Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huyu jamaa ni hopeless kabisaWajibu wake ni kuongoza Bunge aache kuwananga wasiotaka kuleta majina ya wabunge wa viti maalum.
Mambo ya Ngoswe awaachie Ngoswe.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni hopeless kabisaWajibu wake ni kuongoza Bunge aache kuwananga wasiotaka kuleta majina ya wabunge wa viti maalum.
Mambo ya Ngoswe awaachie Ngoswe.....
Na wewe nenda kama unaona wivuMbowe ameanza kuwajoyce Mkuya wanaotaka vitimaalumu??
so magu kasema hapeleki maendeleo kwa wapinzani,mnawataka wa niniMapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.
Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.
Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.
Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Inaonekana huyu Muathirika kawamiss saana wabunge wa Chadema haipiti siku bila kuwazungumzia mbona mwaka huu ataula wa chuya...Spika kuwahi kuongoza bung la magumashi lisilokuwa na upinzania duniani aibu Job...wenzake walipokuwa wanatengeza ili bomu hakujua kuwa mwisho wa siku litamlipukia yeye..sasa kaanza kuomboleza kila siku....Ni kweli hata wabunge warembo hawako CCM ...Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.
Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.
Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.
Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
Mitandao kaonaje na wakati mitandao ilifungwa?
Keanu waliopewa nafasi katika mazingira hayo hawaoni?Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Kitu kinachofanywa na CDM ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine ww ndo ungekuwa unapewa chance halaf Kuna watu kwa maslai yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa
Demokrasia maana yake ni haki , na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
Chadema mnafeli
Viti maalumu hawachaguliwi bali huteuliwa na chama kutoka kwenye kundi la watu wengi!Kitu kinachofanywa na CDM ni ukiukaji wa haki za wachaguliwa wa hizo seat
Imagine ww ndo ungekuwa unapewa chance halaf Kuna watu kwa maslai yao binafsi Wana kuzuia kupata fursa
Demokrasia maana yake ni haki , na kutokupeleka watu [ special seat ] Ni kunyima haki
Chadema mnafeli
Mbunge wa Nkasi ana akili sana.
Chama cha Mbowe sio kwamba hawataki kupelekea majina ya wabunge wa viti maaluum la hasha, sema wanavutana huko ndani wao kwa wao kwamba hawala wa nani? Au demu wa nani? Apewe nafasi hiyo kwa maana mahawala wa viongozi ni wengi na nafasi ni chache.Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine yakiwa wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi Zanzibar na wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
Ndugai: Viti maalum kupitia vyama vya siasa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii.
Ndio hawa tunaosema, kwa sababu ni fursa za kina mama wanalumbana wasije, zingekuwa hizo nafasi za wanaume wangeshafika siku nyingi, hao hao.
Sasa wapiga kura wakina mama nchi nzima ndio mzidi kuvielewa hivi vyama, ni shida. Wewe unawaziabiaje kina mama wasije kutetea watanzania humu ndani, ni jambo ambalo halikubaliki kabisa, kwanza haipaswi kuwa hata ni mjajadala lakini sasa ndio mzidi kuwaelewa, tunawaambia tu Februari hii ndio tunaanza, tukianza kwa utaratibu huo madongo yatakuwa mazito, wajitahidi mambo mengine wapunge punguze kidogo.
Vipo vitu sio vya kubishania kwa sababu ile ni fursa ambayo ni viruri kuitumia, ukiitupa vema wala hatuna shida kwa sababu hapa tunayo quorum, tuna kila kitu, tunaendelea.
We kweli zwazwa umejuaje kama ni mgonjwa alishawahi kukukaza nini?Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!
Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
Ubongo wako utakuwa umeuacha chooni.Hili jamaa linateseka Sana.....na linafikiri halitakufa ...jibwa sana
Niliwahi kumtibu Muhimbili miaka ya nyuma!Anakula ARV!We kweli zwazwa umejuaje kama ni mgonjwa alishawahi kukukaza nini?
Chadema hamna hela sasa hivi lazima kina Mdee watinge bungeni