Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Hizo haziwezi kuwa sababu ni tamaa zao na kujiendekeza
 
😁😁, mambo ni mengi Mda ni mchache sana, Kuna wazee wakifika umri fulani husema, bora nife nikapumzike tu... Yawezekana wameona mambo mengi, inafika mahala head zao zina jamu.
 
🤔, Kwamba tuseme wapo kizungu zaidi, maana sisi Africa huwa hatupitwi na jambo, ichangie limetoka ugaibuni.
Hiyo mitabia michafu sio chanzo eti kisa umri umeenda, ni malezi na makuzi na kujiendekeza..!! Sababu hata km mtu alikuwa na tabia hizo labda kutokana na mazingira aliyokulia lkn akitaka kuacha anaweza.!!
Itakuwa hiyo mimama na kwenye ndoa imekaa, halafu ije isagane useme stress za ndoa?? Huyo ni tabia yake tu
 
Channel za DStv haziwezi kufanana na za zuku au ting ndio hapo unajikuta umevamia mauzo ya mahindi na maharage
Ni mbaya Sana hiyo mkuu, hakuna namna, hata hivyo maisha yanabadilika, tabia za sasa na za zamani hazifanani tena. So tutegemee mabadiliko mengine zaidi ya haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…