Hawa wahuni sasahivi wanapambana huku wamajificha kwenye nyumba za watu.Embu ona walichufanyiwa wa ukrein halafu kuna mtu anashupaza shingo kwamba ukrein wanashindaView attachment 2161551
Hizi taasisi nyengine zakipuuzi ndio zinaziwazuzua kina TArmata baada ya muda atakuja kukwambia kwamba RUSSIA maskini hawapo hata kwenye G20Top news for the day:
- The United States intends to consult with allies and partners on the issue of excluding Russia from the G20, said national security adviser to the American president Jake Sullivan;
- radical Ukrainian groups are using fascist tactics from the Second World War, said Anatoly Antonov, Russian ambassador to Washington;
- Russia in three to four months can expect "residual waves" of coronavirus infection, said molecular biologist, virologist Pyotr Chumakov.
Galip SV
View attachment 2161483
Labda wanasonga ugaliRussia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao.
Wakizungukwa ujue hawatoki, ngoja tusubiri uone.
NB. Sishabikii vita, lakini, Russia wanazidi kusonga mbele, jeshi la Russia wana progress.
Soon Zelensky atahama nchi. Kumbuka hii vita mpaka Putin kuweka silaha za nyuklia kwenye hali ya tahadhari jua kabisa jamaa wamedhamiria.
Maneno ya limbukeni hayo...baada ya kupandwa na mapepo analipuka hovyohovyo. Gari na viwanja havina msaada wowote ktk uandishi hapa jamviniUshapanic tayari,eeh kuna nini kingine unamiliki? IST,SIENTA,AU Harrier? Fanya na ununue kiwanja walau pale Mbweni ili uonekane mjanja,siyo kuja na mbwembwe za kudharau Tecno.
Kwa hiyo wewe ndio unasema ukweli?Ujue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.
Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
Mwangu povu lote hili ni la nini!? Umekunywa chai kweli!?Huna lolote la kunitisha wala kunionya zaidi ya upumbavu wako wa kitoto wa ukimwi. Kwa akili yako ndogo unaona ukimwi ni issue sana,pole yako.
Kunywa maji punguza povu mdomoni,naona karibu unataka kupasua "Iphone 13" unayomiliki usije shindwa kuhighlight bure ma screen shot yako😅Wewe huna ujuacho...komenti zako zote ni porojo zisizokuwa na vyanzo 'source'.
Yaani bora nisome comments za Mwanamkiwi , T14 Armata na permanides naweza pasta jambo jipya la kujifunza. Ila wewe...duh, nachelea kusema huna lolote ujualo ktk mambo haya zaidi ya kukomenti 'kibubusa' kwenye hoja walizokutafutia hao niliowataja.
Jifunze kujitegemea, sio kubebwabebwa kwenye mbeleko za hao watu
Hawezi vita kivipi,mbona Mwezi sasa hakuna cha maana Russia alichofanyaNazungumzia uhalisia kwamba Ukraine haiwezi battle na nchi kama Russia.
We unazungumza kwa sababu ya mahaba uliyonayo na huruma uliyonayo juu ya Ukraine unaacha fact kwamba Ukraine inazidi kuzingirwa.
Huruma yako haitosaidia wala kubadili ukweli kwamba Ukraine itatwaliwaa tu, time will tell.
Sasa kama unajua hivyo,kwa nini udharau sisi tunaotumia Tecno? Nikadhani umehamia kwenye mashindano ya kumiliki vitu.Haya endelea kumwaga screen shot Mkuu,usije kurusha ngumi bure kwa hasira😆Maneno ya limbukeni hayo...baada ya kupandwa na mapepo analipuka hovyohovyo. Gari na viwanja havina msaada wowote ktk uandishi hapa jamvini
Hizi taasisi zakipuuzi zivunjwe tuuuNo member of the G20 has the right to exclude another, said the Chinese Foreign Ministry, commenting on the data on the idea to exclude Russia from this association.
Galip SV View attachment 2161495
Ni faida kwao Kama zikipelekwa kwenye nchi km Marekani maana itawasidia kuusoma mfumo mzima jinsi unavyofanya kazi,kutafuta loophole na kudevelop countermeasures.Kuna kitu mimi nawaza, kama Ukrain ilikuwa na s300 na silaha nyingi za kisoviet ambazo zimetumika miaka hiyo na hadi sasa bado zipo Russia.
Hii haiwezi kuwa advantage ya NATO kumfahamu vyema russia? Kama hapa wamekamata hiyo mashine, si tayari wameifumua na kujua yaliyomo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Urusi anahenyeshwa na Ukraine kwa misaada,je hao NATO wangeingia wenyewe fronts ingekuwaje?Kumbuka Russia anapigana na NATO in stealth mode na hilo analijua fika. Ukraine kaomba msaada anaingiziwa silaha kimya kimya na pia veterans toka US. Ameropoka sana kuwa NATO wamekaa kimya kumbe ni trick tu ili kusudi Marekani aingize majeshi yake kimya kimya so mrusi hapigani na Ukraine peke yake. Uzuri mji wa vita ni Ukraine so uharibifu wote ni hasara kwa Ukraine hata akija kushindwa.
Bila msaada wowote wa kijeshi Ukraine ni mlaini kama biskuti ndani ya chai!
Mariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Sasa mtu ni Bikira, na bado mnasema ana watoto!
ila mambo ya dini unapaswa ujitoe ufahamu kidogo.
mimi kwakweli siwezi.
RUSSIA ikikaa haitokiJe waona Urusi ikidumu Hostomel?