Funga utaiharibu mwenyewe kwa kinyongo chako. Rais Samia yuko bize na mkakati wake wa kuaachia tabasamu watanzania kabla hayaondoka 2030. Hasemi utani wala porojo, rekodi yake haitafikiwa na Rais yeyote mwenye makundi, ukabila, mpigaji, mwizi na asiyekuwa na hofu ya mwisho. Samia anaamini iko siku atakufa na iko siku atafufuliwa na hukumu. Anataka kuwaonyesha wavimbamacho kuwa wanawake wanajua na wanaweza.Usituharibie funga zetu aisee maana umeandika utumbo hapa π¬π¬π¬
Hakika wewe ni kavulana!Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa.
Rais Trump, viongozi wa ulaya na hata wachezaji wakubwa sasa hivi wanakimbilia nchi za Asia kusaka usaidizi na uwekezaji baada ya nchi zao kufilisika. Hata wachezaji wakubwa sasa hivi wameelekeza daluga zao huko Uarabuni kuzoa mapesa.
Tangu tz ipate uhuru tumeimba sana kuhusu wazungu wazungu wazungu, ulaya ulaya na marekani itusaidie na itukopeshe lakini tukaishia hapa tulipo (umasikini wa kutupwa, migogo isiyokwisha na ushoga) na madeni juu yasiyolipika. Viongozi wetu ilikuwa haramu kwao kwenda uarabuni kuomba misaada na mikopo isiyokuwa na riba kutoka kwa waislam ambao hawali riba. Kiongozi kama akioenekana anaelekea kuchukua msaada kutoka kwa waarabu alikuwa anakumbana na waraka na kunywea.
Rais Samia aligundua mapema kuwa wazungu wamefilisika, wanakwenda Asia ya uchina na uarabuni kuomba fedha, gesi, mafuta na wawekezaji. Mama Samia nae akapiga mbio harakaharaka kwenda hukohuko ambako wazungu wanakwenda kuomba ili kuwahudumia watanzania. Huku ni kuelimika kwa hali ya juu sana kwa kiongozi. DP world sasa hivi ndiyo habari ya mjini kwa makusanyo, na sasa anaelekea huko Qatar akazoe mapesa yasiyokuwa na mashariti makubwa na hatari kama yale ya wahuni wetu wa tangia ukoloni hadi leo.
Tumpe moyo aendelee kuwatekenya waarabu hadi wacheke kwa maslahi yetu. Hawa wavimbamacho wetu tuwaombee kwa Mungu awape upofu ili wasione na uziwi wasisikie namna nchi inavyochorongwa kila kona kujengwa.
Fedha sasa hivi iko Asia twendeni huko, dunia yote inaelekea huko.
Chawa na akili havichanganyikiNi kweli mwendokasi waarabu
Bandal waaarabu
Ngoror ngoro waarabu
Kweli speed n kali
Je ajuaa?Labda mzungu manara ndo kafilisika au yule mtangazaji wa uvisisiemu
Pole,kwa kaulimbiu kazi na utu kwamwe hutaachwa mnyonge.Kuna chawa mwenzenu hapo , anaomba msaada wa matibabu ameshindwa na mmemtelekeza.
View attachment 3547664View attachment 3547666
Ni kazi na mtutu , chawa huyo hapo anatembeza bakuli la msaada kama akina Kombo.Pole,kwa kaulimbiu kazi na utu kwamwe hutaachwa mnyonge.
Acha kabisa, Mama anataka kuwaachia tabasamu watanzania. Nyie bwabwajeni tu kama mtu mwenye uharo. Hebu ona hapaChawa na akili havichanganyiki
Hata EU wanajua kuwa Samia ni bora kuliko JPM, wapinzani walimchokoza wenyewe. Baba yangu aliniambia kuwa kwenye cha bure kila mtu hana. Yaani kama uko kariakoo halafu ukakuta tajiri mmoja anagawa fedha hata kama unazo za kwako hutaacha kuzichukua na wewe. hata wakigawa chumvi bure na wewe hutaacha kuchukua chumvi hiyo ya bure. Kuna ubaya gani kwenda kuchukua fedha za bure za EU hata kama tunazo za kwetu?Zezeta katika ubora wako, maboss wako wanatambaa kwenda kupiga magoti huko ulaya halafu wewe kidampa unapanua panua hapa mdomo kama chiriku kusema ulaya wamefilisika?
