka kwa wajuvi wa mambo
 
Anha basi ndo maana, kuhusu media kufungiwa hiyo ya pili kwangu ndo jibu... Kubana taarifa kabla ata ya vikwazo.

Kwa apa JF taarifa kwa usawa zipo chache... Ambae analeta taarifa kutoka vyanzo vingi na tofauti bila kujali kazungumziwa nani ni huyu NYUNDO YA MOTO ....

Taarifa za upande wa Russia msikilize huyu Sikirimimimasikini anajaribu kuja na vyanzo vya habari kutoka kwenye vyombo vya habari vinavotambulika kwa kila mtu.

Taarifa za upande Ukraine utazipata hasa kwa Omary - Msamalia na wengineo japo nyingi tweets ila kama huna mahaba unaeza ukawa unazichuja kupata ukweli...

Bt reliable haswa haswa kwe huu uzi ni huyo niliyetangulia kumtaja.... NYUNDO YA MOTO
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kila mtu anakuja na hoja kutoka source yake, na mwingine anakuja ku disprove hiyo source kupitia source yake

Sielewi yupi ni yupi, yupi mkweli yupi muongo

Yani kiukweli mnazidi kuniacha highway kwenye hili swala
Huezi ukapata taarifa nzuri sa simba kwa mwana yanga au taarifa za yanga kwa mwana simba.... Kila mtu anamwona mwenzake kiazi ndezi...

Em fikiria mswahili anakwambia Russia anakopolewa.... Af AlJazeera wanaweka hii kwe kurasa zao kuonesha sehem zilizoshikiliiwa na Russia up do date...



Kisha unaanza kujiuliza hao Warusi wanapigwa wanawezaje kuichota hyo miji yote... Angalia hyo raman uku ukiw wajua Ukraine kieneo n ya Pili baada ya Russia kiukubwa baran Ulaya.

Mara unaambiwq magerenal sita wameuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajiuliza General au kamanda mkuu w jeshi anaenda kutafuta nini eneo la vita [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Unaambiwa jeshi linapiga sana ila pemben unaambiwa tena Zelensky katoa Offer ya citizenship kwa watakaojitolea kwenda Ukraine kupigana na Russia...
 
Shilingi 1 ya Tanzania ni sawa na shilingi 183 Venezuela hadi bongo tumewazidi
 
Kuichota miji kunahusianaje na kutopigwa? Kupigwa Kuko palepale,hawapakwi poda huko
 
Mkuu Galip SV nashukuru sana kwa kuniweka mahala stahili kwangu (Team Putin/Russia) 😂🤣🤣🤣
 
Mkuu kwani tatizo liko wapi kwa Urusi kuomba silaha anazo ona zinamfaa kwenye vita tena kutoka kwa mshirika wake wa kijeshi ,kiuchumi na kisiasa?

Kwann kila anacho kifanya Russia kinaonekana ni kitu cha ajabu wakati ni kitu cha kawaida kwa washirika kusaidiana vitani hata Marekani huwa anafanya hivyo?


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni jana.

 
Kangara imeisha hapo mlipo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…