Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,444
Umeelewa kweli ulichokiandika?Sioni mahala Prigozin kaivua nguo urusi.naona umeng'ang'ania sana neno hilo,licha ya kueleweshwa sana na wadau lakini umeshikilia TU.
Kwa kifupi kwa watu wanaoangalia mambo kwa kina sana wataendelea kuisifu Urusi maisha Yao yote.
Kuna siku Hali halisi itakuja kuwekwa hadharani ndipo utakapojua uwezo wa Intelijensia ya Urusi.
Hivi wewe ambae unaisifu intelijensia ya USA na west wote kwa pamoja wameshindwa kuimudu nchi moja TU ya Urusi?
Kweli kabisa nchi moja TU? Halafu unaendelwa kusema Urusi ni dhaifu kiintelijensia kweli rafiki unaona mbali ?
Hebe fikiria CIA ,M16,na washirika wao wa ujasusibwa France ,German,Ukraine, Poland,Denmark,Holland, Belgium nk wameshindwa kuishinda Urusi kweli?
Ambao wewe ndio unawaona Bora kabisa hapa Duniani,halafu unakuja hapa kuidharau Urusi.
Aisee kweli watu tunatofautina.
Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.
Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
Ule sio mchezo wa kuigiza ,ni jambo la hatari sana lililotokea kwa uongozi wa russia kwa ujumla,na tukubaliane kuwa kuna mahala putin amefeli,kugundua ukweli ni moja ya njia ya kujisahihisha ,kinyume chake ni kujidanganya.Cha msingi tulipe muda la prigo maana inaweza kuwa mchezo wa kuigiza ... tukumbuke uchaguzi ni mwaka kesho
Nikusaidie TU jambo.Intel ya Russia ina udhaif US aliweza wapandikizia kiongozi akaivunja USSR.
Hatari sana Mukulu, hujui hili wala lile wako mlangoni kwa Zelensky wakitaka atoke nje[emoji23][emoji23][emoji23]yaan ile unafika Moscow ungeambiwa wametoka asa iv kwenda Belarus
Na akati uko njiani kwenda Belarus unaskia watu wako 100 km kuelekea Kyiv [emoji23][emoji23][emoji23]
Upewe maua yako!Ule sio mchezo wa kuigiza ,ni jambo la hatari sana lililotokea kwa uongozi wa russia kwa ujumla,na tukubaliane kuwa kuna mahala putin amefeli,kugundua ukweli ni moja ya njia ya kujisahihisha ,kinyume chake ni kujidanganya.
π€£ππIla we jamaa kuna kitu hakipo sawa ama punyeto imekuharibu.
Ova
duh ila kipanya nakupa maua yakoMuone mwanasaikolojia haraka sana..,hii ya Jana ni sawa na mtu aliyepata ajali na kuvuja damu ndani kwa ndani..,itaendelea kukuhathir katika siku zijazo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.
Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
πππππππππππKatika watu wenye maoni sahihi ni wewe mmojawapo.umeongea point tupu.Jana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana
Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara
Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo
Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin
Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo
Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine
Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia hilo tukio kama advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze
Ila wizara ya ulinzi na kiongozi wa vita wa Ukraini wamekanusha kwamba na juzi hakukua na dalili zozote za wanajeshi kuondoka frontline je hao wapiganaji wa wargner wafikapo 25,000. Walitokea wapi?.......hili suala tulipe mda tutajua ukweli ila sasa hivi hamna anae jua ukweli zaidi ya putin na mwenzie.Huu uasi wa Prigo unachanganya sana. Binafsi sijui nisimame upande gani, wa mapunduzi ama maigizo? Maana nadharia zote mbili ni Tata.
Kama ni mapinduzi kweli napata maswali yafuatayo
1. Prigo anadai wanajeshi wake wapatao 2000 walishambuliwa na MoD. Lakini, hatuoni ushahidi wowote juu ya hilo.
2. Huu ujasiri wa kutaka kupindua serikali ambayo anaitegemea kwa Silaha na pesa Prigo aliutoa wapi? Ama kuna majenerali walikuwa wanamsapot?
3. Wagner waliwezaje kuuteka mkoa wa Rostov bila upinzani wowote yaani combat
4. Wagner waliwezaje kutembea km 700 bila upinzani wowote zaidi ya kusemekana walilipua helicopter 4 na ndege 1. Kwanini msafara wao haukupatwa na madhara?
