kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unataka ushaidi gani tofauti na huu!?View attachment 2663386Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!Jifunze wewe kwanza unashindwa kujibu hoja, anavyoshughulikiwa rusia na putin sasa huwezi amini ndio mana unakuja hapa na frustration, si Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operation Ukraine? sasa je
Yaani huyu dogo ni kilaza mara buku zaidi...yaani huyu ni bora ya Kpizo na Vunjo aisee...!!!...hata anachoongea hakionyeshi kwamba ni mtu anaefikiria kwanza...buree kabisaHuna hoja yoyote ile unayoijua zaidi ya kuongea kujifurahisha.hakuna chochote unachokijua zaidi ya kufurahisha watu
Alitakiwa asome kuanzia page ya kwanza mpaka hapo, asingekuwa analeta hoja za kipuuzi na zisizo na mashiko.Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mwaka 2011 pia Iran walicapture drone ya US Lockheed Martin RQ-170Today is the anniversary of the downing of the American Global Hawk spy drone by the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) Aerospace Forces.
On June 20, 2019, this advanced American drone was shot down by the Iranian air defense system "Sevom e Khordad" of the IRGC Aerospace Forces after it entered Iranian territory.
Let's remember the breathtaking moments of the fall of this $150 million drone.View attachment 2663458
Mashoga lazima waangamizweMazombi ya putin, huwa hayana jana. Yana leo na kesho tu... Ukiyakumbusha yaliyosema jana yanasema ni propaganda.
Huu ndio ukweli na naona west ngoma ishaanza kuwawia ngumu hii maana naona leo rais wa GERMANY [emoji629] anaiomba China [emoji630] iiombe RUSSIA [emoji635] kumaliza SMO yake huko UKRAINE [emoji1255]Ukraine hawana jeshi, hawana vifaa vita (zaidi ya hivi wanavyotegemea kuomba-omba na kupewa).
Ukraine hawana wanajeshi/wapiganaji (wanategemea mamluki wa NATO).
Ukraine haina commanding centre.
Ukraine haina makamanda wa vita (yule mkuu wa majeshi ameuliwa, Zelensky amekimbia nchi, yule mkuu wa Military Intelligence na yeye ameuliwa).
Sasa katika hali kama hiyo, huwezi sema, Ukraine wamefanya Counter-Offensive. Pale hakuna counter-offensive. Pale kuna kuvizia tu kama magaidi wanavyovizia, wanafanya ambushi, wanauliwa, wengine wanakimbia.
Kwa hiyo tutambue kuwa, hakuna counter-offinsive. Tuseme tu Ukraine wanafanya vitendo vya kigaidi, hapo unaweza kueleweka vizuri.
UKRAINE [emoji1255] hawaeleweki na yote hii sababu ya kipigo Kule field maana Elensky kwakushirikiana na mashost zake walitutangazia kuanza kwa kaunta attack ila Leo Hanna malia anasema hawajaanza badoKwa hio mmekubali saiv mko kwenye counteroffensive sio .maana msije sema bdo pale tutaporusha picha za field [emoji23][emoji23]
Sawa tunawapa muda mutupe matokeo ya kaunta offensive ya UKRONAZIYou have no idea, huu mgogoro nimeufuatilia for very very long time. Let me put this hii vita ina deception kibao but dont you ever underrate ukraine forces.
Vilivyokuwa hapo havikuwa vikosi vya kuchukua eneo zaidi ni ku hold tu is why nguvu yao ilikuwa ndogo. Hivi vya sasa ndio vikosi vya kuchukua eneo.
Thubutuu CRIMEA ipiiiiiTUONGEE UKWELI TU unadhani kweli Ukraine na Wenzie wote NATO ambao wanapigana na mtu mmoja tu Russia araweza kuichukua Cremea??