Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

During the military special operation, paratrooper Yaroslav Vyacheslavovich Turutin from Dimitrovgrad, Ulyanovsk region, was successfully demilitarized. Cossack cadet corps will not lead to good
 
Zhytomyr Oblast. It seems like the remains of a downed Russian Kh-31P anti-radar missile
 
#Donetsk , 17/03/22, all sorts of shit flew over the city
 
hakuna silaha ya kisasa iliyotumika ya makombora ya exkander hata bongo yapo na yazaman kinoma urusi anatumia su 25 za miaka ya 70
 
What happened? Yes, nothing happened, just 19-year-old Kolmogorov Ivan Lvovich from the village of Voskresensy in the Perm Territory successfully went to the army (however, he managed to

 
Resident of Vadinsk Viktor Suzdaltsev, born in 1999 was the only child in the family, but still, for some reason, he went to Ukraine. Who is his doctor now?
 
Hayo ni Maneno ya kisiasa na Wala sio Maneno ya Kijeshi. Labda pia itakuwa anafanya makusudi ili kuficha Aibu ya jeshi la Urusi nchini Ukraine.

Hivi ni Operation gani ya Kijeshi ambayo inahusisha zaidi ya Wanajeshi 150,000 ambao Wengine hawana hata ujuzi (Conscripts) Tena kwa zaidi ya siku 20 Sasa harafu Operation hiyo iitwe Maalumu ya Kijeshi? Huu ni uongo mkubwa kwa Putin.

Mkumbusheni maana ya Operation Maalumu ya Kijeshi labda ataelewa. Mpeni hata mfano wa OPERATION ENTEBE/OPERATION THUNDERSTORM au Maalufu Kama OPERATION YONATHAN ambayo Ilifanywa na Makomandoo wa Israel kuwakomboa Mateka zaidi ya 200 kwenye nchi iliyoko mbali kabisa na Israel-Uganda (4,500Km) na ilichukua mda wa Dakika 53 TU na Komandoo mmoja TU wa Israel (YONATHAN) Ndiye aliyekufa.

Sasa Nchi ya Pili kijeshi Duniani imeshindwa kabisa kuidhibiti nchi ndogo kabisa Kijeshi Duniani ukilinganisha na hiyo nchi ya Pili kijeshi Duniani. Harafu Cha kushangaza Hiyo nchi ipo Sebuleni kabisa lakini Jeshi lake linatungua tu Vindege vya Super Power namba 2 Duniani.

Mimi najifikilia,hivi ingelikuwa Ukraine ipo Umbali hata wa 4,000Km kutoka Urusi angeliweza hata kupeleka mwanajeshi hata mmoja au angeliishia TU Kurusha Nyuklia?

Hizi Rank za Millitary Power Duniani naomba ziangaliwe upya,Kuna nchi naona imepewa nafasi ya juu ambayo siyo ya kwake. Ipelekwe hata Namba 15 huko ili kuweka Record Sawa.
 
tuuwe tuuwee
 
Hii vita ikiisha kwa namna yoyote Ile,itasababisha mabadiliko makubwa sana yaifumo ya kidunia.
Inawezekana vitta hii ni mpango wa Mungu kuvunjwa nguvu za Magharibi.
Naona USD inaenda kupoteza nguvu yake,naona nchi nyingi zinaenda kujitoa kwenye makucha ya Marekani,naona balance of power halisi na east kuwa na nguvu zaidi,
Naona Marekani ikidharaulika zaidi,naona NATO inaenda kuvunjika na Ulaya kuwa na jeshi lake bila USA.
Nchi za Dunia zimeshamuona USA kama mhuni na malaya,kwa sababu yeye anpovamiaga nchi nyingine hakuna anemwekeaga vikwazo,lakini kwa Urusi anamtaka Kila mtu amwekee Urusi vikwazo.
Dunia imeamka aisee.
 
Ila nguvu ya dollar brother sio rahisi kwa hii miaka 30 inayofuatia.
 
Mwanangu una uchungu hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi msululu wa ule wa magari ya kivita na vifaru kwa urefu wa maili 1.3 vimegeuzwa chuma chakavu vyote

Urusi kapigwa, kashindwa, kapoteza majenerali 4 na vifo vya askari wake wengi kwa muda mfupi zaidi rekodi ya juu zaidi

Askari wa Urusi wamewagomea wakuu wao kusogea mbele wakati huo Vifaa vya kisasa vinaingia kuwasaidia UKRAINE

ibaki tu wazi zama za ubabe na kupiga nchi nyingine sababu una nukes unatishia watu zimepitwa na wakati

Russia is no longer Super Power ila tu anabaki na nafasi with large arsenal of nukes
 
Shule mlizosoma zimefanya mmekuwa viazi, umegeuka shehe yahaya au mganga ndele wa kupiga ramli
 
Huu nao uongo mwingine
 
Mkuu
Mbona umetaja athari kwa upande mmoja (magharibi) VP upande wa Mashariki kutakuwa na athari gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…