Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio mana Zelensky Anasema Atashinda hii vita.

An echelon of American armored vehicles BMP M2 Bradley was filmed on March 15 on the way from Germany to Poland Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
Video: What the Ukrainian Invasion has Revealed about Russian Military Power
Sipendi propaganda yake mwishoni lakini analeta uchambuzi wa udhaifu wa jeshi la Kirusi (ulioshangaza watazamanji wengi, kama si wote)
Kama nusu tu ni kweli, hali ya jeshi la Putin iko duni kweli.
Naona ingekuwa hatari kama watu upande wa NATO wanaanza kufikiri eti sasa nafasi nzuri kuingia kwa nguvu zaidi maana jeshi hili la Urusi haliwezi!
Hatari ya silaha za nyuklia bado iko ambayo iko kubwa , hatari hadi kwetu hapa. Kwa hiyo watafute njia za kumaliza kwa kuelewana!

(bila silaha zake za nyuklia jambo lingemalizika haraka kwa kuingia kwa majirani na kufyeka mabaki ya jeshi la Kirusi)
 
Ndio mana Zelensky Anasema Atashinda hii vita.

An echelon of American armored vehicles BMP M2 Bradley was filmed on March 15 on the way from Germany to Poland Galip SV Liwagu
View attachment 2152768
hizi Bradley hahitaji Zelensky. Akipata stinger, basi.
Tena nagari hayo si kwa ajiloi ya Zelensky. Marekani wanaimarisha vikosi vyao Poland, ili Putin asijaribu kuvuka mpaka wa NATO.
 
Wameanza kulainika

Kremlin: Ukraine's Conversion Into Demilitarised Country Like Austria Can Be Seen as a Compromise​

Earlier, the head of the Russian delegation at talks with Ukraine, presidential aide Vladimir Medinsky, said that Kiev had expressed readiness to demilitarise, but said that wants to keep its own armed forces, like Sweden or Austria.
 
"People shouldn't come here anymore. It's a fucking trap."

IT'S DANGEROUS
American mercenary tells how he came to defend Ukraine, but instead of the expected heroism, he met with harsh reality. The military base, where foreign volunteers were gathered, was bombed. Those who survived (including him) were going to be sent to Kyiv without equipment and with ten rounds of ammunition per person.

And when the guy tried to go back to Poland, he had to flee in an ambulance, wearing a Red Cross vest - otherwise he would not have been released. At the end of the video, he advises no one to come here - "they won't let you survive."
Galip SV Liwagu Sikirimimimasikini
Your browser is not able to display this video.
 

Lavrov: Ukraine Can’t Have Weapons That Pose Threat to Russia​

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov said that Ukraine cannot have weapons that pose a material threat to Russia.

"There can be no weapons in Ukraine that pose a threat to Russia. We are ready to coordinate those types of weapons that do not pose a threat to us," Lavrov said.
 
Urusi anavamia Ukraine kujilinda na USA na NATO.

USA na NATO wameshaiwishi Ukraine kujiunga na NATO ili wajilinde na Urusi.

USA na Urusi ni selfish bullies na Ukrain ni victim.
Asante, nisadie tu:
Kama NATO imeshawishi Ukraine kujiunga nayo,
kwanini NATO imekataa mara kwa kupokea Ukraine??
Kwa nini Ukraine hadi leo haikuingia NATO, wala NATO haikuingia Ukraine?
 

Russia Imposes Sanctions Against Joe Biden & Hillary Clinton, Other Top US Officials.​


Bure kabisa, reinventing the wheel.
 
Ukraine anafikiria kujiunga na NATO.
Kama kweli amefuta hilo wazo maana yake ni kwamba ameshindwa vita na Urusi na kuamua kumtii Puttin.

Kwa ufupi tangu kukubali hayo masharti hakuna nchi huru iitwayo Ukraine, ila kuna nchi inayofata matakwa ya mwenye nguvu Urusi. Unadhani hii hali itadumu kwa muda gani?
 
We are stepping up work to bring the occupiers to justice. There must be an international tribunal. For everything they did against Ukraine. Against our people. For every act of terrorism of Russian troops on the territory of our state. Zelensky said.
 
Ukraine anafikiria kujiunga na NATO.
Kama kweli amefuta hilo wazo maana yake ni kwamba ameshindwa vita na Urusi na kuamua kumtii Puttin.

Kwa ufupi tangu kukubali hayo masharti hakuna nchi huru iitwayo Ukraine, ila kuna nchi inayofata matakwa ya mwenye nguvu Urusi. Unadhani hii hali itadumu kwa muda gani?
 
Sasa nimeelewa sana vingi nilikuwa najiuliza asante sn sasa nimejua why na kwanii asante mkuu hii pichaa imenipa maana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The air of the TV channel Ukraine-24 was hacked. Zelensky's fake appeal to lay down arms for all military men appeared as a running line:

"Attention! Message from the President of Ukraine Volodymyr Zelensky! Dear Ukrainians! Dear defenders! Being president was not so easy. I have to make difficult decisions.

First, I decided to return the Donbass. It didn't work out. It only got worse. Significantly worse. There is no more tomorrow. At least for me. And now I decide to say goodbye to you.

I advise you to lay down your weapons and return to your families. This war is not worth dying for. I advise you to live, and I'm going to do the same."
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…