mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Walikuwa wanajichekesha awajui vizuri Urusi awa.Prigozgin kwa sasa amepewa hifadhi belarus ila naimani Putin atamsamehe tu maana ni mzalendo atakama kakosea.naimani Wagner itarudi mzigoni tuPro NATO [emoji23][emoji23][emoji23] walianza kuandika Hadi nyaraka[emoji23][emoji23]
View attachment 2667817
Sikua na wasiwasi hata kidogo juu ya uasi huu.Pro Russia Sasa zamu yetu kutawala jukwaa maana sio kwa uvamizi huo wa Leo yaani huwezi kuamini leo sijatoka ndani nimejifungia tu kweli nimefadhaika sana.
Progozhin akiondoka kwenye mkoa wa RostovView attachment 2667827
Ndio maana heshima Yako imeshuka sana humu Jukwaani,kumbe unaishi kwa kukalili.Unashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni 😂.
Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?View attachment 2667653
Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.
Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani😂😂.
"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
Huyu jamaa ni bonge la kinyonga,ana rangi nyingi sana.duniani watu kama hawa wapo aisee.Mkuu si ulisema kwa sasa upo busy shambani na pia huna Internet huko.
Ndio maana heshima Yako imeshuka sana humu Jukwaani,kumbe unaishi kwa kukalili.
Watu wanakushambulia kwa sababu walidhani utakua na hoja kama vile zamani,lkn Sasa umepoteza mwelekeo.
Hivi kwa jinsi unavyojifanyaga mchambuzi,kweli unaweza kusema Ukraine inapigana na Urusi?
Sasa zile package mnazofurahiaga kutoka USA NATO hua mnafirahia za Nini?
Kwa kifupi NATO ndio inapigana na Wagner.
Ukraine inaweza wapi kupigana na Urusi?
Hajaokoa jahazi ,Bali kampa ukweli na kaepusha umwagikaji wa damu nyingi sana za Wagner.Babu lukasheko kaokoa jahazi huko 😀😀😀
Utu uzima dawa,kulishakua kumenuka
Wagner ni sisismizi TU mbele ya jeshi la wazalendo la Russia.Kwanin mkuu?
Aisee Mimi sikuwahi kujua kama NATO ni matutusa namna hii.Na ndio maana hamna hata risasi moja iliyorushwa au kujeruhi hata sisimizi wataingia king walipo jificha wamalizwe wote mchezo uishe .nato mazombi yanategwa nayo yanategeka
Ha ha haa,😀😀😀😃😃Tokea alipokiri kwamba muda mwingi anapenda kuutumia kwenye kupiga punyeto.
Ndipo nilipomtoaga maana.
Ni rahisi sana kupiga silaha au jeshi lenu kwa sababu mnakua bado mnaaminiana ,wanajeshi kutokuua kama Kuna uasi,na hata Siri za ndani waasi wanajua bado wanazijua..number of helicopters and planes were shot down by
Wagner PMC:
3 - Mi-8mtpr (electronic warfare helicopters)
1 - Mi-8 (transporter)
1 - Ka-52 (Strike and reconnaissance)
1 - Mi-35 (combat)
1 - Il-18 vzpu aircraft (air command post)
Recall that during the 3 weeks of the Ukrainian counteroffensive, not a single attack helicopter was shot down
Ni kama vila wananchi kweli waliwaadharau TU,kwamba Hawa wanamgambo kwa jeshi la Urusi hawatoboi.Wagner ikafika muda wakawaambia wananchi waache dharau wao wako kwenye mapinduziView attachment 2667749
Waliisha Anza kushangilia goli la mezani.Pro NATO mashavu yamewashuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho SMO will proceed were it ended yesterday
Ha ha haaMazuzu hayo