Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

Na watadhalikika sana hawa kwa kufikiri wataweza kuumiza Watu wa Mungu kwa hizi chanjo zao zenye walakini. Glory to God!
Mungu kaamua kumuumbua mwenyewe...Alichokisema kina pingana na madai yake
 
Kwa alivyokuwa anatiririka ili kujifanya bora kuliko mtumishi wa Mungu! Mungu akaamua kumzuia asijichukulie point 3. Mungu huwapinga wenye kiburi
Tumewaza sawasawa!
 
Usemi uliotangulia ndo wa muhimu zaidi, unaofuatia unakuwa ni geresha tu.....angejiuzulu kwanza nafasi ya ushauri mkuu wa anglican.
 
Kusaidiwa nw maandiko ili kufanikisha hadhima yako inaweza kuwa sahihi endapo unatumia andiko husika ili kuponya hama kumuinua Mungu.

Ukitaka kutumia tofauti basi mwisho wako huwa mbaya japo si kwa wakati huo huo.

Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TanzaniaJob Ndugai alipokuwa bungeni alitumia baadhi ya articles za Biblia kuwasilisha alichokuwa anataka.

Your browser is not able to display this video.


Baada ya kudanganya kwa kauli hizo hapo juu kwenye video wenye imani nadhani wakaanza kumpiga mawe ndipo akapewa taarifa na msaidizi wake kuwa alichemka si Yesu aliyetembea na mkewe 😁, akaja na barua hii hapa chini.

 
Atuombe na Wakatoliki msamaha kwani tunaamini Yusufu alikua ni mchumba wa mama Bikira Maria.
Lkn si alimuoa bikira Maria baadae na wakazaa naye watoto kadhaa.

Msome vizuri Biblia msisubiri kulishwa matango pori na washirikina
 
Reactions: Ame
Mariam alikuwa mchumba wa yusufu na hakuwa mke kama ******* anavyotuaminisha.
 
Sawa ila pia ipo wazi tu YESU amewai kutaka chumbia ,bali hata uyo mchumba hakujua Kama aliekua anaaproach alikua YESU, wachache wataelewa,

Na YESU hakuwa Kama uyu twaaminishwa pitia mapicha ,Huyu alikua bonge la giant, that's Hata uyo binti alietakiwa chumbiwa , alipoteza fulsa , hakufaham Kama ndie YESU ,

Nakubali YESU hakuoa
 
This guy doesn't deserve to be there period!!!
 
Umeandika kishabiki sana
It's corridor newz
Own-wishful thought
Just a mere words
 
Simsamehi katu. Huyu ndiye mwakilishi wa "666" hapa Tanzania.
 
Tunaomba "picha mjongeo na yenye sauti" ya ndugai akisema hayo tafadhali,ni kwa ajili ya kuweka kumbukumbu.
 
Kuna kitu kimoja ambacho ni bayana, wale wanajua mengi au walioelimika huwa hawana maneno ya kujipamba kuwa najua hiki,nilikuwa kule au mimi ni nani. Badala yake wale wasioelimika ndio wenye maneno mengi ya kujisifu..... kwa mfano wa Ndugai alioutoa leo unadhihirisha hata kwa mtu asiyefuatilia mambo ya dini kuwa Ndugai ni kijani kibichi kabisa.
 
Mariam alikuwa mchumba wa yusufu na hakuwa mke kama ******* anavyotuaminisha.

Wakati wanapanda kwenda Bethlehem
ya Uyahudi mji wa Daudi Mfalme kwenye sensa alishakuwa mke wa Yusufu kwa amri ya Mungu wa Mbinguni. Mathayo 1:20.
 
Mungu ni fundi huwezi kumtukana Askofu kwa kumuonea kisa ubunge
 
Hii ni kuteleza tuu ulimi ni jambo la kawaida, lets not make it a big deal!.

Its normal for human beings
Hata ile neno fonti fedi, kilo ta sukari elfe 5, Sadam rais wa Kuwait, na hata Mulugo aliwahi kuteleza ulimi kwenye kadamnasi ya kimataifa...

P.
 
Kweli nami nilimsikia na nilijua ulimi umeteleza na kweli sentensi iliyofuata akasema ndipo akazaliwa Yesu kuonyesha alimaanisha Yusuph na mke wake. Japo nachukia sana matendo na maamuzi yake ya hovyo dhidi ya wapinzani ,lakini kwa hili msameheni.
 
Umeandika kishabiki sana
It's corridor newz
Own-wishful thought
Just a mere words
Nafiki hujui , Ndo maana waja na povu, hakuna ushabiki,

Yapo Mambo MENGINE yamebaki Kama siri tu, Sasa Kama ulipopitia hujayachimbua Basi tena
 
ULIMI HAUNA MFUPA....

WATANZANIA TUNAPENDA KUKUZA MAMBO....

Kwa waliomsikiliza "akikosea" walitambua kuwa dhamira yake ni Bwana YUSUFU.....

#SiempreJMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…