Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bricks bado hawana ubavu wa kuchukua nafasi ya mashirika makubwa ya kifedha, isitoshe hata nchi hizo bado zinategemea mifumo ya kifedha za nchi za ulaya magharibi na Marekani.

Ila sijajua nchi za ulaya magharibi (hasa Ujerumani) kama wataweza kuishi bila utegemezi wa gesi ya Urusi....hapa bado wataumia.
 
Natamani jamaa akuelewe
 
Russia has foreign exchange funds to service its external debt, said the deputy head of the IMF.

The IMF also believes that the Ukrainian economy could shrink by a third as a result of current events.
 
Participants of the special operation in Ukraine will be considered combat veterans

Such a bill was submitted today to the State Duma by the United Russia faction and United Russia senators. It is also known that the project provides access to the social security system - monthly payments and various benefits. Earlier, the document was supported by the Russian government.
 
Huu ni ujuaji uliopindukia

Kombora linafukua andaki na kuwazika wanajeshi wa ukraine zaidi 300 hapo hapo
Ile Kinzhal ina warhead ndogo unless waipe nuclear warhead. Mlipuko inayotengeneza ni wa kawaida sana hata video clip waliotoa Warusi wenyewe inaonyesha. Alafu missile yenyewe ni very expensive
 
Tukiwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE hawaelewi
 
Ungewakumbusha kuwa huyo Russia hata kwenye nchi zinazotoa misaada hajulikani. Wako humu wanatusumbua kisa kapeleka tulori tungapi sijui twa vyakula, wanaona kama msaada kutoka mbinguni wakati kina Sweden wanatoa mabilioni.

Ni ushamba kupeleka tugari tuchache twa vyakula unapiga kelele mashabiki wako wanatangaza wakati kuna wenzako wanatoa chanjo, huduma ya mama kwa mtoto, vituo vya afya, elimu, scholarships nyingi na misaada lukuki isiyohesabika miaka nenda rudi.
 


 
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.

Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.

Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
Labda kwa sababu ni nchi ya visiwa, haina bara? Na mipaka baharini vigumu kutaja kuliko kwenye nchi kavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…