Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Italy yalalamika kuwa Russia kutaka malipo ya gesi yake yafanyike ktk sarafu ya Russia ni kukiuka mkataba wa biashara.

Mie nilidhani nchi za EU zitasusia gesi, kumbe wako wanalialia tu!

Wafuate utaratibu tu: kwanza wananunua sarafu za Urusi, kisha ndio wanatumia sarafu hizo kununulia gesiπŸ€£πŸ˜„πŸ˜πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡

Jino kwa Jino!

 
Sawa wewe mwenye akili nieleze yapi yatakiwa matokeo chanya iwapo dollar ya USA haitatumika kama hela ya kati katika ugavi wa bidhaa na huduma baina ya mataifa.I'm waiting......
Ni mataifa gani hayo ambayo kwa sasa hayatumii Dollar as their major means of exchange and as a standard measurement of payment
 
Wao vikwazo hawaoni wanavunja sheria??
 
Mimi napinga Ukraine kuvamiwa, ila nasema ukweli US na Nato ni wanafiki? Nchi 30 wanashindwa nini kummaliza Putini? Ukraine wanapigika, mji wa mariupol umebaki magofu tu.
Nato ingieni Ukraine kulinda amani, tumechoka vikao vya kila siku.
 
Yaaan wew jamaa ni muongo sana Yuan 1 hapa kwetu 360 Kuwait Dinar moja ni sawa na Tsh 7200 mpaka hapo maelezo yako ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…