Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

Chadema hamna hela sasa hivi lazima kina Mdee watinge bungeni
 
Mnahangaika mara viti maalum , mara PAC, LARC kwani shida iko wapi? Kama mmeweza kufanya ubatili kwenye sanduku la kura, fanyeni ubatili bila woga kote kulikobaki! Nani atawasema? Mnaogopa nini? Mahakama zenu, Police qwenu, Jeshi lenu, Bunge lenu, shida iko wapi... weka watoto wa shule kwenye viti maalum atawasema nani? hata vichaa mkipenda weka tu
Aiseee hakuna kitu kibaya ktk maisha kama MTU kujuwa mwisho wako while wewe huwoni huwo mwisho
 
Mkuu uko sahihi kama kweli waliweza kuua ili waingize begi la kura watashindwa kitu gani kuokoteleza watu waingie bungeni kama wapinzani na wawape uenyekiti wa PAC na LAAC.
 
Kwa nini inawauma sana.... Wangelifikiria hilo kabla ya kuiba kura zetu.

CHADEMA shikilieni hapo hapo....!!
 
Hizo nafasi vinawafaa wafuatao,
Yehodaya
Magonjwa mtambuka
Troll
Motochini
Mama D
Sabaya
Jerry muro
Chalamila
Hapi
Kawe alumin
Mambosasa
Siro
Mr njaa
Musiba
Musiba ana akili kuliko wote uliowataja juu yake.
 
Sasa anaumia nini huyu ndu.guy wakati hicho ndicho bosi wake (Jiwe) anachokitaka?! Kwamba wawepo CCM peke yao mjengoni kwa kuwa wapinzani wanazuia maendeleo!

Namshauri wabadili kanuni bungeni nafasi zote wajaze CCM kusudi nchi tupate maendeleo
Wanakosa $900m kutoka kwa mabeberu
 
Wajibu wake ni kuongoza Bunge aache kuwananga wasiotaka kuleta majina ya wabunge wa viti maalum.
Mambo ya Ngoswe awaachie Ngoswe.....
Hivi ni huyu Ndungai aliyekuwa anawafukuza akina MDEE NA BULAYA ama ama majina yanafanana. Namuona huyu ana huruma kwa wanawake , aisee yule alikuwa hatari. Si CCM ijaze hizo nafasi tupate maendeleo.
 
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.

Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.

Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.

Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.

Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.

Jimbo la Kongwa nawe ni mbunge wa viti maalum. Uligombea na nani?
 
Job alivyokatwa vidole hakuumia kama hili la cdm,mungu ambariki mpka 2025 awe amekata vidole vyote mguuni
 
Anaumia nini si wameshinda kwa kishindo asilimia za kutosha na yeye amechaguliwa kwa asilimia za kishindo?
 
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.

Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.

Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.

Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.

Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Ndugai huyu huyu alikuwa anawatesa kina Bulaya na Mdee. Anaona atakosa watu wa kufukuza. Anatamani waende tena ili wawe punching bag lao
 
Spika kwanini anahangaika hivi au amesahau mbinu alizotumia bunge lililopita azitumie na bunge hili kupata wabunge wapinzani

Maana alimrudisha bungeni Mwambe ambaye hakuwa na sifa za kuwa mbunge ila akawa mbunge akawapa ubunge Lijualikali na Silinde licha ya kufukuzwa uanachama

Sasa anashindwa vipi awamu hii kuwapa ubunge wapinzani walio nje Nassary, Lijualikali nk ili waendelee!!?
 
Back
Top Bottom