lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Ha h ahaa haa,Nikajua labda ulipotokwa tu kwenye post yako niliyo kuquote kumbe hizi ndo akili zako halisi, basi sina muda wa kuendelea kuhangaika na akili nyeupe kiasi hiki.
Kama mtu unaamini (japo hakuna yeyote Russia or westerners aliesema hivo) kuwa operation ya Urusi ingechukua wiki moja na kumpindua rais zelensky basi wewe ni bure kabisa katika haya mambo.
Kama Operation ya jeshi lako la askari polisi kupambana na panya roads wa chanika ilichukua zaidi ya wiki mbili, ndo operation ya jeshi la wanajeshi lak1 dhidi ya jeshi la nchi nzima ya ulaya limalize mission yake ndani ya wiki moja kweli?
Kwanza hayo maneno umeyatoa wapi na nani alisema na kwa ushahidi upi?
Sehemu nyingine unayoonesha weupe wako nipale unapoiita hii operation kuwa ni Vita, kama Pentagon na EU wanatumua neno Russia-Ukraine conflict na siyo Russia-Ukraine War, wewe hiyo vita umeitoa wapi na umeipima kwa criteria zipi?
Uliona wapi vita inapiganwa huku ukimsaidia adui chakula na matibabu kwa raia na wapiganaji wake?
Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili za kung'amua mambo wengine wanavitumia kuhifadhia meno na kufugia nywele tu wakijitahidi sana basi wanavitumia kuvukia barabara.
Hii ni mei 24 2022Haya kamata hii ya leo leo - kama anaweza akashambulie Pentagon.
Pentagon says more high-tech weapons going to Ukraine
WASHINGTON (AP) β Nearly 50 defense leaders from around the world met Monday
and agreed to send more advanced weapons to Ukraine, including a Harpoon launcher
and missiles to protect its coast, Defense Secretary Lloyd Austin told reporters.
https://apnews.com/article/russia-u...lloyd-austin-2933aea354d40ce8b87b9ff62490fd4c
Dah!US, NATO AND EU ARE OVER RATED.
Kabla ya tarehe Feb 24th kila mtu aliaminishwa na viombo vya habari vya magharibi, kwamba hi dunia ina mbabe moja na washikaji wake.
Tangu kuisha kwa vita baridi (cold War) btn the communist bloc led by Ussr na Western bloc led by US, tuli amanishwa kwamba US is the police man of the world, na Britain ana navy supremancy is the shark of the sea, kwamba wote wakiungana wana uwezo wa kufanya dunia hi chochote wanacho taka iwe economically au miliatarily walio bisha wakawa wanapewa mfano wa Zibabwe alivo dhoifishwa na vikwazo vya US na EU.
Special Oparation ya Urusi dhidi ya Ukrain eme expose utupu wa Marikani na EU, kwamba ni super power za media propaganda kama wa chezaji wa uingereza wanavo kua over rated na media ila uwajani hamna kitu.
Baada ya disintegration of USSR miaka ya 90s Nato elipata mwanya wa kuingilia Russia kupitia majimbo yake yalio jitenga kwa kuwa wezesha zaidi kicheshi na kiuchumi ziwe springboard ya kushambulia Urusi na atimaye kuangusha utawala wa ki-socialist haraka ili western democrancy itawale ulimwengu hu, Ukuraini ikawa case study yao kwa azima lao hilo.
kwa miaka 30 ilio pita walipeleka wanajeshi wa Ukuraini kwa special training ya kijeshi na ideological preparedness or indoctrination kwa miaka 8 wame train zaidi ya wanajeshi 100k, Ukuraini akawa na large standing and professional army in Western Europe kupambana na Russia kwa niaba ya Western powers ila cha kushangaza ni siku 90 tu za operation ya Urusi zinaenda sababisha total collapse of Ukuraniani Army ilio andaliwa na Nato kwa miaka 8 intensively with all kind of sofiscated western military arsenal, kweli Nato/na US ni Superpower visa-vie Russia?
Kama really US na EU are the fathers of democracy human rights freedom of press and free-trade kulikua hamna haja ya kuzuia RF na other Russia media ku-oparate in western countries, hiyo ndo hypocrisy ya hizo nchi kujifisha kwenye democracy wakati wana hidden military na eΓ§onomic agandas, kupora mali za oligarch wa Russia bila ushahidi ni wizi mtupu na wivu, ilionyesha jinsi hizo nchi zilivo bado primitive.
Mytake:
Nina wakika Russia ana uwezo wa kuendesha hi vita kwa minimum ya mika mitano, kwasbb tangu miaka ya 90s alijianda sana na kitu kama hiki kutokea, naomba iendelee na oparation zake tena aipanue zaidi, kama mwa Africa tunahitaji tupata new world balance of power, tumechoka unafiki na udikiteta wa US na EU kwa nchi zetu, naona tayari nchi za ulaya ziko hoi hata kabla ya vita ya moja kwa moja kwao, naomba Putin eingage Poland baada ya Ukuraini, hata kama kutakua na haja ya kutumia silaha za nukes naona ni poa tu ili sisi Africa tuamuke na tupate maendeleo mapya bile EU na US intervention.
kwan SMO huwa zinafanyika muda gani ?Special military operations tunatafta mwaka wa 3 [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine ndo wamechoka vita ila sio vijana wa Putin.Hata Warusi wameichoka hii vita, ila hawana namna ya kuikataa.
