Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Nenda kajifunze kwanza kujenga hoja na kuandika vitu vya maana ukiweka na source zake...Kunywa maji punguza povu mdomoni,naona karibu unataka kupasua "Iphone 13" unayomiliki usije shindwa kuhighlight bure ma screen shot yako😅
atakuwa na undugu na mk254
Kama ni rahisi kumwaga screenshot zenye 'highlights' za ubora fanya hivyo...au umeibiwa smartphone yako Bibie?Sasa kama unajua hivyo,kwa nini udharau sisi tunaotumia Tecno? Nikadhani umehamia kwenye mashindano ya kumiliki vitu.Haya endelea kumwaga screen shot Mkuu,usije kurusha ngumi bure kwa hasira😆
Basi usilie Mjukuu wa Putin endelea na highlight zako🙂Kama ni rahisi kumwaga screenshot zenye 'highlights' za ubora fanya hivyo...au umeibiwa smartphone yako Bibie?
Baada ya hapo ikawaje? Maana hata CUBA ilisaidia kupigania Uhuru lakini mpaka leo tunaona mchango na miradi yao hasa ya afya na kilimo. Je Mrusi ana miradi gani kwetu?Urusi ilizisaidia nchi nyingi sana zilizo kusini mwa Bara la Afrika kutokana na ukoloni wa hao mabeberu.
Si Jambo dogo hata kidogo.
#14 ArmatsHawa marubani wa hizi Helicopter wana eject kupitia wapi maana kama ni juu si watachinjwa na mapanga?
Tengeneza screenshot zenye highlights 'bora' kama ni rahisi...acha maneno mengi. Saa hizi ungekuwa ushafanya assignment hiyo (kama unajiweza lakini)Basi usilie Mjukuu wa Putin endelea na highlight zako🙂
Mpaka umehamia ku screen shot comment za hapa hapa jamvini 😃Nenda kajifunze kwanza kujenga hoja na kuandika vitu vya maana ukiweka na source zake...
Mkuu T14 Armata hebu mfundishe huyu 'mtu wako' namna ya kutumia ubongo wake na 'reference materials' tele zinazopatikana buree ili walau siku moja aweze kuandika komenti mfano wa hii komenti yako 👇👇👇
View attachment 2161579
Eti miaka 3-5Hiyo Nchi hata igeuke kuwa majivu kabisa leo,baada ya miaka 3-5 itajengeka vizuri sana tu na kila mtu atasahau kama uliwahi kuharibiwa kabisa.Uzuri pesa za kuijenga zipo tena hizo hizo za Russia zilizopigwa pin huko kwa Mabeberu na misaada kede kede itaelekezwa kuijenga Ukraine na itaizidi hii hii Bongo yetu mara 1000 ambayo haijawahi hata kuharibiwa na kitu chochote.Kwa sasa muhimu ni Ukraine kulinda Nchi yao,hicho ndicho wamechagua.
Lazima nikupe mfano ili ujifunze kupitia mfano wa komenti ya T14 Armata ambae nimempa jukumu akufundishe uweze walau kuwa washughulisha bongo na kutumia online resources kuja na komenti zeyenye kubeba kitu fulani wengine wapate la kujifunza toka kwakoMpaka umehamia ku screen shot comment za hapa hapa jamvini 😃
Hizo panga huwa zinakatika automatically baada ya Rubani kubonyeza kitufe cha EjectionHawa marubani wa hizi Helicopter wana eject kupitia wapi maana kama ni juu si watachinjwa na mapanga?
Mpaka week mbili wakat vita inaendelea wanasema miaka 20 inahitajikaKwa Manpower gani nchi iliyoharibiwa vile ijengwe ndani ya miaka mitatu?? Mkuu acha masihara bana. Au Makampuni yote ya ujenzi duniani yatahamia Ukraine?
Kumbuka hawatajenga majengo tu, kuna barabara, madaraja, airports, reli na vingine vingi
Putin amekutana na resistance gani Ukraine wakati kasambaratisha jeshi lote la anga,nchi kavu na majini na vituo vyake.
Wamebaki wahuni wachache ambao wanaishia.lengo la Vita
1. Kuliharibu kabisa jeshi la Ukraine na vifaa vyake
2. Kubadilisha utawala wa vibaraka
3.Kuzuia kabisa Ukraine kuwa member na mashoga NATO
4.Kutoa onyo na fundisho kwa kima yoyote kutokucheza na Russia.
NB, VITA IMECHUKUA MUDA SABABU KUKWEPA KUUA WATU WASIO NA HATIA, OTHERWISE Ukraine inveisha kwa wiki tu
Jamaa wapuuzi hawa eti Africa iungane na dunia!? Dunia ni nini!? Ulaya na marekani ndio dunia!? Kwa nini wasiseme afrika iungane na (sisi) wamagharibi!?Hali tete mpaka wanaomba msaada africView attachment 2161367