Hahahaha jamaa kapewa lift ya rocket hiyo iandikwe kwenye vitabu vyao vya ginesis mtu wa Kwanza kapewa lift kutoka anga ya mbaliWarusi hawana roho mbaya.View attachment 2153154
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Corona issues suspended tataona mengiWhite House Says It’s Running Out of Money for Covid After Congress Reroutes Cash to Ukraine
President Joe Biden signed a funding bill into law Tuesday to keep the US government from shutting down through September, with the $1.5 trillion legislation including $13.6 billion in additional military and economic support for Ukraine amid the Russian special operation in the country.
The White House has announced that it will be “winding down” a range of COVID-related programmes, including efforts to detect new variants, and testing, treatment, vaccination and boosters for people without health insurance.
The move comes following Congress’s failure to add $22.5 billion in proposed Covid spending into the $1.5 trillion Consolidated Appropriations Act of 2022. Biden made no mention of the coronavirus in his speech Tuesday after signing the bill into law, apart from a side remark about the need to “take on the challenges of mental health, which have been exacerbated because of the Covid problem.”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpk France TV dadeki kisa wako uncensored kwe taarifa zao af wanakuja kwetu kuhubiri uhuru wa habari...The Canadian authorities have banned the broadcasting of RT and RT France TV channels in the country, the Broadcasting Commission said.
Galip SV Liwagu View attachment 2153663
Hii ni nini mkuuOne of my favorite genres is "Stugna" and a Russian
Kwanza nitake radhi kwa kunivunjia heshima!narudia umenikosea Sana!Wewe uliwahi niona wapi Mimi Ni mshabiki wa Biden na NATO?tafuta sehemu naisifia USA nakupa laki Sasa hivi!yaani Kama ambavyo simpendi Mr zero ndio ambavyo simpendi Biden na NATO,yaani Sipendi mtu anayeleta ukiranja na unokounoko na ubabe wa kijinga kwenye mipaka ya wenzie....kila kitu kina mipaka na iheshimiwa.....by the way pambio ulilianza vizuri ukaharibu mwisho....Dah kwa hiyo leo hii Joan Mimi hapa ndio I know nothing concerning Inter-politcs?We kichwa ako iko special [emoji119][emoji119][emoji119] so no matter nini utaambiwa as long as hakiwasemi vibaya Russia na Putin wao kwako n "Invalid"....
Haya sasa tuendelee na Mapambio Russia wana njaa... Ukraine Oyeeeee... Oyeeeee
Wanaiba vyakula wapuuuzi sana hao... Ukraine Oyeeee.... Oyeeeee
Wameenda kuomba msaada China wa chakula wasije kufa njaa... Ukraine Oyeeee... Oyeeee
Russia na Putin wao wote wachumba tu... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee...
Putin a.k.a Mr Vodka kwa mujib wa Miss Joannah ni mshamba tu hajielewei... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee....
NATO na USA n malaika wala sio wachokozi wao bali wamestaarabika kuliko kitu chochote dunia... NATO oyeeee... oyeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
USA na Biden wake watamwadabisha Russia na Putin wao.... USA oyeeeee... oyeeee [emoji847][emoji847][emoji847]
Ukimaliza apo Joannah nenda kaoge ulale tu rafiki angu haya ya nje ya mipaka waachie wenyewe... Look like little you know kwe siasa za kidunia so ushauri wangu tu "Spare your emotions" kisha yape kisogo...
Ifike kipindi haya mataifa yanajiita superpowers yaheshimu Uhuru na maamuzi ya mataifa madogo.Sipendi tabia za USA kuingiliaingilia Mambo yasiyo muhusu naona na Russia nae kaanza ukiranja.....Lawama mtu wa kwanza kuzipata alitakiwa awe US!US ndio chanzo Cha haya yote Kwa kujaribu kukaa puani Kwa Russia,jambo ambalo Russia ameonya Kwa muda mrefu na kuitaka Ukraine kuheshimu mkataba uliokuwepo baina yao!
Hata Russia alipotaka kuweka military base Cuba,USA alikataa na akawa tayari Kwa WW3!Russia akaona aachane na Mpango Huo!
Hata Leo Russia akirudia Mpango wake Cuba,response ya US Kwa Cuba itakuwa kama hiki anachokifanya Russia Kwa Ukraine!
Chips...? [emoji3]The American company Qualcomm, which produces chips, stops selling its products to Russian companies.
Galip SV Liwagu View attachment 2153667
Rusia ukiranja wake ni kwa wa babe wenzie ndivyo jamaa alivyoIfike kipindi haya mataifa yanajiita superpowers yaheshimu Uhuru na maamuzi ya mataifa madogo.Sipendi tabia za USA kuingiliaingilia Mambo yasiyo muhusu naona na Russia nae kaanza ukiranja.....
Unaifahamu hii vita imetokana kutoheshimu Minsk Agreement kwa upande wa Ukraine.Kumbe huujui mkataba huu. Hujawahi kuuangalia. soma hapa. Ukraine ina haki zake za kujiamulia, hakuna vikwazo. Ukraine haijafanya kitu chochte cha kushambulia Urusi, haiko NATO wala NATO haiko Ukraine.
Urusi umevunja mkataba wake tangu 2014.
Hii sababu kwamba majirani yake hawaamini Urusi.
Kuna mambo mengine ni vigumu kuepukika!Ni sawa na Leo US amshawishi Taiwani ajiunge NATO na US akaweke base yake ya kijeshi!Unadhani China atakubali?Itatokea vita nyingine!Ifike kipindi haya mataifa yanajiita superpowers yaheshimu Uhuru na maamuzi ya mataifa madogo.Sipendi tabia za USA kuingiliaingilia Mambo yasiyo muhusu naona na Russia nae kaanza ukiranja.....