Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

nina mifano halisi kabisa,
kuna pisi mahali fulani ni kali mno kwa sura and for sure pisi zimekamilika kila idara, ni kali sana.....

pisi nyingine zilivurugana kwenye ndoa zikatemana na wenzi wao na wengine hawako kwenye ndoa na ni pisi pisi kweli....

huwez amini mambo matatu yamewatumbikiza kwenye kusagana na kujiuza....

1.umri umeenda, mahitaji ya kimwili na vichocheo vyake na hali ya maisha( life reality forces) yamewaforce kujoin hiyo uchafu...
2. Hasira za kuachwa, kukata tamaa ya ukoelewa au kuzaa wanahisi hawapendeki tena na yeyote...
3. Maradhi mathalani umeme.
Hizo haziwezi kuwa sababu ni tamaa zao na kujiendekeza
 
hiyo ni kwa uchache sana mkuu, mambo ni mazito ajabu ukiona sababu zingine🐒

utashangaa ,
hii dunia inapelekesha watu mbaya sana aise....

kuna historia ya malezi na makuzi ya hawa dada utatoa machozi ukipata maelezo yake 🐒
mpaka anakwambia hata wew mwenyewe fikiria kwa hali hiyo nawezaje kuacha hii chafu 🤭
😁😁, mambo ni mengi Mda ni mchache sana, Kuna wazee wakifika umri fulani husema, bora nife nikapumzike tu... Yawezekana wameona mambo mengi, inafika mahala head zao zina jamu.
 
🤔, Kwamba tuseme wapo kizungu zaidi, maana sisi Africa huwa hatupitwi na jambo, ichangie limetoka ugaibuni.
Hiyo mitabia michafu sio chanzo eti kisa umri umeenda, ni malezi na makuzi na kujiendekeza..!! Sababu hata km mtu alikuwa na tabia hizo labda kutokana na mazingira aliyokulia lkn akitaka kuacha anaweza.!!
Itakuwa hiyo mimama na kwenye ndoa imekaa, halafu ije isagane useme stress za ndoa?? Huyo ni tabia yake tu
 
Channel za DStv haziwezi kufanana na za zuku au ting ndio hapo unajikuta umevamia mauzo ya mahindi na maharage
Ni mbaya Sana hiyo mkuu, hakuna namna, hata hivyo maisha yanabadilika, tabia za sasa na za zamani hazifanani tena. So tutegemee mabadiliko mengine zaidi ya haya.
 
Back
Top Bottom