Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nimepuuza hao au huyu !!? Au na wewe unataka kuyavagaaa!!!? Muulize vizuri mamaaako .... Ukija KIZEMBE utajibiwa KIZEMBE lakini katika hili sitaniii .... Muulize vizuri mamaaako ... Utaniheshimu kesho.Kweli wewe ni kilaza mtoto wa nzi,embu angalia member wengine wana trophy point ngapi.
Kaona aibu sababu madhara yake ni kama mabomu ya kutengenezwa majumbani na Wapalestina. Madhara yake hata haifikii tomahawk missile za U.SKapiga moja kapotea...
Kuzuia nuclear war. Urusi keshasema, ana nuclear na vikosi vya nuclear vipo tayari.Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?
Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?
Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
Ndio utetezi mliobaki nao kana kwamba hizo nuclear anazo Russia peke yake.Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
Urusi ilikuwa na jeshi bora sana tangu vita kuu ya pili mpaka ilipoanguka Soviet. Sisi Tanzania tulinufaika sana na misaada na mafunzo ya kijeshi miaka ile..Chuo chetu Monduli kilitoa wanajeshi bora sana kwa usaidizi wa Urusi na nchi zilizokuwa Warsaw...Vaisi vesaa ....uk / us ..ukitoa nyuklia hawana kitu mbele ya moscow ...ndo uhalisia ulivo....
Hakuna jibu nyooovu utapata... Majibu yao lakini kama tambi zilizochemshwa....Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?
Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?
Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
Kaniambia huwezi simamisha mpaka ubustiwe na la kati,nakuja pm tuje tuongee kuhusu huo msambwanda ulionao.Nimepuuza hao au huyu !!? Au na wewe unataka kuyavagaaa!!!? Muulize vizuri mamaaako .... Ukija KIZEMBE utajibiwa KIZEMBE lakini katika hili sitaniii .... Muulize vizuri mamaaako ... Utaniheshimu kesho.
Sasa nchi kubwa zikishaanza kurushiana mvua za nuclear wewe utafuatilia kwenye runinga ipi? TBC?Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
SawasawaKaona aibu sababu madhara yake ni kama mabomu ya kutengenezwa majumbani na Wapalestina. Madhara yake hata haifikii tomahawk missile za U.S
Nafkiri alimaanisha RS 28 samart. Hata hivyo Hiyo info yako kuhusu hiyo silaha kunyimwa spare kisa kutengenezwa ukraine na utabiri wako(uchwara) kwamba 'maintenance' inasua sua ni uongo mtupu!R-36 Sarmat hizi ambazo zilitengenezwa Ukraine na alishagoma muda sana kuzipa spare parts ndio Russia anaringia. Si ajabu ziko kwenye silos uko na maintenance inasuasua
Hivyo vikwazo hakuna ambacho kulikuwa na mikataba? Hivi una akili kichwani wewe?? Wewe ukisikia vikwazo maana yake mikataba itafuatwa au haitofuatwa??Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.
Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii
G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...
You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee
Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.
Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.
Hawana Mori na wanawagesha ..wangekuwa na Mori !!?? Shida unaziba masikio halafu unajamba ukidhani wenzio hawasikii ushuzi ... We ni mwehu ..Urusi ilikuwa na jeshi bora sana tangu vita kuu ya pili mpaka ilipoanguka Soviet. Sisi Tanzania tulinufaika sana na misaada na mafunzo ya kijeshi miaka ile..Chuo chetu Monduli kilitoa wanajeshi bora sana kwa usaidizi wa Urusi na nchi zilizokuwa Warsaw...
Muda umepita..
Urusi imepungua uwezo wake na askari hawana mori wa vita...
lla ina nyuklia. Nyuklia na silaha za sumu ndo karata yao.
Haya, tumeshaelewa humpendi unajitahidi kumwaga propaganda juu yake. Isipokuwa ni dhahiri raia zake wanamwamini.[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen
View attachment 2157066
Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
Kikubwa ni kwamba amekwambia Mimi ni BABA YAKO .... Ulikua hujui hilo umejua.Kaniambia huwezi simamisha mpaka ubustiwe na la kati,nakuja pm tuje tuongee kuhusu huo msambwanda ulionao.
Hapa ndio unaonyesha upumbavu wako dhahiri.Kama Russia hana akili hizo silaha nyingi amezipataje?Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
Mweupeeee....Hawana Mori na wanawagesha ..wangekuwa na Mori !!?? Shida unaziba masikio halafu unajamba ukidhani wenzio hawasikii ushuzi ... We ni mwehu ..
Huu uzi sasa umeingiliwa na VICHAA. Hypersonic hao UINGEREZA wanalo??Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.