islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hivyo Mkuu,
Jana Urusi walifanikiwa kusonga mbele kwa sababu wanajeshi wote wa Ukraine walikua wanaangalia TV kama Putin Kaangushwa na "wagina."
Ndipo jeshi la Urusi likatumia fursa.
Tuliza mshono .... Mnajifichaga hivyo hivyo...Leo wote mmepoteana mmeenda kuvuna upupu...jana mmejazana humu kutujazia server... Baki hukohuko Kwa mashoga wenzako .....Naona wewe ni mgeni sana jukwani hapa, mpaka hujui Niko upande gani. Tuliza kinyeo bob
Prigozhin ataendelea kuwepo mzigoni.atuwezi kumpoteza kiwepesi ivyoKwahiyo wewe unaona anastahili kuendelea kuwa hai? Chukulia wewe ndo ungekua Putin na alichofanya haukua mchezo kama wengine mnavyoamini.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mimi ni pro Russia Jana kama ww nilikuwa hoi huzuni tupupolen sana mzee mm nilishindwa hata kula jana siku nzima nilijaa huzuni hata nilipewa miadi sehemu na demu mkali ssna sikwenda...
[emoji23][emoji23]...Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298][emoji298]The Ukrainian forces eliminated 720 Russian invaders on June 24, as well as many units of enemy military equipment, including six tanks, two armored combat vehicles, five multiple launch rocket systems, two air defense systems.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huu uasi wa Prigo unachanganya sana. Binafsi sijui nisimame upande gani, wa mapunduzi ama maigizo? Maana nadharia zote mbili ni Tata.
Kama ni mapinduzi kweli napata maswali yafuatayo
1. Prigo anadai wanajeshi wake wapatao 2000 walishambuliwa na MoD. Lakini, hatuoni ushahidi wowote juu ya hilo.
2. Huu ujasiri wa kutaka kupindua serikali ambayo anaitegemea kwa Silaha na pesa Prigo aliutoa wapi? Ama kuna majenerali walikuwa wanamsapot?
3. Wagner waliwezaje kuuteka mkoa wa Rostov bila upinzani wowote yaani combat
4. Wagner waliwezaje kutembea km 700 bila upinzani wowote zaidi ya kusemekana walilipua helicopter 4 na ndege 1. Kwanini msafara wao haukupatwa na madhara?
5. Kama Prigo aliweza kuungwa mkono na jeshi maana yake alipata jeshi na vifaa jeshi. Je ilikuwaje asitishe mapinduzi hata kabla ya mapigano ya ana kwa ana?
6. Inawekanaje, Prigo akubali kwenda uhamishoni na kukubali kulipoteza jeshi lake bila hata ya mapigano yoyote? Tena nusu ya jeshi lake ikiwekwa chini ya wanaya wake, Shoigu na CDF.
7. Inasemekana baadhi ya wanajeshi wa Wagner waligomea mapinduzi ya Prigo. Mbona hakukutokea mapambano kati ya makundi hayo mawili?
8. Je, waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wameondolewa kama yalivyokuwa matakwa ya Prigo
9. Je, Prigo hakuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Putin mpaka afikishe ujumbe kwa njia ya kufanya mapinduzi?
10. Kama Prigo alikuwa na nguvu na ushawishi kiasi hiki imekuaje awe mnyonge kwenye kusitisha uasi mpaka kupoteza nusu ya jeshi lake na uhuru wake wa kuishi Russia?
Kama ni Maigizo najiuliza yafuatayo
1. Je, hili igizo lilikuwa na muhimu gani kiasi cha kuingia hasara ya ndege 4, kubomoa barabara kwa kuchimba mitaro, na kulipua depot ya mafuta
2. Je, Putin haoni kuwa iwapo warusi wakigundua hili ni igizo wanaweza kumchukia yeye na serikali yake maana wameleta taharuki isiyo na maana na pia warubani wamekufa bila sababu ya msingi.
3. Je, hili tukio haliwezi kuamsha uasi kwa waliokuwa wanatamani kufanya mapinduzi lakini wakakosa ujasiri wa kufanya hivyo?
4. Russia inafadika nn na igizo la namna hii?
5. Kitendo cha Prigo kutaka kuasi sababu ya Shoigu na CDF wake hakuleti picha mbaya kwa wawili hao kwa warusi?
Nilipata Pressure hata chakula sikula sisi team Moscow tupeane pole jameni...tulipitia kipindi kigumu sana kila nikiangalia naambiwa Wagner wanakaribia Moscow..Ilikua suku mbaya na ngumu sana kwangu...Kwa kweli, siku yangu ilikuwa imeharibika kweli kweli
[emoji28]Mkuu wa nchi anayeshindwa kumaliza uasi anabaki hana la kufanya akawa analialia tu swahiba yake lukasehenko akamuonea huruma sana akaona mzee putin anadhalilika na atadhalilika sana ndani ya 24 hours akamlilia prigoh akamwambia chondechonde msitiri putin mzee mwenzangu maana ukiendelea na mission yako dunia itatudharau sana, babu Prigoh akatoa masharti anayotaka yatimizwe, Putin kuambiwa mashart akasema afadhal maana dah nlishadhalilika akaishia kuyakubali.
BBC wajinga sana jana walinitisha sana sisi tusiopenda ushoga tuombeane heri kila mmoja anywe mvinyo...Huwezi amini BBC wamerudi Tena na habari zao za Nyambizi yaani hata kipigo kinavyotolewa tolewa huko hawana habari, na hawataki kuripoti mchezo wa Jana ulivyoisha hivi BBC Nani kawaroga?
Hatari mkuu.Yani jeshi la kukodiwa linawezaje kiasi.
Au Kampuni ya ulinzi inawezaje kiasi.
Halafu jeshi la taifa liko kimya TU linatazama Kampuni ya ulinzi inataka kumpindua sijui waziri wa Ulinzi au Rais.
Hapa kweli Pana maswali mengi kuliko majibu.
Yaani Spertsnaz wako kambini kimya TU.
Kama walishindwa kujua mauaji ya Rais wao au Kutekwa ndege zao wanyamaze...Hawa wanatafta umaarufu tu,mbona mashambulizi ya September 11,2alishindwa kujua,vipi kuhusu Mauaji ya Rais wao mpaka sasa hawajajua aliyeyatekeleza Leo wajue ya Wagner PMC ?
View attachment 2667992
Kichwa kitupu lakini akiba ya matusi bado?Tuliza mshono .... Mnajifichaga hivyo hivyo...Leo wote mmepoteana mmeenda kuvuna upupu...jana mmejazana humu kutujazia server... Baki hukohuko Kwa mashoga wenzako .....