Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Mkuu T14 Armata njoo hapa ππππ tuna jambo letu mie na wewe. Usijifanye mjanja kusoma kimya kimyaππ€£ππMkuu T14 Armata , acha kuwalisha watu MatangoPori, sio kweli kuwa S-300 haina uwezo wa kuharibu UAV.
Kwani huwezi kupost pasi na kuweka habari za uongo au kusemea vitu usivyovijua?!
View attachment 2153792
S-300 | Missile Threat
The S-300 is a family of Russian-made surface-to-air missile (SAM) systems capable of engaging aircraft and UAVs in addition to providing some cruise and ballistic missile defense capability. The S-300P variant, also known as the SA-10 Grumble, was designed by the Soviet Union during the 1960s...missilethreat.csis.org
Huyo aliyemwingiza mkenge na vimacho vyake vile ndio Maana na yeye Maduro kamuingiza mkengeNjia ya majadiliano ilikuwepo,lakini kumbuka wakati huo tayari Ukraine walikuwa wamepitisha Kwa kura kuomba kujiunga na NATO!
Bila kuwa mshabiki,Ukraine ndiye alikuwa wa kwanza kupiga hatua kuilazimisha Russia kufanya uvamizi!
Na aliyekuwa nyuma ya hayo yote anajulikana!
Kama muda ungerudi nyuma,sidhani kama Ukraine angeingia mkenge na kufanya uamuzi alioufanya,Mateso wanayopitia wananchi wa Ukraine hawastahili,maana ukifikiri sana inachopigania Ukraine,it's not worth the sacrifices!
Unmanned Aerial Vehicle (UAV) ni topic ndefu yenye vipande vingi. Humo kuna unmanned combat aerial vehicles (UCAV) ambazo ndio unazisema hapa kina Predator. Kuna loitering munitions, kamikaze drones na hata hizi DJI Mavic za harusini nazo ni UAVs.Mkuu T14 Armata , acha kuwalisha watu MatangoPori, sio kweli kuwa S-300 haina uwezo wa kuharibu UAV.
Kwani huwezi kupost pasi na kuweka habari za uongo au kusemea vitu usivyovijua?!
View attachment 2153792
S-300 | Missile Threat
The S-300 is a family of Russian-made surface-to-air missile (SAM) systems capable of engaging aircraft and UAVs in addition to providing some cruise and ballistic missile defense capability. The S-300P variant, also known as the SA-10 Grumble, was designed by the Soviet Union during the 1960s...missilethreat.csis.org
Mkuu kuna watu wanasema Russia hatumii jeshi analotegemea (red army), angetumia hao Hali ingekuwa tofauti, kuna uk
Ukweli ni kwamba jeshi halisi la Urusi "Redy Amy" limetulia tu huku wakishushia Vodkaπ₯π₯, wakiwasubiri NATO+USA wasogeze puaππMkuu kuna watu wanasema Russia hatumii jeshi analotegemea (red army), angetumia hao Hali ingekuwa tofauti, kuna ukweli?
Basi mimi nimenotice mwaka mpya 2021. Nilijiuliza nikajaribu kutafuta nikaona somewhere mtu mwingine kaspeculate ni dalili za deteriorating health. Wanae washasema nimetumia BBC na DWMimi nmeona tangu 2015 hakuanza mwaka jana, kipindi hicho kuna article iliandikwa ni sababu ya KGB training maana hata wenzake aliokuwa nao km PM Medvedev alikuwa hivyo hivyo
yan huuy gaga zumba yey sijui analipwa?Mkuu hizi picha zingine ni aibu kuleta hapa, nenda katafute source ya hii picha na ya mwaka gani ujionee.
Mkuu umeongea kitu kuhusu uvaaji wa delegation ya Ukrain kwenye mazungumzo,huko nyuma nilicoment kwa mzaha nikitania Warusi Wazee na misuti yao wakati Ukraine vijana wako casual na kikazi zaidi. Zelenskky anapewa uhalisia bila kuogopwa,wakati Putin watu wanafanya nae kikao wako 20m kutoka alipo yeye.Hakuna mtu anaetaka kupoteza maisha yake kisa kamuudhi Mungu mtu wa Russia.Watampa kile atakacho kukisikia.Watakuja kukwambia BRICS, gesi na mafuta. Putin ni authoritarian na kawaida ya hawa ukiwaambia ukweli wanakutimua kazi, ukishafutwa kazi kwenye defense au intelligence community ya Russia ukiwa na cheo kikubwa basi wewe life expectancy inashuka.
