President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anha oukay na sio maneno yangu hayo bali ni tweet ya Rais wa El Salvador... Anaizungumzia America baada ya "Bloomberg News" kutoa maelekezo ya namna gani waishi kwa kukabiliana na huo mfumuko wa bei walionao...Unasema taifa kubwa duniani linaporomoka na haliwezi kuanguka hivi hivi ... .....ni marekani au urrusi ......
Asante mkuu ....na waanguke tuu ..I WISH THAT ....waanguke ......wanatunyonya africa by using ma puppet wao shwain kabisa hawa......angalia africa magharibi ....libya ...somalia ...kongo ....wanakera sana...aiseeItaly ilikuwa inatisha lakini ilianguka kwa free fall. Ugriki ilikuwa na nguvu balaa.
Hii dunia haiwezi ikamilkiwa na kundi la familia ya watu wachache. Anguko la Marekani ni uhuru kamili kwa wamarekani.
Tatizo wanajifanya maa bwana mkubwa ndo shida walio nayo ...hawa..Russia anachokifanya ni kuwaumbua tu. Sanction wanazozitoa hakika wamekurupuka. Nadhani hawa wazungu sometimes maamuzi yao ni ya muhemko. Huenda kuna kijana mdogo uanaongoza deep state kwa sasa.
C anashinda vita hii hhhhRais wa Ukraine mh Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Rais Putin wa Russia katika mazingira yoyote.
Zelensky amesema ni muhimu kukutana kwa ajili ya usalama wa dunia.
Source: CGTN
Yaani mi nikiskia kuna watu wana ipinga urusi yaani nahisi kulipuka .....kujitoa mhanga wafe hao wanao i hate moscow...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anha oukay na sio maneno yangu hayo bali ni tweet ya Rais wa El Salvador... Anaizungumzia America baada ya "Bloomberg News" kutoa maelekezo ya namna gani waishi kwa kukabiliana na huo mfumuko wa bei walionao...
Sawa na hapa TZ utokee mfumuko wa bei kila kitu juu kisha Gazeti flan au Clouds media hivi waanze kuelekeza Raia kupanga budget vizuri kukabiliana na huo mfumuko wa bei.
What they care is about their families. Wanawatumia kama mua, utamu ukiisha wanawatema na kuwatupa kwenye dustbin.Asante mkuu ....na waanguke tuu ..I WISH THAT ....waanguke ......wanatunyonya africa by using ma puppet wao shwain kabisa hawa......angalia africa magharibi ....libya ...somalia ...kongo ....wanakera sana...aisee
Japan na Urusi wanabishania visiwa vya Kuril mpaka leo. Pale Yalta conference hivyo visiwa alipewa USSR kama adhabu ya Japan kusababisha vita. Before WW1Japan ashaipiga Russia kabla haijawa USSR pale ilipokuwa inajaribu kuingia zaidi Asia kutanua mipaka.[emoji779]️Japanese Foreign Ministry summons Russian Ambassador (Report)
It comes after Moscow halted peace talks with Tokyo over the Kuril Islands, and all related economic projects related to it - a response to Japan joining mass sanctions against Russia over its operation in Ukraine.
Utakufa na kihoro shaurilo oooohoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka mahaba kiasi tu ujifunze mengi [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Yaani mi nikiskia kuna watu wana ipinga urusi yaani nahisi kulipuka .....kujitoa mhanga wafe hao wanao i hate moscow...
Unadhani nahitaji maelezo yako!? Mimi huwa sijadiliani na wapiga punyeto. Huo ushetani baki nao. Usinitie unajisiJapan na Urusi wanabishania visiwa vya Kuril mpaka leo. Pale Yalta conference hivyo visiwa alipewa USSR kama adhabu ya Japan kusababisha vita. Before WW1Japan ashaipiga Russia kabla haijawa USSR pale ilipokuwa inajaribu kuingia zaidi Asia kutanua mipaka.
