Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vipi network imerudi humo mashambani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shiogu kajichukulia Wagner kiwepesi sana[emoji23][emoji23][emoji23].

Prigozhin itakuwa kaambiwa asimamie Wagner waliyopo Africa na nchi zingine.
 
Baada ya hayo tunaomba tuambie kinachoendelea huko.
 
Umeueleza kwa uzuri mno,
Kama west wangekuwa wazuri kiintelijensia basi leo wangefanya counterooffensive ya kutosha wakijua Ruusia anahangaika na kuzima Uasi wa ndani.
Kumbuka west wako katika Mazoezi ya ya anga za zaidi ya ndege vita 200, wangeshambulia moscow kwa mgongo wa Uasi na Mapinduzi wa PMC. Labda tukubali kuwa hata wao waligundua ni Propaganda na mtego
 
Ona hata warusi wenyewe wanakubali madhara ya Wagner lakini machawa wa bongo wanaleta ubishi wa kiqumer. Pumbaff!
 
Dah kiongozi umerudi, hii MUTINY . Ni kama BambaLive
 
Mtu anaisifia west utadhani mtoto,anasahau juzi hapa Serikali ya Ujerumani ilikuwa ipinduliwe.
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Part of the Wagner PMC fighters, who initially refused to participate in Prigozhin's "campaign", will sign contracts with the Ministry of Defense - Peskov[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Okay, tunaanza kuelewa sasa. Kwamba Prigo alikuwa anafanya uchambuzi nani miongoni mwa jeshi lake ameiva kuwa mzalendo wa kweli Russia.
 
Drilling zipo mkuu, taasisi yoyote imara lazima kuwe na business continuity plan na stress testing kujipima dhidi ya majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…