Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lugansk region: two tanks, one infantry fighting vehicle, minus-plus 6 200x
 
Wanadukuliwa tuu ikisoma location ni za kichwa nato za kichwa zelensky za kichwa mamluki za kichwa woyo woyo
 
Something thumped slightly, but I would like it stronger
 
Kibao kimegeuzwa baada ya Urusi kudhihirisha udhaifu wake, Ukraine walijikita kwenye kuhimili mashambulizi, ila sasa baada ya kubaini adui alivyo na kumsoma, wameanza kushambulia wao pia.

Chanzo ni kipi mbona Kam blue and white 😃😃
 
Urusi ni moja ya nchi zenye "Expansionist Ambitions", itakumbukwa kwamba mwaka 1939 waliivamia Finland kwa nia ya kuitwaa kama wanavyofanya sasa kwa Ukraine.

Lakini vilevile kinyume na matarajio ya wengi Finland iliibuka mshindi mwaka 1940 baada ya warusi kuzidiwa kwenye vita na hivyo Finland kufaulu kulinda utaifa wake japo kuna sehemu fulani ya ardhi yao walipoteza kwa warusi.

Hivyo kama njama ya Russia kuitwaa Ukraine itagonga mwamba basi hii haitakuwa mara ya kwanza kuzidiwa na taifa dogo.

Urusi tena baada ya vita vya pili vya dunia kumalizika ilichukua mataifa mengi tu (14) na kuzifanya zisalimishe utaifa wao kwa kuingizwa mkenge na kuunda USSR ambayo tena kwa njama za nchi za magharibi waliiua hiyo USSR kwenye mwaka 1990 na hayo mataifa 14 (Ukraine ikiwemo) kurejea na kuanzisha dola zao huru.

Hivyo inachokifanya Russia leo sio kitu kigeni kwa wanaofahamu historia ya hiyo nchi.
 
The #roa tank is shelling the #Maryinka district (presumably, somewhere here it rides
 
Akizungumza kwenye kikao/mkutano chama Cha conservative huko Blackpool Waziri Boris Jonson alisema,

" Ni wazi kwamba Putin amefanya kosa kubwa (catastrophic mistake) na unatakiwa kujiuliza KWANINI kafanya hivyo??
Kwanini aliamua kuivamia nchi hii isiyonahatia kabisa,
Siyo kweli kwamba aliamini Ukraine itajiunga na NATO kwasasa, alijua wazi hakukuwa na mpango wowote wa matarajio za nchi za Magharibi kuweka makombora kwenye ardhi ya UKRAINE.

Waziri Boris alisema,
Putin aliogopeshwa na UKRAINE kwa sababu tofauti, amekuwa na hofu kwasababu UKRAINE wana Uhuru wa habari, na uchaguzi huru,

Ni kwasababu Urusi na Ukraine wamekuwa karibu Sana hivyo mfumo wao unaweza kuwa na athari kwake na Urusi,
Na kwamba Putin anahofu ya kile kinachosemekana kuwa ni MAPINDUZI (Moscow color revolution ) na hivyo kwaukatili anataka kufutilia mbali mshumaa wa Uhuru UKRAINE Jambo ambalo nimuhimu Sana ameshindwa/amefeli.

Waziri pia ameonya Putin mshindi hataishia UKRAINE ataendelea Georgia, Moldova etc hivyo kuanzisha Zama mpya ya Vitisho Ulaya mashariki yote kuanzia eneo la Baltic (baltic region) mbaka bahari nyeusi(black Sea).
View attachment 2157884View attachment 2157885
 
Mkuu hii ni operation ndogo ya urusi ,urusi imetoa takribani ya 10% ya jeshi lake na 5% ya silaha zake ,hivyo kwa urusi ni kama operation ndogo ,wakiweka mzigo robo tuu Ukraine ndan ya siku tatu inatiwa nguvuni sema ,kwenye hii ishu urusi kaanza na ka operation na kanaonekana kanafanikiwa.
Haya mataifa ukisikia urusi,marekan na uae ,na China mziki wake siyo mdogo ni hatar
 
#Late. As always
masikini wameuliwa na mashoga
 
Shoots the self-propelled gun #roa, presumably at
 
Kila siku huwa nawaambia hakuna takataka yeyote inayoweza zuia makombora ya masafaarefu hakuna cha s 500 Wala patriots
 
Ukiona mtu anavipigia marufuku hata vyombo vyake vya habari visiandike habari za uvamizi unafikiri kuna nini hapo.

Unataka vyombo vya habari vya serikali yake ambavyo ni heavily censored ndio tuamini kama chanzo sahihi cha kutuhabarisha.!!
 
Una uhakika hiyo nchi ya Ukraine haikuwa na hatia au hukusikia ule usemi wa JK "za kuambiwa changanya na zako" hadi uwe mfia USA na EU kwa mahaba yote hayo ya propaganda zao[emoji848][emoji28]
 
❗️About the situation around the special operation in Ukraine.

▪️Ukraine was preparing to use chemical weapons in the LPR. Dumping of chemically hazardous substances, organized by the Kiev authorities, discovered - First Deputy Foreign Minister.

▪️NATO units began to arrive in Slovakia to deploy Patriot systems.

▪️The military of the National Guard captured several leaders of nationalist formations and accomplices of the SBU during the liberation of Izyum.

▪️More than 335,000 people arrived in Russia from Ukraine and Donbass - a source in the Ministry of Emergency Situations.

▪️Switzerland is ready to play a mediating role in resolving the conflict in Ukraine and host the talks between Moscow and Kyiv - President.

▪️Australia has prepared a new package of military assistance to Ukraine for $15.5 million.

▪️Reports from Western newspapers about the "sale" of advertising to the British government to promote a position on Ukraine on the VKontakte network do not correspond to reality. All advertising is subject to mandatory moderation - VK.

▪️For 30 days of shelling by Ukrainian troops, 55 civilians were killed, 301 were injured, the DPR reported.

▪️ "Gazprom" said that despite the sanctions, it supplies gas for transit through Ukraine on a regular basis, in accordance with the applications of European consumers - 106.6 million cubic meters per day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…