Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.

Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.

Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.

Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.

Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
so magu kasema hapeleki maendeleo kwa wapinzani,mnawataka wa nini
 
Inaonekana huyu Muathirika kawamiss saana wabunge wa Chadema haipiti siku bila kuwazungumzia mbona mwaka huu ataula wa chuya...Spika kuwahi kuongoza bung la magumashi lisilokuwa na upinzania duniani aibu Job...wenzake walipokuwa wanatengeza ili bomu hakujua kuwa mwisho wa siku litamlipukia yeye..sasa kaanza kuomboleza kila siku....Ni kweli hata wabunge warembo hawako CCM ...
 
Kitu kinachofanywa na CDM ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine ww ndo ungekuwa unapewa chance halaf Kuna watu kwa maslai yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa

Demokrasia maana yake ni haki , na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
Chadema mnafeli
 
Kitu kinachofanywa na CHADEMA ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine wewe ndio ungekuwa unapewa chance halafu kuna watu kwa maslahi yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa

Demokrasia maana yake ni haki na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
CHADEMA mnafeli
 
Kitu kinachofanywa na CDM ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine ww ndo ungekuwa unapewa chance halaf Kuna watu kwa maslai yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa

Demokrasia maana yake ni haki , na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
Chadema mnafeli

Nitawashangaa sana CHADEMA iwapo watapeleka wabunge wa viti maalum kwenda kushiriki bunge la wezi wa kura na wamwaga damu. Na CHADEMA wakilogwa kupeleka hao wabunge sisi wafuasi wao tulio wengi ndio basi tena. Hatuko tayari kushirikiana na mashetani.
 
Kitu kinachofanywa na CDM ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine ww ndo ungekuwa unapewa chance halaf Kuna watu kwa maslai yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa

Demokrasia maana yake ni haki , na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
Chadema mnafeli
Viti maalumu hawachaguliwi bali huteuliwa na chama kutoka kwenye kundi la watu wengi!
So kupeleka au kutopeleka ni uamuzi wa chama!
Mimi naona hizo nafasi zijazwe tu na hao hao CCM na wapinzani walioko bungeni waunge tu juhudi mchezo uishe tuendelee na maisha!
 
Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!

Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
 
Mbona kama dhamira inamsuta? Kwa hayo malalamiko something is wrong somewhere
 
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.

Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.

Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.

Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.

Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Chama cha Mbowe sio kwamba hawataki kupelekea majina ya wabunge wa viti maaluum la hasha, sema wanavutana huko ndani wao kwa wao kwamba hawala wa nani? Au demu wa nani? Apewe nafasi hiyo kwa maana mahawala wa viongozi ni wengi na nafasi ni chache.
 
Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!

Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
We kweli zwazwa umejuaje kama ni mgonjwa alishawahi kukukaza nini?
 
Chadema hamna hela sasa hivi lazima kina Mdee watinge bungeni

Ni kweli, lakini wakitinga huko bungeni wao ni sisi wafuasi ndio basi tena. CHADEMA ina wapiga kura wa kutosha, wasiiingie hiyo hadaa ya kuchanganyika na wamwaga damu na wezi wa kura. Waache CCM waendelee kuburuzwa na jiwe, wakiendekeza uzalendo uchwara.
 
Back
Top Bottom