Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu!Zipo,kuna Hungary,Austria kuna Bulgaria,Romania,Luxenbourg nk.
Hata hivyo misaada waliyopeleka ni asilimia ndogo ya actual strength yao!
unajua ww huna akili ht kidogo ukrein mpk kufikia leo wametumia dola billion 150 niambie ni nchi ngp huko ulaya wana bajeti hyo!!! lkn pia isitoshe ukrein ilishaanza kujianda na vita miaka nane iliyo pita kwa kupewa siraha za kisasa!!! na ht hpo unaposema kuwa siraha wamepewa kwa uchache ivi hyo 150billion zimefanya nn? sema kuwa ulaya walipima maji kwa mguu. lkn pia miripuko anayo tumia ukrein kwa siku nchi za ulaya walisema ili kurecovery hyp milipuko viwanda vya siraha vinachukua mwez mzima
 
Hizo siraha kubwa kubwa taja angalau moja..
 
Kwahyo kwann mnabisha kwamba NATO hatumii vifaa vya kisasa Hapo Ukraine na vimetolewa nduki?
Mkuu!Mimi wala siongei ushabiki,wala sijawahi pinga kuwa kuna siraha za kisasa zinapelekwa Ukraine ila ni chache.

Kuhusu kutolewa nduki sijawahi ongea na sitaongelea.
Ila tambua kuwa kushinda battle ni zaidi ya kuwa na siraha za kisasa(kumbuka wanaopigana hapa ni binadamu)
 
Na hizo kidogo elezea kwa kifupi kipigo kilicho zikuta hizo silaha.
Mkuu!siraha bora ok sawa ni mzuri katika vita,lakini kushinda mapambano ni zaidi ya hivyo(weapons,tactics,determination labda na timely execution of orders)
unajua kwa nini wanajeshi wa Saud Arabia wali-struggle na kupoteza sana Yemen licha ya kuwa na siraha bora!?
So sitaki kuzungumzia hilo nitaingia kwenye mtego wa propaganda!
 
Ndio maana tunakushangaa unavyoendelea kubishana nae,tulishamuona tangu mwanzo kuwa hana uelewa wowote kuhusu historia na siasa za kikanda kuhusu hilo eneo,lakini pia hata hao anao watetea USA na NATO hata yeye hawajui vzuri,

Hata Sasa muulize madhumuni yakuanzishwa NATO ninini pia hajui,
 
Soma hiyo wameandika wenyewe.
Kuna madudu mengi anafanyiwa Ukraine na 'wakubwa' zake ila anavumilia tu kwa kuwa 'wakubwa' zake wana hesabu zao
 
Naeka kituo
 
Mkuu acha kuzunguka sana sema siraha za nyuklia za marekani sio nato maana huko ziliko hakuna hata moja ni ya wafaransa wala waingereza. Unaiogopa nini marekani hadi uwaonee aibu kiasi hiki?

Kwahiyo unadai siraha husika hazijawekwa Poland, Romania wala Baltiki, sababu ni nini?
 
Hivi leo 2023 kuna nchi inatishwa na vikwazo vya waswahili wa mfalme chalesi? UK waache kujitutumua hawana jipya
 
France asks to stop the madness that NATO calls "Ukrainian counter-offensive"
"Go stop the madness! World! Since the counter-offensive failed, the frenzied NATO people are now saying that we should send warplanes to Zelensky. Same logic as the coronavirus vaccine: it doesn't work, so we're giving an extra dose! " , - wrote Florian Filippo.
 
Mkuu!unfortunately unataka kuniingiza unataka kuniingiza katika propaganda.

Swali; hakuna siraha Ukraine hajatumiwa na NATO !

Jibu;nikazitaja baadhi na si zote!
Now unasema hata hizo zilizotumwa hazitasaidia chechote na kutaja siraha zako za upande wako kuwa ni bora zaidi(nje ya mada) japo zinashindwa komboa Donbas mpaka sasa.

NIGGA PAC
 
sekunde 20!!! (na pia: unapata wapi stori alikaa Kyiv miezi kadhaa??????)
Najua lengo ni kukwepesha watu wasifutilie namna counteroffensive ya Ukraine ilivyogeuka "kamuliwa-ufedhuli" kwa kichapo kutoka Russia.
====
Miezi kadhaa imeelezwa hapa. Endapo si mvivu wa kusoma.
Xxxx

Neocons(US and allies) and the Ukraine Coup​


Of relevance to the ongoing war in Ukraine, this incisive article was first written by the late Robert Parry on February 24, 2014, in the immediate wake of the US Sponsored Coup d’Etat.

***

American neocons helped destabilize Ukraine and engineer the overthrow of its elected government, a “regime change” on Russia’s western border. But the coup – and the neo-Nazi militias at the forefront – also reveal divisions within the Obama administration.

More than five years into his presidency, Barack Obama has failed to take full control over his foreign policy, allowing a bureaucracy shaped by long years of Republican control and spurred on by a neocon-dominated U.S. news media to frustrate many of his efforts to redirect America’s approach to the world in a more peaceful direction.

But Obama deserves a big dose of the blame for this predicament because he did little to neutralize the government holdovers and indeed played into their hands with his initial appointments to head the State and Defense departments, Hillary Clinton, a neocon-leaning Democrat, and Robert Gates, a Republican cold warrior, respectively.

Even now, key U.S. diplomats are more attuned to hard-line positions than to promoting peace. The latest example is Ukraine where U.S. diplomats, including Assistant Secretary of State for European Affairs Victoria Nuland and U.S. Ambassador to Ukraine Geoffrey Pyatt, are celebrating the overthrow of an elected pro-Russian government.
xxxxx

kwa maelezo ya kina tembelea link hii hapa


 

Ni maeneo mangapi yamechukuliwa na Russia mpaka sasa??
 
Mkuu!kuwa mstaarabu unajua nimejibu kulinga na na mchango wa member hapo juu.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli,matusi na viroja.
Mkuu sorry kama michango yangu inakuchukiza na kama ni addict wa matusi basi just skip maana sipendi matusi(mimi ni muungwana)

"if you don't love them,atreast don't hurt them"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…