Biden amlaumu zaidi Putin kwa gharama za vitu kupanda zaidi Marekani. Asema uongozi wake (Biden) usibebeshwe lawama.
=======
View attachment 2151871
"We know that families are still struggling with higher prices," Biden said. "Let's be absolutely clear about why prices are high now or high for two reasons."
The first, Biden said, is due to "the way the global economy works."
And now, a second big reason for inflation is Vladimir Putin," Biden said.
"We've seen the price of gas go up over a dollar just since he put his troops on the border on the border of Ukraine — they went up a dollar and five cents," Biden said.
Trust me broo...😂😂😂Source
Alipeleka majeshi vitani akitegemea chakula apewe na China,Stupid old dudeKwani kuwa na mahaba na US ni dhambi? Ndio inavyotakiwa sasa wewe unakuwa na mahaba na wenye njaa wakusaidie nini?
Putin kakwama huko kwenye milima ya Ukraine 👇
View attachment 2151124
View attachment 2151125
View attachment 2151126
View attachment 2151127
Donetsk yesterday and today.
Photo: DAN, Ura.ru,
View attachment 2151908
View attachment 2151909
View attachment 2151910
View attachment 2151911
View attachment 2151912
View attachment 2151913
View attachment 2151914
Ukraine Haina nyuklia mkuuTaifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana. Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa
Nipo serious wamesema hawata peleka bidhaa za anasa Russia sio kuagiza toka RussiaAre you serious kweli kwenye hili Swali?fikiria tu hapa nchini kwetu vile Brewery zinavyoongoza kuleta Pato la taifa na Ni local!Hiyo unayoizungumzia hapo Ni VODKA,kwanza Ni Kama symbol ya Urusi,yaani Ni brand iliyojengwa kwa muda mrefu,Sasa kwa nchi nyingine kumsusia unadhani haithiri Pato la taifa kweli?
Nyie endeleeni kujizima data mnajifanya hamjielewi huku mnaelewa
Wanaiamini al jazeera,habari hii imeonyeshwa pia na kituo hicho lakini bado wataukataa ukweli,very soon Al jazeera atabatizwa jina la western mediaNi mtangazaji wa hiyo TV.
Haya bhanaAlipeleka majeshi vitani akitegemea chakula apewe na China,Stupid old dude
Babu anaumbukaa tu
Slava Zelenskyy ✊
Babu kachoka hoi haamini alichokianza kimemfikisha hapo alipoBabu anaumbukaa tu
SLAVA UKRAINESlava Zelenskyy ✊
Biden signed a congressional budget for the rest of the year, including $13.6 billion in aid to Ukraine.
Galip SV Liwagu View attachment 2152192