Zelensky anakubalika sana na jeshi na ni mhunimhuni tu wala hajakaa kimadaraka, viongozi wake hata wa kijeshi wanamuelewa na hawamuogopi. We tazama wanadiplomasia aliotuma waende Belarus wengine wamevaa kapelo wengine majaketi ya mistari tofauti na wanyuka suti. Zelenskiy yuko approachable huna haja ya kumdanganya, jeshi lilimuhakikishia linaweza mount opposition mradi aweze kujiliza wampe silaha na alivyo Myahudi basi hicho ni kipaji chao. Ndio maana Marekani ilitaka imtoeoshe akagoma.
Wakati huo Putin intelligence community yake ilimwambia Ukraine kuna neo-Nazis tutawapiga, Zelenskiy hakubaliki na raia watalipokea jeshi la Urusi. Mambo yalipobadilika Putin akataka jeshi la Ukraine limpindue Rais wao.
Urusi haikujipanga, Ukraine tangu wanajeshi wake mwaka 2014 wajisalimishe pale Crimea bila kurusha hata risasi, then Donetsk na Luhansk zikatwaliwa basi nchi imejifunza kupambana. Haiwezekani ilikuwa inafanya mazoezi bure tu na kutumia gharama nyingi. Hata mauzo ya silaha iliyokuwa nayo imestop mfano Congo DRC ilikuwa imeagiza vifaru modification ya T-64 ila Ukraine wanazitumia wenyewe
Anaokota picha kifaru kina kutu, kimezama kwenye tope mpaka majani yameota hapo, afu anasema ni ya Juzi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
T14 Armata tafadhali ukuje hapaππππ, nilikuwekea picha za Head of the 5th Service of the FSB, Sergey Beseda, ambapo wewe ulidai kwenye stori zako kuwa hana picha mtandaoni.Uandishi wako mbovu, ndio maana hueleweki.
Tujaalie hivyo kuwa madai yako ni kuwa picha ya Head of the 5th Service of the FSB, Sergey Beseda, ndio haipatikani mtandaoni.
Mie nakuwekea hapa picha zake zipo clear na zapatikana mtandaoni.
Siku nyingine usikurupuke kuhitimisha mambo ambayo hujayafanyia utafiti wa kutosha
View attachment 2149215
View attachment 2149216
T14 Armata uje hapa, usijifanye hujaona
He is hopeless na majamaa yanaonekana yanamheshimu kumbe hakuna loloteHuyu Rais wa UKRAINE yeye anachojua ni kuhutubia mabunge ya nchi mbalimbali, amekata tamaa
Hapa tunaletewa habari za RT na wanataka tuziamini moja kwa moja lakini hawataki kabisa kusikia habari kutoka CNN,BBC,REUTERS na sasa Al Jazeera na yeye anaonekana msaliti kwa Pro Russia wa JF.Update: Urusi inatumia silaha za kizamani ambazo shabaha zake ni za kiwango cha chini
Wajeda zaidi ya 7,000 wa Urusi wameuawa kwenye vita
Majeshi ya Urusi yanasonga mbele kwa ugumu mno.
Wananchi wa Urusi hawapati update ya vita, Vyombo vya habari nchini mwao zinasifu tu haziwaonyeshi wananchi wake yanayotokea live vitani, vyombo vya habari haviko huru.
Hizi ndoto za alinacha zilianza tangu miaka ya 80s.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu historia ina desturi ya kujirudia, before USA, UK ndio alikuwa SUPER POWER, nakuhakikishia huu ndio mwanza wa mwisho wa USUPER POWER WA USA.
Haitochukua hata miaka 20 kutoka sasa, tuombe uzima kwa Mungu. Ingawa mm nitakuwa around 60s ila nitakaa hapa kuchangia.
Meza ndefuuu..... ya Vladimir Putin mojawapo ya vituko vitakavyo kumbukwa vita vya Ukraine.Mkuu umeongea kitu kuhusu uvaaji wa delegation ya Ukrain kwenye mazungumzo,huko nyuma nilicoment kwa mzaha nikitania Warusi Wazee na misuti yao wakati Ukraine vijana wako casual na kikazi zaidi. Zelenskky anapewa uhalisia bila kuogopwa,wakati Putin watu wanafanya nae kikao wako 20m kutoka alipo yeye.Hakuna mtu anaetaka kupoteza maisha yake kisa kamuudhi Mungu mtu wa Russia.Watampa kile atakacho kukisikia.