View attachment 3547660View attachment 3547661
Siasa ni jukwaa tu la wewe kufanyakazi kukidhi mahitaji yako. Kazi ya siasa ni kulinda usalama wako tu basi. Vijana kule Marekani wanafanyakazi kama punda ili waweze kuishi marekani. Vijana wengi hawana vyumba vya kulala, wanalala kwenye magari yao waliyokopeshwa. Yaani kila mtu ana deni la kulipa. Ndiyo maana kule ushoga ni njenje tu kupata mahitaji yako.Ni kazi na mtutu , chawa huyo hapo anatembeza bakuli la msaada kama akina Kombo.
Hapa umeandika nini hebu rudia kusoma, kulingana na mada .Siasa ni jukwaa tu la wewe kufanyakazi kukidhi mahitaji yako. Kazi ya siasa ni kulinda usalama wako tu basi.
Hii inahusiana nini na nilichoandika?? Marekani ni ulaya??Vijana kule Marekani wanafanyakazi kama punda ili waweze kuishi marekani. Vijana wengi hawana vyumba vya kulala,
Unaelewa hata ulichoandika?wanalala kwenye magari yao waliyokopeshwa. Yaani kila mtu ana deni la kulipa. Ndiyo maana kule ushoga ni njenje tu kupata mahitaji yako.
Kaka hata Marekani na nchi za Ulaya zinakopa China vibaya sana, zina madeni lakini zinatoa misaada kwa nchi nyingine. kaka wakati mwingine misaada na mikopo ni biashara kama biashara nyingine. Yaani naenda kukopa china kwa riba ya 0.25%, nikishazipata hizo pesa naenda kuikopesha tz kwa riba ya 7%. Wakati mwingine ninatoa msaada ili kurahisisha kupata kitu kikubwa kwako kama mgodi, korosho, wanyamahai au kuwekeza kwako kwa bei nafuu. Usihamaki na misaada hii, wazungu hawana kitu cha bure hata kimoja. Tuliza mshono kaka kama hujui mambo haya.Zezeta katika ubora wako, maboss wako wanatambaa kwenda kupiga magoti huko ulaya halafu wewe kidampa unapanua panua hapa mdomo kama chiriku kusema ulaya wamefilisika?
View attachment 3547660View attachment 3547661
Weka hapa huo ushahidi wa EU waliposema hayo.Hata EU wanajua kuwa Samia ni bora kuliko JPM, wapinzani walimchokoza wenyewe.
Ila baba yako hakukuambia anasikitika amepata mtoto zezeta kama wewe??Baba yangu aliniambia kuwa kwenye cha bure kila mtu hana.
Wewe si ndio umesema ulaya wamefilisiika habari ya kugawa pesa za bure umekuja nazo kutoka wapi?Yaani kama uko kariakoo halafu ukakuta tajiri mmoja anagawa fedha hata kama unazo za kwako hutaacha kuzichukua na wewe. hata wakigawa chumvi bure na wewe hutaacha kuchukua chumvi hiyo ya bure. Kuna ubaya gani kwenda kuchukua fedha za bure za EU hata kama tunazo za kwetu?
Kwanini Samia alienda kuchukua kwa watu waliofilisika kama ulivyosema?Nakumbuka Tanzania ilinyimwa fedha za Covid 19 kwasababu ya JPM, lakini Samia akaenda kuzichukua akaja nazo hapo.
Wewe mbona unafanya "contradiction" katika mada yako , mwanzo umesema wamefilisika na sasa unasema wanagawa pesa bure tangu lini mtu aliyefilisika akawa na uwezo tena wa kugawa pesa bure?Hata hizi za bure lazima watazitoa tu kwakuwa hata wazungu wanafaidika na tanzania; wanatuhitaji sisi sana kuliko tunavyowahitaji wao.
Nikosoe kama unaweza, ninasema ninachokijua, sijawahi kuropoka wala kudanganya wasomaji wangu. Setu tu kuna wakati nakwambia kile ambacho hupendi kuambiwa. Kazi ya siasa ni kuweka policies kwa watu wake baaasi. Mwananchi tumia fursa ulizosongezewa kukidhi mahitaji yako. Asikwambie mtu kwamba akiingia Ikulu atakununua chupi mpya, uongo. Jenga barabara mimi nisafirishe mbuzi wangu kwenda sokoni baasi. Mbuzi lazima wawe wa kwako, ama umewafuga au umewanunua kwa mfugaji.Hapa umeandika nini hebu rudia kusoma, kulingana na mada .