Mwaka 1969 USSR na China ziliwahi vutana kwa miezi kadhaa mpakani na kuua na kuharibu kwa uchache. Mazungumzo yalifanyika kuanzia 1991 mpaka 2008 China akarudisha eneo lake
SawaLeo nimeona kwenye Al Jazeera kwenye mji moja ambao ndio pekee waliouteka Warussia wananchi wa huo mji wanafanya maandamano ya kuwapinga na wanadai hawatakubali kuwekewa serikali ya kimamluki na Russia.
Akikujibu unitag MkuuHiyo ya vyakula vya vitani kwa wapiganaji inajulikana na russia wanaijua zaidi kwa sababu hawajaanza kupigana vita jana wala juzi. We unafkiri kipi kirahisi kusupply jeshi liliokuwa vitani na silaha kila mara au kusupply chakula!?
Sihitaji kuangalia picha/video kujua kuwa hizo sio propaganda bali kwa kutumia uelewa tu nimeng'amua.
Kushambuliwa gari za chakula haimaanishi ndio urusi ina njaa na itaacha kupigana kama ambavyo unaona ukraine wanazidi kupigana na hali ya kuwa kambi zao na 'military infrastructure' nyingine zinapigwa na makombora ya urusi.
Ukraine maghala yake mengi ya silaha yamepigwa lkn husikii wamerun 'out of weapons' ila msafara mmoja wa chakula wa urusi kushambuliwa tyr mshakimbilia kuwa urusi wana njaa [emoji1787]
Haihitaji kuwa jenerali Alexander suvarov kujua kuwa chakula ni muhimu kwa wapiganaji. Kwa mafanikio ambayo warusi wameyapata kwenye operation hii mpaka sasa ni ngumu kuamini kwamba wanapigana na matumbo matupu. Na lau ukisema hivo bado utakuwa umewapa heko maana ukakamavu ulioje kupigana na njaa na bado ukafanikiwa!
Kuhusu uvumbuzi wa vyakula vya vitani sijui nini na nini bado haujanishawishi. Yaani Russia kwa level yao ya 'military technology' kuanzia kwenye mandege, mavifaru, manyambizi, makombora ya hatari, ma-air defences, na silaha nyinginezo yaani waweze kugundua yote hayo na kuyatengeneza ila washindwe kuwa na style ya mre zao!?
Hujanitajia bado ni wapi US ametoa msaada wa chakula na afya kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita bado vinaendelea.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Afu ni kweli mi nimejoin jana hapa ...kwa ajili yenu nyie mazumbukuku mnao hate super power rusia koment zenu za kuichafua ruusia zimenkera .....yaani tutapambana humu nyuma ya keyboard mpaka kieleweke [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Huwa ninachokaga sana kumjibu mtu bado ananuka maziwa mdomoni kwa uchanga hapa JF,hebu kuwa kwanza ufikishe walau mwaka mmoja ndiyo urudi kuniquote 😉
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.Japan na Urusi wanabishania visiwa vya Kuril mpaka leo. Pale Yalta conference hivyo visiwa alipewa USSR kama adhabu ya Japan kusababisha vita. Before WW1Japan ashaipiga Russia kabla haijawa USSR pale ilipokuwa inajaribu kuingia zaidi Asia kutanua mipaka.
Mwaka 1969 USSR na China ziliwahi vutana kwa miezi kadhaa mpakani na kuua na kuharibu kwa uchache. Mazungumzo yalifanyika kuanzia 1991 mpaka 2008 China akarudisha eneo lake
Wewe nawe umeanza kupoteza nguvu zako kujibu utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe haya bn... Ka umeboreka sorry... Lakin bado tu nakukumbusha kua we ni ndezi... Sio tusi bali nakusifia tu.
Hizo data za kunya hovyo zilikusanywa na nani [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] na zinahusiana na kipi katika nilichokizungumza apo?
Umehama umeingia kww GDP per Capita ukijua kabisa hii inaathiriwa na idadi ya watu. Unaitolea mfano India kwa GDP per Capita ilhl wajua fika India ina almot two times idadi ya watu waliopo bara zima la ulaya...
