Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo haziwezi kuwa sababu ni tamaa zao na kujiendekezanina mifano halisi kabisa,
kuna pisi mahali fulani ni kali mno kwa sura and for sure pisi zimekamilika kila idara, ni kali sana.....
pisi nyingine zilivurugana kwenye ndoa zikatemana na wenzi wao na wengine hawako kwenye ndoa na ni pisi pisi kweli....
huwez amini mambo matatu yamewatumbikiza kwenye kusagana na kujiuza....
1.umri umeenda, mahitaji ya kimwili na vichocheo vyake na hali ya maisha( life reality forces) yamewaforce kujoin hiyo uchafu...
2. Hasira za kuachwa, kukata tamaa ya ukoelewa au kuzaa wanahisi hawapendeki tena na yeyote...
3. Maradhi mathalani umeme.
Hamna cha uhuru wala utumwa, Kuna uwajibikaji tuNaomba kuelimishwa kuhusu uhuru ndani ya uhusiano.
Channel za DStv haziwezi kufanana na za zuku au ting ndio hapo unajikuta umevamia mauzo ya mahindi na maharage😂😂😂, sasa hivi vijijini kumechangamka sana, hizo free channel zipo blocked. Labda upate mzee unaweza pata airtime ya bure.
anatamani kusagana ...Hizo haziwezi kuwa sababu ni tamaa zao na kujiendekeza
😁😁, mambo ni mengi Mda ni mchache sana, Kuna wazee wakifika umri fulani husema, bora nife nikapumzike tu... Yawezekana wameona mambo mengi, inafika mahala head zao zina jamu.hiyo ni kwa uchache sana mkuu, mambo ni mazito ajabu ukiona sababu zingine🐒
utashangaa ,
hii dunia inapelekesha watu mbaya sana aise....
kuna historia ya malezi na makuzi ya hawa dada utatoa machozi ukipata maelezo yake 🐒
mpaka anakwambia hata wew mwenyewe fikiria kwa hali hiyo nawezaje kuacha hii chafu 🤭
Kinini sasa?Mwanamke kwny mahusiano yako,
Jitahidi uwe na cha kuoffer Zaid ya tendo la ndoa
Ni tamaa ya kuona mwanaume hamtoshelezi na kujiendekeza.!! Hayo ni mapepoanatamani kusagana ...
nakemea kwa Jina la Baba Mwana na Roho Mtakatifu...Ni tamaa ya kuona mwanaume hamtoshelezi na kujiendekeza.!! Hayo ni mapepo
Nenda kwa nauli yakoasipotuma tusiende
Hiyo mitabia michafu sio chanzo eti kisa umri umeenda, ni malezi na makuzi na kujiendekeza..!! Sababu hata km mtu alikuwa na tabia hizo labda kutokana na mazingira aliyokulia lkn akitaka kuacha anaweza.!!🤔, Kwamba tuseme wapo kizungu zaidi, maana sisi Africa huwa hatupitwi na jambo, ichangie limetoka ugaibuni.
Hakika,hiyo ndio shida yao,ila mimi binti yangu akikaribia kubalehe tu namchana ukweliShida ni Moja, mwanamke hata umshauri vipi, huwa haelewi zaidi, zaidi atakupakazia kuwa unamtaka kimapenzi
Aimen 🙏nakemea kwa Jina la Baba Mwana na Roho Mtakatifu...
Mungu awaepushie mbali pepo hili wadada wetu..
Aimen
SawaDada zangu, Mahusiano so ajira
Ni mbaya Sana hiyo mkuu, hakuna namna, hata hivyo maisha yanabadilika, tabia za sasa na za zamani hazifanani tena. So tutegemee mabadiliko mengine zaidi ya haya.Channel za DStv haziwezi kufanana na za zuku au ting ndio hapo unajikuta umevamia mauzo ya mahindi na maharage