Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Shida yao waliiba kupita kiasi hata Kama awakuwataka chadema wakongwe wangewaingiza hata chadema wapya wasio na majina angalau 40 hivi hii tabu ya vitu maalumu wasingeipata
Mkuu hao hawana maarifa wala maono. Jiulize kama kiongozi wao ni jiwe hapo unadhani kipi kingetokea zaidi ya kilichotokea. Amini nakwambia kamwe maskini au mtu mshamba hawezi kukuongoza kwenda kwenye neema au maendeleo.
 
Waambieni upuuzi wanaofanya umechosha,watumishi wanahitaji stahiki zao.Na si fedha zitumike kuwanunua wakina Mdee.
 
Ana haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.
Mimi sio saizi yako........
 
Waambieni upuuzi wanaofanya umechosha,watumishi wanahitaji stahiki zao.Na si fedha zitumike kuwanunua wakina Mdee.
 
Ni kwann serikali inailazimishia chadema ruzuku? Wawaache wakose pesa za kuendeshea chama ili chadema ife!
 
bora hilo suala kina mdee wangeweka mezani sisi wananchi tukawachangia kwa moyo wapate mitaji wafanye biashara kwa hii miaka mita5 kama waliona hawawezi kuvumilia ila kwenda bungeni wameharibu sana hapo maccm yameshapata pa kutokea yan inahuzunisha sana.
 
Ndy tunapojiuliza je hili hawakulijua toka kwenye uchaguzi ule?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tunaongozwa na very short sighted individuals,angalia tulivyoshughulikia corona,angalia tulivyoshughulikia swala la Lissu kupigwa risasi na angalia tunavyoshugulikia tunavyoshughulikia changamoto za uchaguzi,is like hata sheria tulizotunga wenyewe hatuzijui
 
Mnyika hajitambui
 
Ingawa mimi sio mwanasiasa naomba niwaambie Chadema....kama kweli hawa wadada hawakuwa na baraka zenu nirudie tena hawakuwa na baraka zenu....wafukuzeni haraka sana tena sana...ili mlinde chama na imani ya wanachama wenu.
Nchi hii ilipofikia mtu maarufu ni mmoja tu..Rais...hawa wengine hata wabunge wa CCM hawana kitu.
Kila la kheri.
 
Wakike 19 wanandungai sasa ni sehemu ya familia ya CCM bora wapewe kadi za CCM ijulikane moja kuliko kuzuga kuwa ni wa chadema wakati ni CCM moyoni
 
Ndugai anapaswa akajifunze kwa Mama Anna Makinda au Msekwa maana bunge chini ya Ndugai limekuwa kama kijiwe cha kahawa, limepwaya!
Ukumbuke Anna Makind na msekwa waliongoza chini ya Marais gani

Ndugai Yuko Katika uongoz was magu na magu hataki ujinga was kuonekana aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…