Hii inahusiana nini na nilichoandika?? Marekani ni ulaya??
Unaelewa hata ulichoandika?
Wewe ni zezeta , mada uliyoandika ni ulaya sasa tangu lini marekani ikawa ulaya ??
Habari ya Marekani kukopa au China imetokea wapi?Kaka hata Marekani na nchi za Ulaya zinakopa China vibaya sana, zina madeni lakini zinatoa misaada kwa nchi nyingine.
Halafu mimi sio kaka yako, sina ndugu zezetw kiasi hiki, wewe hizi habari za China umezitoa wapi , kwani Tanzania mikopo iliyonayo imemalizika kulipwa?kaka wakati mwingine misaada na mikopo ni biashara kama biashara nyingine. Yaani naenda kukopa china kwa riba ya 0.25%, nikishazipata hizo pesa naenda kuikopesha tz kwa riba ya 7%. Wakati mwingine ninatoa msaada ili kurahisisha kupata kitu kikubwa kwako kama mgodi, korosho, wanyamahai au kuwekeza kwako kwa bei nafuu. Usihamaki na misaada hii, wazungu hawana kitu cha bure hata kimoja. Tuliza mshono kaka kama hujui mambo haya.
Unataka kukosolewa vipi , kwani hapa huonei navyokosoa uzezeta ulioandika?Nikosoe kama unaweza, ninasema ninachokijua, sijawahi kuropoka wala kudanganya wasomaji wangu. Setu tu kuna wakati nakwambia kile ambacho hupendi kuambiwa.
Na kuua , kuteka , ufisadi nazo ndio policies zenu?Kazi ya siasa ni kuweka policies kwa watu wake baaasi. Mwananchi tumia fursa ulizosongezewa kukidhi mahitaji yako. Asikwambie mtu kwamba akiingia Ikulu atakununua chupi mpya, uongo. Jenga barabara mimi nisafirishe mbuzi wangu kwenda sokoni baasi. Mbuzi lazima wawe wa kwako, ama umewafuga au umewanunua kwa mfugaji.
Sio kila mtu anaekupa msaada yeye hana shida. Unaweza kumnunulia mchepuko wako chips mayai wakati mwanao anadaiwa ada hujalipa, na mama yako mzazi anakula ugali na mchunga kama sungura. Kiwango cha ukosefu wa ajira ulaya kimeongezeka, wamepandisha riba za mabenki na tozo nyingine ili kujaribu kuziba nakisi ya bajeti. Kule ufaransa hata muda wa kustaafu umesongezwa mbele. Shida wewe huna unachofahamu cha maana kwenye dunia hii zaidi ya samia samia samia kama mwehu.Weka hapa huo ushahidi wa EU waliposema hayo.
Ila baba yako hakukumwambia anasikitika amepata mtoto zezeta??
Wewe si ndio umesema ulaya wamefilisiika habari ya kugawa pesa za bure umekuja nazo kutoka wapi?
Kwanini Samia alienda kuchukua kwa watu waliofilisima kama ulivyosema?
Wewe mbona unafanya "contradiction" katika mada yako , mwanzo umesema wamefilisika na sasa unasema wanagawa pesa bure tangu lini mtu aliyefilisika akawa na uwezo tena wa kugawa pesa bure?
Unaona ulivyo zezeta kama ninavyokwambia.
Kwanini Tanzania iende kukopa Ulaya na sio Ulaya waje kukopa Tanzania ?Sio kila mtu anaekupa msaada yeye hana shida. Unaweza kumnunulia mchepuko wako chips mayai wakati mwanao anadaiwa ada hujalipa, na mama yako mzazi anakula ugali na mchunga kama sungura. Kiwango cha ukosefu wa ajira ulaya kimeongezeka, wamepandisha riba za mabenki na tozo nyingine ili kujaribu kuziba nakisi ya bajeti.
Hii inahusiana vipi na kufilisika ulikokusema?Kule ufaransa hata muda wa kustaafu umesongezwa mbele. Shida wewe huna unachofahamu cha maana kwenye dunia hii zaidi ya samia samia samia kama mwehu.