Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Ukiitiwa fursa jua wewe ndiye fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejivika majukumu makubwa kuliko uwezo wake..!Mnyika hawezi pambana na Covid-19
Mkuu hao hawana maarifa wala maono. Jiulize kama kiongozi wao ni jiwe hapo unadhani kipi kingetokea zaidi ya kilichotokea. Amini nakwambia kamwe maskini au mtu mshamba hawezi kukuongoza kwenda kwenye neema au maendeleo.Shida yao waliiba kupita kiasi hata Kama awakuwataka chadema wakongwe wangewaingiza hata chadema wapya wasio na majina angalau 40 hivi hii tabu ya vitu maalumu wasingeipata
Mimi sio saizi yako........Ana haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.
Hi ni zaidi ya kununua. Hivi lengo ni lipi kufanya yote hao na nyi ni viongozi wa taifa la kipato cha kati. Mnaogopa kunyimwa misaada?CCM hainunui watu bwashee!
Huko kunaitwa kubaka demokrasiaWawe wabunge wa CCM B
Tamko lolote litokalo ccm wewe unapongeza tu, hata wakiazimia kumuua mama yako utawapongeza. Akili kisoda.Spika Ndugai ametoa ufafanuzi mzuri sana!
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu[emoji16][emoji16][emoji16].Sasa hivi halima na ndugai ni MARAFIKI
nawashangaa mnaochukulia SIASA kwa u serious wa PEKEE.
Ndy tunapojiuliza je hili hawakulijua toka kwenye uchaguzi ule?Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.
Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.
Tanzania hakuna siasa tena!
Tunaongozwa na very short sighted individuals,angalia tulivyoshughulikia corona,angalia tulivyoshughulikia swala la Lissu kupigwa risasi na angalia tunavyoshugulikia tunavyoshughulikia changamoto za uchaguzi,is like hata sheria tulizotunga wenyewe hatuzijuiKwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.
Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.
Tanzania hakuna siasa tena!
Mnyika hajitambuiIla sidhani kama Mnyika kamwelewa. Mnyika kupayuka hadharani bila kujuwa msimamo wa wakubwa wake ukoje na maamuzi ya vikao vya juu yatakuwaje ni kupwaya kwenye wadhifa wake wa katibu mkuu. Aliyoyasema yalipaswa kusemwa na katibu mwenezi au mwenyekiti mwenyewe ambao nao ingalikuwa ngumu kusema hayo kabla ya maamuzi ya vikao vya chama.
Kama kamati kuu ya chama itaamua kinyume na alichokisema, Mnyika atapaswa kujiuzuru ukatibu mkuu.
ELIMU ya chuoUnazungumzia elimu ipi bob?
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu na kuwafokea kupitia vyombo vya habari.
Spika Ndugai amesisitiza kuwa Mnyika bado hajakomaa kisiasa hivyo amemshauri aende kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru akafundishwe namna Katibu mkuu anavyopaswa kutenda kazi zake kwa ufanisi.
Chanzo: TBC Aridhio
Maendeleo hayana vyama!
NOTE: Ilishadokezwa tangu juzi kuwa Ndugai ana mkakati huo > Ofisi ya Spika ‘kuwalinda’ wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA - Imevuja!
Ukumbuke Anna Makind na msekwa waliongoza chini ya Marais ganiNdugai anapaswa akajifunze kwa Mama Anna Makinda au Msekwa maana bunge chini ya Ndugai limekuwa kama kijiwe cha kahawa, limepwaya!