Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, vigumu sana kujua kinachoendelea kwangu.
Ni kweli kwasababu hii si vita ya akina Joseph Konyi au pale Congo DRC.

NI vita twasema "sophisticated war" yaani ni vita ambayo uchumi , habari (information), Jeshi na vifaa vya hali ya juu vya kivita vyahusika.

Nchi kubwa duniani zipo kwenye vita kubwa ambayo yaweza kuathiri hali ya dunia wakati wowote ule.

Hivyo weye fuatilia na jaribu kuelewa kwa undani utapata mwanga.

Mimi hata kama naelewa lakini nalazimika wakati fulani nafanya kitu kiitwacho "equilibrium march" ili nisiharibu.
 
Kwamba US na washirika wakapewa Onyo? Tupe link ya hayo maonyo mkuu.

Watanzania kwa maneno tu hatujambo.
 
Wajinga awawezi kuelewa
 

Putin angeanguka, angekuja dikteta mwingine labda mbaya zaidi au nchi kuvunjika vipande vipande.

Silaha za nyuklia 5000 kwa nchi nyingi ndogondogo ni tatizo kubwa kwa Dunia.
 
I See kibaao kimegeuka ha ha ha ....

❗️Putin is an absolute master of 5D chess. The results of the so called "coup d'état" are:

🇷🇺24th June: Wagner was 200km from Moscow.

🇺🇦25th June: Wagner is 100km from Kiev.

⚡️This is some next level Sun Tzu Art of war tactics by Putin. Genius. 👏

🎙Follow
@AussieCossack for more.
 
Mataifa matano akiwamo China na Russia hayakuunga mkono azimio hilo!Nimeuliza kwanini NATO ndio achukue jukumu hilo?kwanini isiwe majeshi ya UN?Tukiachana na hilo,hata ambapo security council wamekataa,lakini bado haijatosha kumzuia US na washirika wake kufanya uvamizi wao wa kijeshi!
Lakini naona umekwepa sehemu ambayo US anatumia blackmail au intimidation dhidi ya diplomats wanaowakilisha mataifa yao kwenye security council ili kuungwa mkono!
 
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuwa taifa la Urusi linakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya usalama kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni, kufuatia kile ilichokisema kuwa ni hatua ya vikosi vya Wagner Group kuelekea Moscow.
Waulize wamebadili viongozi wangapi kwao??? kwa miaka 3 tu
mpaka sasa mhindi anawatawala
 
Putin hakuwa na namna na waswahili hawakukosea waliposema mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, Putin angekaza fuvu muda huu habari ingekuwa nyingine ashukuru Mungu Lukashenko aliingilia kati, maana Putin option yake ilikuwa kutumia miguvu.
Ila ushabiki una raha yake. Sasa hapo unaiona Wagner ipo au dismantled tayari. Utakubalije makubaliano ambapo wewe upo uhamishoni na vikosi vinakuwa vimebadilishwa mfumo wake. Mfano akigoma baada ya PMC kuratibiwa na jeshi anafanyaje.
Huko uhamishoni usalama wake uko mikononi mwa nani?
 
Jana ilikua kilele cha matokeo ya kufeli kwa Putin na Urusi kushindwa kung'amua madhara ya kuwaachia Wagner kuwa dude kubwa linalotishia usalama wa Urusi.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Tuacheni kujiliwaza jamani, tukio la jana ni matokeo ya kufeli kwa intelijensia ya Urusi, hakuna namna bora ya kuielezea.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.
Ebu nipe faida 5 za ule muungano wa Soviety ili tujue aliyevunja alipandikizwa au kuna kitu kilikuwa hakipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…