Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

Wazungu unawapenda mpaka unatisha, huwezi kuwakatalia chochote wakikuomba. Wazungu hawa walituibia na wanatuibia hata leo na kesho. Hawana cha bure hawa, wanazotupa ni hela zetu wanazotukopesha tena. Bora ukope ufanye mambo yako leo badla ya kesho, maana hakuna taifa lisilodaiwa. Kukopa sio shida lakini umefanya nini na hiyo fedha uliyokopa ndio jambo muhimu.

Tuna machoko ambayo walichoma moto miundombinu yetu tuliyoijenga kwa hela ya kukopa eti na wao wanataka kwenda Ikulu pamoja na wendawazimu wao huo. Tunawachelewesha bure ni kuwakata vichwa vyao tu kwa kosa hilo. Sasa hivi tunatumia fedha nyingine kukarabati na kurejesha huduma walizoziharibu, maana yake tutakopa tena zaidi hata deni likifikia 200t.
 
Kiwango chako cha upumbavu kimekithili. unajua mabeberu wananunua pamba, kahawa, chai, kokoa na madini yetu kwa bei gani kisha wao wanakwenda kuiuza bai gani wakisha iprocess? huna akili hata chembe kuhusu wazungu na afrika.
 
Kiwango chako cha upumbavu kimekithili. unajua mabeberu wananunua pamba, kahawa, chai, kokoa na madini yetu kwa bei gani kisha wao wanakwenda kuiuza bai gani wakisha iprocess? huna akili hata chembe kuhusu wazungu na afrika.
Hebu jibu maswali yangu hapo mawili ndio tuendelee wewe zezeta.

1.Nipe sababu kwanini hao mabeberu hawaji kukopa Tanzania bali Tanzania ndio inaenda kukopa kwao

2.Nipe takwimu za pato la mtu mmoja mmoja kati ya Tanzania na Ufaransa.
 
Unaona ulivyo zezeta hebu soma ulichoandika tena.
Zezeta kabisa wewe mambo ya kuchoma miundombinu yanahusianaje na hii mada ?

Mada yako ulisema ni kasi ya maendeleo inaogopesha watu wa ulaya waliofilisika sasa unajigeuka tena kusema unaenda kukopa kwa aliyefilisika sasa tangu lini tajiri anaenda kukopa kwa aliyefilisika , hakika wewe ni zezeta 100%
 
Andiko reeeefu lakini lote utumbo mtupu!
 
Kama Amirijeshi Mkuu ameonyeshwa namna ya kuitumia pisto, sasa njoni nyie nyungunyungu muone moto wake.
Mwanaume mzima unashinda mtandaoni kuandika umbeya ! tafuta hata kazi ya kuzibua vyoo kuliko uchawa Qomamamaio...
 
Aibu tunaona sie....

Wewe ni me au ke?
 
Andiko reeeefu lakini lote utumbo mtupu!
Andiko refu lakini hailishindi lile walilowakilisha jamaa kutoka UN. Eti UN siku hizi inatoa maagizo ya kimahakama ndani ya nchi. Kwanini UN isimuagize Trump amrejeshe haraka Rais Maduro Venezuela akaendelee na kazi yake ya urais?. Kwanini UN haitoi tamko kule Ukraine, Gaza, Sudan, Somalia na DR Congo wasiuane?. Sina imani kama hawa wahuni walimshirikisha Guterres wakati wanaandika andiko hilo. Lissu haachiwi bila kesi kwisha
 
Mwanaume mzima unashinda mtandaoni kuandika umbeya ! tafuta hata kazi ya kuzibua vyoo kuliko uchawa Qomamamaio...
naweza kukuajili wewe na rafiki yako. Tunaandika haya kama sehemu ya natural breaks tu ya kazi zetu zinazotumia akili nyingi kwenye dawati.
 


Pwagu na pwaguzi🤦🏾‍♂️😂😂😂 uchawa mbaya sana.
 
Hao hao waliokuja na kichekesho cha habari ya UN wanasema wakiwa na macho makavu kabisa kwamba ICC lazima watamkamata Rais SSH!!.

Kutunga uongo kwao kitu cha kawaida sana, zinakuwa habari zenye kuwafariji.
 
Wapuuzi hao hivi sasa wanakuja na habari ya UN kuiambia serikali imuachie TAL.

Wakaenda kujiliza kule ICC kwa kutumia taasisi nne za kimataifa wakiishtaki serikali, wameangukia pua.

ICC ili iweze kumkamata Rais wa nchi lazima wajiridishe kuhusu uwepo wa mpango wa mauaji wa muda mrefu.

Kule Rwanda wahutu walianza mpango wa kuwaua watutsi miezi kadhaa hata radio pamoja na baadhi ya maaskofu wa kanisa katoliki walihusika katika kusambaza chuki dhidi ya Watutsi.

Kule Ujerumani upo ushahidi mwingi wa Hitler kupanga kuwaua wayahudi mpaka akajenga vinu maalum vya kuwaulia wayahudi.

Kule Iraq Saddam Hussein alipanga kuwaangamiza wakurdi kwa silaha za sumu kisha akafanya hivyo.

ICC wakawauliza hao wanaharakati waliotumwa na CHADEMA mnao ushahidi wa Rais SSH kupanga mauaji hayo kufanyika kabla hayajafanyika?. Wakabaki wametoa macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…