Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

Mkuu ukerewa unayoizungumzia sio ya sasa bora hata sisi tuliopo kisiwa cha nafuba kuliko huko kwanza samaki hawapatikani kama zamani sema kule mboga,matunda na samaki uhakika
 
Daaah vijana mnawaza kula tunda tu hahaha, DASLAMA ni hatari mkuu sidhani kama ukerewe inaweza ukawa na wanawake kama sinza tu Ambayo ni kijisehemu cha Dar.
Mkuu tembea utaona huko Bezi kuna pisi kali sana na beo cheap
 
Popote kwenye uzinzi uliokithiri hakufai.
Ni pango la umasikini
 
Kuna kisiwa kimoja ukitoka Ukerewe kupitia Igombe kinaitwa Bezi πŸ˜ƒ kupata mwanamke wa buku jero ni kitu rahisi! Usiku ni full Sodoma na Gomora
Duu! Huko kweli Ni Zaidi ya Uwanja wa Fisi(Manzese)
 
Hili cover tu limenivutia, natamani nikipitishie macho, naweza kukipata wapi hiki? Nilikisikia zamani sana nilipokuwa mtoto, dada zangu wakisimuliana.
 
Nakuunga mkono

Nabuyongo Island, also known as Goziba, is a small island in Lake Victoria, Kagera Region, Tanzania.
 
Hakuna sehemu isiyokuwa na uchawi
Weee ! Ukerewe wamezidi! Hawa labda ukiwashindanisha na Sumbawanga wanawezakuwa Ngoma droo au wakawa namba moja!
Wee achana na watu wameunganisha uchawi na roho mbaya!.
 
Wapo Wajita na Wakerewe ni wazuri mno
Acha uongo hakuna pisi kali ya kijita au kikerewe labda wakuja.
Vipi mambo ya kutegeruka yapo kama kawaida?
Sema ukipata kidemu cha kikerewe halisi wanajua kukatika nilikwendaga huko nikakapata kamoja aisee nilijikuta naghairi kuondoka na Meli (Nyahunge)
ya asubuhi.
Ila ukerewe jau sana pamekaa kishamba sana nilishakaa pale monarch hotel.
Jioni ukikaa kwenye beach ya hotelini unashuhudia watu wakioga ziwani
 
Mara ya kwanza kununua pisi huko sikuulizwa swala la kondom na huyo demu.
Kuna ngoma sana kule madem wengi wa Mwanza mjini wakikosa soko kutokana na kuchoka kutokana na kushambuliwa sana na HIV wanahamia kule sasa jamaa wanawarukia utazani Hawana akili nzuri.
 
πŸ€£πŸ˜…πŸ€£ Wakitegeruka ndo bata na fujo mjini nansio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…