Russians' support of Ukraine war collapses, finds poll
The Kremlin is worried about the political impact of war disaffection leading up to the 2024 presidential election, according to a US think tank.www.google.com
Tulikubaliana kuwa Finland ikijiunga na NATO tutachukua hatua gani vile ??[emoji28][emoji28][emoji28]Ha ha haa.
Finland huyuhuyu alieona TU Ukraine akipigwa wala yeye hajaguswa akakimbilia NATO kuomba ulinzi?
Si tulikubaliana kuwa atakayeingilia operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto?Hii ni mei 24 2022
Pro NATO huyo alileta kwa majivuno makubwa kabisa habari iliyoandikwa kutoka USA,ikimkalili waziri wa ulinzi wa USA Lloyd Austin alisema kuwa karibu nchi 50 kutoka Dunia nzima zimekutana na kukubali kupeleka Ukraine silaha za Teknolojia ya Hali ya juu sana .
Sasa hapa huu ndo ushahidi wa wazi kuq Urusi anapigana na mataifa ya West yote au mataifa zaidi ya 50 hua mnakataa.sasa huu ndio ushahidi halisi ulowekwa na pro nato.
Tuliambiwa ni operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo ππkwan SMO huwa zinafanyika muda gani ?
Mkuu Itoshe kusema wachambuzi wa Magharibi, vyombo vya habari, na wanasiasa kwa namna flani walipuuza uwezo wa kijeshi wa Urusi.Mei 22 2022
Huyu mwamba alisema yeye hurudi kuangalia nyuma,nadhani kama nifanyavyo Sasa.
June 23 2022Unafikiri Urusi ana uchumi upi kama hafanyi biashata na US, EU, UK, G7 na mataifa mengime ya ulaya.
Ni ujinga uliopitiliza kufikiri kwamba Putin can run this war for 6 months or a year bila bila kufanya biashata na watu hao.
πππππππππππππππ€π€π€π€π€Aisee ni kweli west wanaishi kwa uongo na propaganda.wakiidharai sana Urusi na kuiaminisha Dunia kweli kia Urusi ni dhaifu kisliaha na kiuchumi,na wengi humu ndo walimeza kama walivyomezeshwa.Mkuu Itoshe kusema wachambuzi wa Magharibi, vyombo vya habari, na wanasiasa kwa namna flani walipuuza uwezo wa kijeshi wa Urusi.
Hakuna mtu anayepinga mtu flani awe/asiwe na mapenzi juu ya nchi flani, ila mapenzi yasitie upofu wa mtu kushindwa kuchambua mambo in 3D.
Binafsi sishangazwi na Pro west taarifa zao kuegemea upande wa west tu kwa sababu media kubwa na maarufu duniani ambazo wanazitumia kama vyanzo vya taarifa ziko upande wao, media hizi ni nadra sana kusema mazuri ya Russia.
Wengi hawakua na taarifa sahihi juu ya uwezo wa Russia, kivita na kiuchumi. Ndio maana mwanzo walipredict vitu vingi ambavyo baadae vimeenda kinyume na matarajio yao. Ndio pale tukasikia Russia ana silaha zimebaki za kupigana siku 10 tu, mara Russia hana uchumi wa kuhimili vita vya muda mrefu, mara Russia anatumia chips za dishwasher na refrigetarors kutengenezea silaha zake.
View attachment 2838415
Wakati MSMs zinapamba kwamba Russia yuko kwenye total war na Ukraine, Russia yeye anasema hii ni SMO tu hajaanza total war.
Wali-overestimate umuhimu wa western weapons/systems juu ya Russian weapons. Tunakumbuka kipindi Javelins, Stingers, JDAMS, HIMARS, MaxxPro MRAP, Challenger tanks, Leopard tanks n.k. zinakua hyped kana kwamba hazipigiki au Russia kiteknolojia ya silaha yuko nyuma sana kiasi kwamba silaha zake hazifui dafu mbele ya western weapons.
Wengi walisahau kwamba hakuna kitu kisichopigika, mfano tu ni US air force F-117A Nighthawk stealth attack aircraft (1980s) ilishushwa na Soviet made S-125 air defence system (1960s) ya waserbia wakati wa Operation Allied Force. Ndege iliyokua na teknolojia ya kisasa miaka hiyo ilishushwa na air defence system iliyoanza operation miaka 20 kabla.
View attachment 2838416
Waliover estimate madhara yatakayotokana na sunctions kwa Russia, nadhani wakijua kwa msururu ule wa vikwazo maisha yatakua ya ajabu ndani ya Russia na wananchi wanaweza kuandamana kumtoa mzee Putin madarakani.
Failed Counter-offensive ya Ukraine pia imewamaliza nguvu.
Kwahiyo ndugu MK254 nitakuwa sahihi nikisema kikundi cha vijana wa al shabaab kilitembeza kipigo cha mbwa mwitu dhidi ya majeshi ya marekani nchini somalia mpaka USA akaamua kukimbia somalia.
Na nitakua sahihi nikisema Urusi anatembeza kichapo dhidi ya jeshi la nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya(Ukraine) chini ya msaada wa NATO+EU+G7+USA, kuliko USA aliekimbia kipigo cha kundi la "vijana wa al shabaab wanaongozwa na mzuka wa dini"MK254.
Mh. Jaji ni hayo tu, naomba MK254 aje ajibu ni sahihi au siyo sahihi.
Majeshi ya Russia yamewakamata waingereza wawili waliokuwa wakiipigania Ukraine kwa kulipwa na Zelensky...Waingereza hao watafikishwa mahakamani siku za hivi karibuni na wanatazamiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo
View attachment 2252541View attachment 2252542