Uko juu umeitolea mfano Texas ambayo kwa Idadi ya watu ilonao ya Mil 29 ni sawa na Idadi ya watu iliyopo kwenye nchi kama Singapore, UAE, Qatar, Kuwait, Hongkong, na Republic of Ireland Combined.
Je ukichukua Total GDP ya kila nchi apo Combined il upate usawa katika Idadi ya watu ulinganishe na Texas vinafanana?
Kingine waitaja taja sana GDP, unaijua maana ake vizuri? Unajua njia zinazotumika ku'Calculate GDP ya eneo husika? Kati ya GDP Nominal na GDP by PPP yan Purchasing Power Parity ipi ni kipimo halisi cha eneo husika?
Ok then wajua tu kua China ana GDP by PPP kubwa kuliko USA? Japo ana GDP nominal second to USA? Ko unapozungumza na mie umeshaneleza unaelezea Pato la taifa kwa upande upi?
Is it Nominal? Is it by PPP? Hey Mr Ndezi, nakukumbusha sikutukani ila nakusifia tu... Apo juu kuna post wajidai ati thaman ya fedha enu ipo closer to Ruble ila kwasab ndo uwezo wa kufikri ushajua jua mnalingana Uchumi na Russia... What a Coward [emoji23][emoji23][emoji23]
Chinese Yuan ni Just 6.4 hv ka sikosei kwa dollar 1... But yet its the world second largest Economy dunian... Ka kweli kwenye hii field uko vizuri unaijua sabab za wao wachina kuiweka ela yao chini?
Kuwait Dinar ni zaidi ya 370 ya ela yenu Ksh kwa apa ni zaid ya 7600... Ilhal USD Moja ni sawa sawa na 114 au 115 ya kwenu apo huku TZ ni 2500 ka sikosei kwenye rate apo... Je kwa hizo akili zako kwa apo utatwambia Kuwait uchumi wao mkubwa kuliko USA?
Ndugu we twendelee tu kupiga kabobo apa Russia hana Msosi Russia kapigika Russia anajambishwa ila upande huu achana nao kbs.
Huwa sipendi kudeal na petty issues za hawa wanaotumia neno moja tu la propaganda ila sometimes nalazimika.Mkuu ninapenda ulivyokuwa focused na mjadala zaidi kuliko petty issues za hawa Pro Russia,I can see asilimia kubwa ya kile ulichokipredict two weeks ago it's happening now. Pale Kyiv pamekuwa kaa la moto
RUSSIA wanaelewa hili MKUU shaka ondoa nahao wanatoa msaada mkubwa wanajua jamaa hatoboi nawanajua UKRAINE ikibebwa jumla wamekwishaaaRUSSIA TUMIA AKILI SANA, UNAPIGANA NA MATAIFA MAKUBWA NA WATU KUTOKA MATAIFA HAYO.
The head of the British Ministry of Defense confirmed that more than 4,000 NLAW anti-tank systems were sent to Ukraine.
He told the pranksters Vovan and Lexus about this, who called him, introducing themselves as Ukrainian Prime Minister Shmyhal.
Ben Wallace also said that another large batch of ATGMs would soon arrive in Ukraine, while in the UK, according to him, "its own arsenal is running out."
In the same conversation, the minister said that Britain would support the Kiev authorities if they resumed their nuclear program.
Galip SV Liwagu View attachment 2160464
Daahhh ..[emoji20][emoji20][emoji20].nahisi presha inanipanda....africa .....na asia yote tuamke tupambane na hawa majangili ...hata kama hatuna pesa ..za kuendesha vita tutumie rasilimali tulizo nazo .....ili dunia iwe kwenye uwiano .....kwamba ukiinigusa ...ujue na wewe hautapona ...............What they care is about their families. Wanawatumia kama mua, utamu ukiisha wanawatema na kuwatupa kwenye dustbin.
Mifano ipo mingi kwa viongozi mbalimbali. They don't care. Wengi wao ni kutoka UK wanataka kuimilk dunia. Wameikamata Marekani, wanataka kumnyamazisha Urusi ili waweze kumshughulikia China.