lete chanzo hata kimoja chakusapoti hoja yako ya members wengine wa NATO kuwa na makombora ya hypersonic ukimtoa US ambaye mm najua ndie yupo kwenye hatua yamwishomwisho yakutengeneza nakufanyia majaribio ya hayo makombora...Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
[emoji848][emoji848][emoji848]Nenda kajinyonge kama imekugusa na kukuuma mno!
Subiri mtoto wa nzi anakuja pm kukutumia msambwanda wake.Mwenye picha ya paja aitume inbox au kipochi likiwa ndani ya cotton nyeupe
Juzi BBc walisema RAF wamebakiza chakula cha siku tatu tu. Siku ya tatu ndio leo. Ngoja tuone kama wataendelea kupigana!?Majeshi ya Urusi yaliyoko vitani Ukraine sasa yanatumia mbinu ya kujilinda zaidi badala ya kushambulia kama siku za mwanzo.
Kadhalika inasemekana majeshi ya Urusi yamepungukiwa chakula na mafuta.
Taarifa za kijasusi zimeeleza kutokea Pentagon.
Source: BBC
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hatari sana
Haraka haraka majibu yake ni kuwa wanaogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujib wa Zelensky mwenyewe...Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?
Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?
Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
usichukulie vita bagia marekani ilipigika na talban miaka 20.Milipuko ishakuwa zilipendwa mwezi sasa russia anambwelambwela tu na milipuko yake yaan kwa sasa milipuko ni kama sauti nyingine tu. Hiyo milipuko ingekuwa na maana kama russia angekuwa ashamaliza mchezo.
Sasa wao kuiwekea vikwazo wanaona sawa.mkuki kwa nguruwe.Italu yalalamika kuwa Russia kutaka malipo ya gesi yake yafanyike ktk sarafu ya Russia ni kukiuka mkataba wa biashara.
Mie nilidhani nchi za EU zitasusia gesi, kumbe wako wanalialia tu!
Wafuate utaratibu tu: kwanza wananunua sarafu za Urusi, kisha ndio wanatumia sarafu hizo kununulia gesi[emoji1787][emoji1][emoji16][emoji56][emoji56][emoji56]
Jino kwa Jino!
View attachment 2163389
Hii ndio vita ilivyo sio movie za hollywood vita vinaisha ndani ya 2 hrsHii vita mpaka nimechoka kufuatilia kumbe urusi mweupe tu kelele nyingi boring vita[emoji16]
Hii picha mm ninayo na urefu wa meza sio kama huu wa picha yako. Ngoja nione km naweza kuiweka hapa. Hii ni picha ya kupikwa. Again, Propaganda!Eti hapa ni Rais yupo kwenye daily briefing meetingView attachment 2163283
Aanze na huyu View attachment 2163321