5. Kama Prigo aliweza kuungwa mkono na jeshi maana yake alipata jeshi na vifaa jeshi. Je ilikuwaje asitishe mapinduzi hata kabla ya mapigano ya ana kwa ana?
6. Inawekanaje, Prigo akubali kwenda uhamishoni na kukubali kulipoteza jeshi lake bila hata ya mapigano yoyote? Tena nusu ya jeshi lake ikiwekwa chini ya wanaya wake, Shoigu na CDF.
7. Inasemekana baadhi ya wanajeshi wa Wagner waligomea mapinduzi ya Prigo. Mbona hakukutokea mapambano kati ya makundi hayo mawili?
8. Je, waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wameondolewa kama yalivyokuwa matakwa ya Prigo
9. Je, Prigo hakuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Putin mpaka afikishe ujumbe kwa njia ya kufanya mapinduzi?
10. Kama Prigo alikuwa na nguvu na ushawishi kiasi hiki imekuaje awe mnyonge kwenye kusitisha uasi mpaka kupoteza nusu ya jeshi lake na uhuru wake wa kuishi Russia?
Kama ni Maigizo najiuliza yafuatayo
1. Je, hili igizo lilikuwa na muhimu gani kiasi cha kuingia hasara ya ndege 4, kubomoa barabara kwa kuchimba mitaro, na kulipua depot ya mafuta
2. Je, Putin haoni kuwa iwapo warusi wakigundua hili ni igizo wanaweza kumchukia yeye na serikali yake maana wameleta taharuki isiyo na maana na pia warubani wamekufa bila sababu ya msingi.
3. Je, hili tukio haliwezi kuamsha uasi kwa waliokuwa wanatamani kufanya mapinduzi lakini wakakosa ujasiri wa kufanya hivyo?
4. Russia inafadika nn na igizo la namna hii?
5. Kitendo cha Prigo kutaka kuasi sababu ya Shoigu na CDF wake hakuleti picha mbaya kwa wawili hao kwa warusi?
ANGALIZO
Bila kujali ni Pro NATO ama Pro Russia tujipe muda tuone nini kipo nyuma ya hili tukio ambacho kwasasa hatukioni.
Huyu Vunjo nilifikiri alifukiwa na kifusi wakati lile combora la urusi lilipopenya handaki huko Ukraine πΊπ¦.Nilichopenda kwa siku ya jana tuliwafufua member wengi sana wa ili jukwaa.hadi Vunjo kwa mara ya kwanza alikuwepo ndani ya nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mpaka sasa Kwa maoni yako tunaweza nani AMEFELI? Putin au PMC?Tuacheni kujiliwaza jamani, tukio la jana ni matokeo ya kufeli kwa intelijensia ya Urusi, hakuna namna bora ya kuielezea.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Richard kaeleza vizuri sanaSioni mahala Prigozin kaivua nguo urusi.naona umeng'ang'ania sana neno hilo,licha ya kueleweshwa sana na wadau lakini umeshikilia TU.
Kwa kifupi kwa watu wanaoangalia mambo kwa kina sana wataendelea kuisifu Urusi maisha Yao yote.
Kuna siku Hali halisi itakuja kuwekwa hadharani ndipo utakapojua uwezo wa Intelijensia ya Urusi.
Hivi wewe ambae unaisifu intelijensia ya USA na west wote kwa pamoja wameshindwa kuimudu nchi moja TU ya Urusi?
Kweli kabisa nchi moja TU? Halafu unaendelwa kusema Urusi ni dhaifu kiintelijensia kweli rafiki unaona mbali ?
Hebe fikiria CIA ,M16,na washirika wao wa ujasusibwa France ,German,Ukraine, Poland,Denmark,Holland, Belgium nk wameshindwa kuishinda Urusi kweli?
Ambao wewe ndio unawaona Bora kabisa hapa Duniani,halafu unakuja hapa kuidharau Urusi.
Aisee kweli watu tunatofautina.
Sijajua kwa nini watu wengi waliamini CIA/western kiujumla walihusika.Aah ha ha ha haa.ππππππ,
Pia watu kuisifia CIA na NATO kua walikua nyuma ya mapinduzi.
Kwamba Urusi inapinduliwq na kampuni ya ulinzi Huku wanajeshi kamaili wa Urusi wakiwa kimya na wengine wakiendelea kuitwanga Ukraine.