Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee hakuna kitu kibaya ktk maisha kama MTU kujuwa mwisho wako while wewe huwoni huwo mwishoMnahangaika mara viti maalum , mara PAC, LARC kwani shida iko wapi? Kama mmeweza kufanya ubatili kwenye sanduku la kura, fanyeni ubatili bila woga kote kulikobaki! Nani atawasema? Mnaogopa nini? Mahakama zenu, Police qwenu, Jeshi lenu, Bunge lenu, shida iko wapi... weka watoto wa shule kwenye viti maalum atawasema nani? hata vichaa mkipenda weka tu
Musiba ana akili kuliko wote uliowataja juu yake.Hizo nafasi vinawafaa wafuatao,
Yehodaya
Magonjwa mtambuka
Troll
Motochini
Mama D
Sabaya
Jerry muro
Chalamila
Hapi
Kawe alumin
Mambosasa
Siro
Mr njaa
Musiba
Wanakosa $900m kutoka kwa mabeberuSasa anaumia nini huyu ndu.guy wakati hicho ndicho bosi wake (Jiwe) anachokitaka?! Kwamba wawepo CCM peke yao mjengoni kwa kuwa wapinzani wanazuia maendeleo!
Namshauri wabadili kanuni bungeni nafasi zote wajaze CCM kusudi nchi tupate maendeleo
Labda akili za kuvukia barabaraMusiba ana akili kuliko wote uliowataja juu yake.
Hivi ni huyu Ndungai aliyekuwa anawafukuza akina MDEE NA BULAYA ama ama majina yanafanana. Namuona huyu ana huruma kwa wanawake , aisee yule alikuwa hatari. Si CCM ijaze hizo nafasi tupate maendeleo.Wajibu wake ni kuongoza Bunge aache kuwananga wasiotaka kuleta majina ya wabunge wa viti maalum.
Mambo ya Ngoswe awaachie Ngoswe.....
Sasa utamlinganisha Musiba na Pasco kiakili? Hata Sirro huwezi kumlinganisha na Musiba, ni vilaza waliobobea.Labda akili za kuvukia barabara
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.
Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.
Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.
Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Wote utopolo tu,hakuna mwenye afadhaliSasa utamlinganisha Musiba na Pasco kiakili? Hata Sirro huwezi kumlinganisha na Musiba, ni vilaza waliobobea.
Kwani wewe usiende kuomba.Chadema hamna hela sasa hivi lazima kina Mdee watinge bungeni
Job alivyokatwa vidole hakuumia kama hili la cdm,mungu ambariki mpka 2025 awe amekata vidole vyote mguuniMapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.
Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.
Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.
Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Kapata fursa ya kupiga vijembe, maana ndo zake huyu....!!Wajibu wake ni kuongoza Bunge aache kuwananga wasiotaka kuleta majina ya wabunge wa viti maalum.
Mambo ya Ngoswe awaachie Ngoswe.....
Ndugai huyu huyu alikuwa anawatesa kina Bulaya na Mdee. Anaona atakosa watu wa kufukuza. Anatamani waende tena ili wawe punching bag laoMapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.