Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

acha tuwachape wanazi
kama hawapo au wapo sisi hatujui sisi tunachapaaaa
VIVA PUTIN
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi history yake imekaaje? naomba nifahamu kutoka kuwa comedians mpaka president
Historia yake ina mitizamo miwili, kuna historia kutoka Wikipedia... Na kuna historia kutoka kwa ma "Patriots"...

Historia yake iliyoandikwa na wikipedia Jamaa ni Comedian na Actor ambe kaidich Fani yake na kuingia kwenye siasa moja kwa moja kugombea Uprezdaa...

So kwa kufupisha tu.

1978 Kazaliwa...
1993-2018/19 Actor and Comedian...
2019-Up today President of Ukraine...

Kamsome zaidi kwenye hii link. Volodymyr Zelenskyy - Wikipedia

Historia yake kwa mtizamo wa wengine wana yao pia... Kwa hapa so mahala pake tubaki na hiyo ya wikipedia.
 
Mpendwa, si lazima kurudi nyuma hadi 1945 ukitaka kuonyesha unyama wa Jeshi la Kirusi dhidi ya Hungaria. Mwaka 1956 inatosha, ambako Jeshi la Kirusi (Kisovyeti) lilivamia Hungaria ili kulazimisha nnchi kurudi chini ya utawala wa kikomunisti. Maelfu walikufa, NATO haikuingia. Ona vifaru 2 vya Kirusi vilivyoharibika mjini Budapest mwaka 1956:
Wahungaria wanaweza kukumbuka pia kuingilia kwa jeshi la Kirusi kwenye mwaka 1848 ambako Jeshi la Urusi lilizuia uhuru wa Hungaria iliyolazimishwa kuendelea kama jimbo chini ya Austria

NB: Ninapenda Urusi na watu wake. Ninaombea taifa hili wapate viongozi wenye busara na utu (tofauti na sasa). Tukitaka kuelewa kwa nini watu wengi katika Ulaya ya MAshariki wanataka kujiunga na NATO, ni lazima kujua kidogo historioa ya mataifa hayo yaliyochezewa vibaya na majirani wakubwa, na mara nyingi vibaya na Urusi.
 
US simba wakaratasi
 
Unachokiandika hapa ndicho walichokulisha na sasa unakitapika kila sehemu.
Yaan nazi iwepo Ukraine kwasababu tu Urusi kasema kuna Nazi Ukraine?.
FYI:, Ukraine haijawai kuwa threat kwa Urusi hata siku moja bali Urusi ndiye tishio kwa Ukraine.
asingekua tishio tusingemnyoosha
UKRAINE antakiwa apigwe mabomu yautoshaaa
 
India is the world poverty capital, if USA sanctions them they will be on their knees.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…