Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

Let's agree to disagree on this, huku ninakoishi na shughuli zangu I mingle with them a lot. Asians hasa Waarabu na Wahindi ni kama mbwa kwa chatu wanapofika kwa Wazungu, bora kidogo hawa wa Far East countries huwa wanakuja na misimamo yao 'somehow'.
Ni kweli, lakini ni ukweli mtupu kuwa waarabu wengi hawakusoma ilmu dunia, hii inasababisha wakose utaalam wa kuchimba mafuta, kutengeneza vipaza sauti vya kuitana kuswali misikitini yao na huduma nyingine kama za usafiri, ulinzi, nk zinazohitaji elimu ya Magharibi. Mtume wao kwa kulijua hilo aliwashauri wasisome Quran tu bali waitafute elimu hii ya shuleni hata ikibidi waende Ulaya na uchina wakaitafute. Ili kuipata elimu hii imewalazimu wawe karibu na wala nguruwe hawa.
 
Wewe ni mpuuzi
Sasa kama hivyo hiyo kasi ya maendeleo ya Samia (muua watu) unayoimba Kila siku hapa IPO wapi?
Wale aliowaramba vichwa yeye walistahili kabisa kabisa, lakini wale ambao waliuawa bila kosa waliuliwa na chadema waliopora silaha na sare za polisi baada ya kuvamia vituo vya polisi. chadema waliua watu hovyo kama sehemu ya mpango wao wa kutengeneza mauaji ya kimbari yanayohitajika katika mahakama ya ICC na wafadhili wengine wanaoweza kufadhili mapinduzi kwa malipo ya rasilimali za nchi. Bahati nzuri majeshi yetu yalikuwa imara sana kama chuma cha pua, waliwadhibiti haraka ili wasiue watu wengi wanaotosha kimbari.
 
Kule moshi kuna mtu mmoja tu mwenye akili, nae ni Prof. Adolf Mkenda, baaasi!!! Kule Singida ni Mwigulu tu, kule Dodoma ni Mavunde tu..

Familia ya Lissu imeshindwa kumuonya ndugu yao sasa inashinda mahakamani kila siku. Kijana amechuma janga anakula na watu wake, wanadhani siku moja atakuwa Rais. Asiyekanywa na ***** atakanywa na Samia.
 
Out of context nonsense, umeikimbia mada mpaka unaorodhesha kenge wenye PhD za kuungaunga out of blue and still irrelevant.
Pathetic.
 
Kuna kundi la wabinafsi fulani kutokea kanda ya ziwa akiwemo Mheshimiwa Polepole walidhani wameshapata haki ya kudumu ya urais kwa kigezo cha JPM kutegemewa kuwa kiongozi mpaka 2025.

Ubaguzi wa kidini umekuzwa sana na hao hao jamaa waliotegemea kufaidika vilivyo na Hayati JPM katika miaka minne aliyotegemea kuongoza nchi, imekuwa karata yao ya kudumu.

DP World wangeweza kirahisi tu kukabidhiwa bandari iwapo hayati JPM angeendelea kuwepo pasingesikika hoja za udini kutokea makanisani.

Mabeyo kuingia kwake naweza kusema Mungu mwenyewe aliamua kuleta malaika kuiokoa nchi isimezwe na wajuaji hao. SSH amepigwa vita kuanzia siku ya kwanza.
 
Kichwa chako kimevia usaha wewe
Vituo vya polisi walivoporwa silaha vipo vingapi?
 
Kama utakubali, nipo tayari kukupa hiyo buku 7 unayolipwa lumumba kwa siku, ili uache kujidhalilisha.
 
Hizi sasa ndo lugha za CDM
 
Pambana bila hivi 👇👇👇 huez kula kiulaini!!!
 

Attachments

  • FB_IMG_17715241993850539.jpg
    94.8 KB · Views: 22
ICC wanaingia kesho, mwambieni Mafwele awateke na hao. Bata nyie.
 
Labda mzungu mang'ara diwani ndo kafilisika au yule mtangazaji wa uvisisiemu
 
Ni kweli kwa speed yake ya ukatili, utekaji, utesaji, ubakaji,, na uuaji, anatisha sana.
Ukimsikia adui yako anakutukana ujue umemshinda vibaya sana. Matusi ni teke la mwisho la punda.

matusi yanampaisha Samia katika ulimwengu wa demokrasia ya magharibi. Wazungu wanapenda hivyo; tukaneni, bezeni, dhihakini na bwatukeni huku nje ya Ikulu mkimaliza kojoeni mkalale. Ikulu hamuendi ng'o. Nyerere alisema "I can not let my country go to the dogs" wakati ule alipokuwa akimpigia kampeni Mkapa dhidi ya Lyatonga Mrema. Kama hotuba hii hamjaiona niilete hapa. Chadema are the dogs, no way we can let the country go to them, do you know why?. Wana bendera za mataifa ya wazungu kwenye mifuko ya suruwali zao. Hata pedi wanazotumia zimegharamiwa na wakoloni wetu wa zamani wenye ndoto za kurudi kwa mlango wa kujenga demokrasia.
 
Wewe ni mpuuzi
Sasa kama hivyo hiyo kasi ya maendeleo ya Samia (muua watu) unayoimba Kila siku hapa IPO wapi?
Huioni kwakuwa unamuaza Mange Kimambi kama role model wako
 
Wewe ni mpuuzi
Sasa kama hivyo hiyo kasi ya maendeleo ya Samia (muua watu) unayoimba Kila siku hapa IPO wapi?
Ukiona mshindani wako anakutukana ujue umemshinda vibaya sana.
 
Usituharibie funga zetu aisee maana umeandika utumbo hapa 😬😬😬
 
Huioni kwakuwa unamuaza Mange Kimambi kama role model wako
Bora kumuwaza mange kimambi kuliko kumuwaza Samia muua watu.
Aliyeshindwa hata kuwapatia watu wake hasa wa dar maji safi na salama ya kunywa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…